Тёмный
Mino TV
Mino TV
Mino TV
Подписаться
Welcome on our youtube channel Mino TV, we are here to share with you Good news for Entertaiment and Sport everyday, Please Make sure you subscribe For more, We are located in Tanzania, Dar es salaam, For more about us you can check the Link below..!
.
Karibuni sana kwenye RU-vid channel yetu Mino TV Tupo kwaajili yakukusogezea habari mbalimbali mpya za Mastar na Muziki na mpira, Tunakuomba Subscribe kwa habari mbalimbali, Tupo Tanzania Dar es salaam, kwa mawasiliano zaidi tazama hapo chini
Комментарии
@EugeniaAnselmo-m3n
@EugeniaAnselmo-m3n 9 часов назад
Vanillah a mbady na ijulikane kwamba King músic inawatu atali Kwa kuhimba 🇲🇿
@BetueliJagwa
@BetueliJagwa 9 часов назад
Amo wenda kaona kishundu kingine
@ChenchiKing
@ChenchiKing 10 часов назад
Vita Bd Mbichiiii😂😂😂😂Ety Weny D Mbili😂
@RubyMbawala
@RubyMbawala 10 часов назад
Ibrra
@fatumandegwa3174
@fatumandegwa3174 11 часов назад
ibraah 🔥🔥
@emmatheo-w4o
@emmatheo-w4o 13 часов назад
siri nzito ni ipi apo sasa😂
@Asaninondo
@Asaninondo 13 часов назад
Kama huna D2 kalale kaka au tuseme nawewe wazazi wanakuona EMMA ila wana wanakutumia kama ELENA😂🙌🏻
@emmatheo-w4o
@emmatheo-w4o 12 часов назад
@@Asaninondo 😂😂😂
@emmatheo-w4o
@emmatheo-w4o 13 часов назад
ila media bana😂😂😂😂
@Lastbornecadet
@Lastbornecadet 14 часов назад
Chinga niuwiye mtu
@JumaMwachindiri-ut3qi
@JumaMwachindiri-ut3qi 16 часов назад
Chinga nakubali Sana Ila vanilla hatari sana
@ibraahofficiel
@ibraahofficiel День назад
NYUNDO 🔨
@MilyOuma
@MilyOuma День назад
Chinga lazima atauwa kaka
@PCBOYchibuOfficial
@PCBOYchibuOfficial День назад
Dhaaah! Iko toka ni mazishiiih!
@ChenchiKing
@ChenchiKing День назад
Hapo Ndo Tutajuw Nan Mkali Coz Wote Wanazichapa Kweliii🔥🔥🔥👋👋
@VyamuBwoy
@VyamuBwoy День назад
Vanilla kings
@HamisiNyawa-n7p
@HamisiNyawa-n7p День назад
Vanillah mtu m bad ila Ibra naye simuchezo😊
@alfasafaraja8515
@alfasafaraja8515 День назад
Vanilah
@erickgulayi2089
@erickgulayi2089 День назад
wote wataua kinoma noma🤣
@irenealex729
@irenealex729 День назад
Vanillah Mtu M badi
@Kingskytz
@Kingskytz День назад
😂😂😂
@HamisiMwazikeni
@HamisiMwazikeni День назад
Vanilla nwa moto
@Malangalusaede
@Malangalusaede День назад
No wasani wabongo
@NuruMshana-v4w
@NuruMshana-v4w День назад
Nimechoka mwenyew😂😂😂
@blackeagle9972
@blackeagle9972 2 дня назад
Uyu biti ni ndumba 😂😁
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf 2 дня назад
Kaanza jeuri sasa. Huyo hawara yake na hajasema kitu , mashabiki wanamfuata na anapiga picha nao. Mpigeni mawe na makopo na mwagieni michuzi pumbav huyo
@JonathanMuhamadiSambaya
@JonathanMuhamadiSambaya 2 дня назад
Sio bahati bukuku ni Jennifer mgendi wewe
@MAHARAMAHARA-j1j
@MAHARAMAHARA-j1j 2 дня назад
Likini tumeshausikiliza vya kutosha!
