GeorDavie TV channel inafichua siri na chanzo cha matatizo, mapito na mitihani unayokabiliana nayo katika maisha yako ya kila siku ikiwemo mikosi, balaa, nuksi, nyota yako kuibiwa kupitia biashara, kazi au mahusiano uliyowahi kujihusisha nayo. Mtumishi wa Mungu Nabii Mkuu Dr. GeorDavie, anakupa nafasi ya kufunguliwa unapoangalia video hizi! Sambamba na ufungulivu wa maisha yako utapata nafasi ya kumsikiliza akifundisha mafundisho mazuri na muhimu ya kiroho yatakayokufaa sana maishani mwako. Tafadhali anza kwa ku-Subscribe ili usipitwe na baraka hizi kila tunapozileta kwako. Karibu! The World's Renowned Author of: "KEEPING UP WITH GOD's KINGDOM GOVERNMENT STANDARDS!!!"
I even doubt as well, people take poverty as disability instead of opportunity to dive deeper enough into Bible. This is why many people still don't see the so called hidden truth things inside this church. Rich materially but poor spiritually
Hata ufanye zuri kiasi gani tanzania hatuna shukrani hata kidogo, unayelalamika geordavie hafai wewe umefaa wapi km humtaki pita hivi fanya yako hajakuomba umtazame pita na yako nyie mnaolalamika hamjawahi saidia mtu hata sukari robo, embu acheni upumbavu