@LucasJeremia-n5r
@LucasJeremia-n5r 2 дня назад
Kumbe ndyo maana mbeya alirushiwa mawe, hana heshima kwa mashabaki, shenzi bagamoyo..😅
@ErickMussa-f4c
@ErickMussa-f4c 3 дня назад
Mhh! Jaman acheni ukweli uwe waz
@David-uhayi
@David-uhayi 3 дня назад
Tatizo ninao kwenye simu huku Congo tuna upiga🤣🤣🤣🤣🤣
@jumajay8496
@jumajay8496 3 дня назад
Zuchu kajisahau aliko toka, juzi juzi tu alikua anatafuta mashabiki leo amesahau hao anao wakataa kupiga nao picha ndio juzi alikua anawaomba wamkubali kua shabiki zake,ame kweli maskini akipata mata.....hulia.....mbwata.
@WahuBoth
@WahuBoth 3 дня назад
Zuchu ajawahi kufundishwa somo la kuheshimu mashabik
@OscarMzava-rg8gk
@OscarMzava-rg8gk 3 дня назад
Kweliiii banaaa wamuache akikaaa sehemu atulie zake😂😂😂😂
@natureboy972
@natureboy972 3 дня назад
Amesahau kama hizopesa anazoenda kula mgahawani nimashabiki wanampa izopesa mashabiki nimaboss zake asiwavimbie mashabiki 🤔🤔🤔
@mwalitv4555
@mwalitv4555 3 дня назад
Ningemuoa huyu dada tungeifumbua Dunia macho...
@SikituYusuph-fr7rj
@SikituYusuph-fr7rj 3 дня назад
Unaona faima unakazi ya kumsema paul tu na maisha yake tizama mumeo anachofanya unapaula ana muda na ww inabidi ww ubadilike usipende kufatilia maisha ya watu
@humbleshoal
@humbleshoal 3 дня назад
Mbona wanasema ni dada yake jamani?
@JenipherEdwardy-n3h
@JenipherEdwardy-n3h 3 дня назад
Polee sana nandy jaman mwanao duuuuh mrudie mungu wako kila saa kuacha matako nje mung apend ukianguka tena unakufa hapahap
@amutusimirebrian3253
@amutusimirebrian3253 4 дня назад
Rayvanny akosawa
@BestMilazo
@BestMilazo 4 дня назад
Kweri kk
@UwamuregeyeSamuel-rq7jz
@UwamuregeyeSamuel-rq7jz 4 дня назад
🙏🙏🙏💃💃💃💃💃💃💃💃💃🔥🔥🔥🔥🔥
@judithotieno2628
@judithotieno2628 4 дня назад
ali kua ni muizi yule muna muke dio mana aka piga
@judithotieno2628
@judithotieno2628 4 дня назад
buona serata a lei
@ShabiruShaidu-kf2wx
@ShabiruShaidu-kf2wx 4 дня назад
Labda muufute kwenye simu yangu 🤣🤣 Maana jamaa kasema ukweri big up san bro
@yfhff5268
@yfhff5268 4 дня назад
Safi sana Nandy hongera dada memo umefanya vizuri sana haya mtagini na yule msemaji wa familia mr. Mwanya aje aone makubwa aliyomfanyia mfanyakazi wake
@mbembelatv
@mbembelatv 4 дня назад
Too late😂
@ChenchiKing
@ChenchiKing 4 дня назад
Duuh..!! Niliyajuwag Tu Haya Sema Basata Wanoko Xana
@Ismailgadabra
@Ismailgadabra 4 дня назад
Sasa kweli usisemwe
@Ismailgadabra
@Ismailgadabra 4 дня назад
Nyimbo itapigwa maana anasema ukweli
@OmanGift
@OmanGift 4 дня назад
Duuuu
@ChenchiKing
@ChenchiKing 4 дня назад
Hapo So Wote Ambah Watakah Performance Ila Lazm King 👑 Na Konde Walihamshe Vibaya Mno❤🎉❤
@abdallachiteki9038
@abdallachiteki9038 4 дня назад
Si atuambie basi huyo nandy kafanyje mdada wa kazi
@GorgoniaPonsiano-b6x
@GorgoniaPonsiano-b6x 4 дня назад
Waooo tamu sana anajua anakipaji dada ake muwezeshe