Тёмный
Ambition Plus
Ambition Plus
Ambition Plus
Подписаться
Ambition Plus ni chaneli ya kiswahili inayojihusisha na utoaji elimu ya biashara kwa njia ya mtandao. Chaneli hii ni kwa ajili ya kutoa hamasa, kuangazia fursa na kuanika ukweli wa mambo mengi ambayo ni mageni kwa watu hasa wafanya biashara na watu wanao tamani kuingia kwenye biashara.

Ambition + pia ni chaneli iliyojikita katika kupigania vita ya ajira kwa vijana ambao hawana ajira, na ambao wapo kwenye ajira lakini hawaoni mwanga wa mafanikio. Ajira ni changamoto mpya kwa vijana wengi wanaomaliza vyuo na mafunzo mbali mbali, Ambition +itakuonyesha ni namna gani unaweza kuitumia elimu yako kupigania maisha yako na kufikia mafanikio.

Pia imejikita pia katika kuwafundisha watu tofauti juu ya namna ya kutumia mtandao (internet) kujiingizia kipato na kuondoka kwenye wimbi la utegemezi. Katika dunia ya leo biashara nyingi zimekuwa zikifanyika mitandaoni lakini changamoto ni watu kukosa uelewa wa namna ya kutumia mitandao kufanya biashara hizo. Ambition plus tupo kwa ajili yako
DAR ES SALAAM VS NAIROBI UPI MJI MZURI
4:35
2 месяца назад
DAR ~ MBEYA KWA TRENI NI RAHA SANA
3:07
2 месяца назад
VYUO BORA AFRICA MASHARIKI
2:12
2 месяца назад
How to film and edit with Iphone
10:55
2 месяца назад
SHULE BORA ZA SEKONDARI O~LEVEL
1:50
2 месяца назад
SITE 22  MONSTER Short Film
7:21
3 месяца назад
SNIPER ONE SHOT ~short ACTION film
6:34
3 месяца назад
Jinsi ya kutengeza ndege ya karatasi
1:05
5 месяцев назад
KOZI ZA KUSOMA CHUO CHA NIT
1:35
Год назад
KOZI ZA KUSOMA UDOM
1:03
Год назад
KOZI 10  BORA ZA AFYA MWAKA 2022/2023
13:46
2 года назад
KOZI ZENYE KUTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:04
2 года назад
Комментарии
@zainabkoburongo4442
@zainabkoburongo4442 4 дня назад
cbg
@bekaommy555
@bekaommy555 14 дней назад
Nikwa aina zote za simu
@VictoriaGasper
@VictoriaGasper 17 дней назад
Hizi za kiume za kike je
@KellyMwakatobe
@KellyMwakatobe 17 дней назад
Kusoma raha
@AbdulAbdul-i3t
@AbdulAbdul-i3t 18 дней назад
Nimechaguliwa chuo af nataka nikaxome cbg af nina division three ya 22 nitafanyaje ety
@shinjengasa3574
@shinjengasa3574 21 день назад
Ivi hapa unaongelewa ubora wa majengo na miundombinu au ubora wa elimu?
@EassaHuthad-wq5pd
@EassaHuthad-wq5pd Месяц назад
Madraam mapipa
@EassaHuthad-wq5pd
@EassaHuthad-wq5pd Месяц назад
Madram. Yanatupa shida plls
@EassaHuthad-wq5pd
@EassaHuthad-wq5pd Месяц назад
Tunaomɓa video ya kujifunza madam pls
@khamisimaallimtv8539
@khamisimaallimtv8539 Месяц назад
Kwahiyo ualimu nao unalipa hivi ni kweli ila kwa ninavyojua ata kazi ya ndani yaweza kuwa na hela nyingi ila inategemea uko wapi
@Choisa-y8d
@Choisa-y8d Месяц назад
Respect bro.
@nurdinmdudu3701
@nurdinmdudu3701 Месяц назад
History jee nayo changamoto?
@LeticiaSospeter
@LeticiaSospeter Месяц назад
Kipo wapi?
@user-rj4qu8dc6d
@user-rj4qu8dc6d Месяц назад
samahani nahitaji ku apply katika chuo chenu
@PhilipLuge
@PhilipLuge Месяц назад
@ndulumaduhu3914
@ndulumaduhu3914 Месяц назад
Udom oyeeeeee em tujuaje bac
@sautizahadithi255
@sautizahadithi255 Месяц назад
Umitaja shule tano Bora Tz hatuwezi kuiacha St Francis, ukitaja shuke tatu bora huwezi iacha St Francis ukitaja shule mbili bora huwezi kuiacha St Francis ukitaja shule bora Tz..........?
@AbdulMgude-iv1ql
@AbdulMgude-iv1ql 4 дня назад
st Francis ndo ipo nchi gani
@ChristianiMtinda
@ChristianiMtinda Месяц назад
Please can you save me clarification of the following course bachelor of arts in human management and environment study
@noelaclaudy4721
@noelaclaudy4721 Месяц назад
❤️
@AbdallahRashid-rr2rw
@AbdallahRashid-rr2rw Месяц назад
Waongo
@MoPlus-o8m
@MoPlus-o8m 2 месяца назад
Sasa jaman mabro na massta n chuo gan kizur kitaaluma,kimaradhi,na maixha kiujumla? Tujuzen jaman man cc wahtimu wa juzi apa tucj tukachagua vyuo ambavyo vna hard life
@JamalOthuman-ko5nl
@JamalOthuman-ko5nl 2 месяца назад
Naomba maelekezo namna ya kujiunga na chuo
@user-bc2wd1sq3k
@user-bc2wd1sq3k 2 месяца назад
Naomba za chuo hiki nisaidie
@milleymadikah9031
@milleymadikah9031 2 месяца назад
Mmesahau Biomedical engeneering, very nice course
@JenipherEzekiel
@JenipherEzekiel 2 месяца назад
Jaman vp khs comb za chinese?
@JenipherEzekiel
@JenipherEzekiel 2 месяца назад
Jaman vp khs comb za chinese
@mohdsalum-pn2rd
@mohdsalum-pn2rd 2 месяца назад
Wacheni uongo hakuna icho kitu muhim watu wasome kwa kitu ambacho wanakihitaji kaz n jamno jengine kabsa
@mohdsalum-pn2rd
@mohdsalum-pn2rd 2 месяца назад
0:13
@robinsonwanjara9617
@robinsonwanjara9617 2 месяца назад
Ni vigezo gani vimetumika!
@everlastinggospelchurchtz
@everlastinggospelchurchtz 2 месяца назад
Ni kweli kabisaa inahitaji uwe na mtajibujiajiri
@SilvesterApolo
@SilvesterApolo 2 месяца назад
UDOM🔥🔥🔥kupata course work tu unashangilia ni moto
@AllyHabib
@AllyHabib 2 месяца назад
Nataka kuchukua medical doctor lkn sijui sifa za kujiunga na kozi io
@lilianiminja85
@lilianiminja85 3 месяца назад
inakuaje charlotte haipo iv mwandishi anauhakika kweli???
@user-hd7vt8fk5t
@user-hd7vt8fk5t 3 месяца назад
Uongo mtupu
@emmanuelnazareth3096
@emmanuelnazareth3096 3 месяца назад
Huwez acha st Francis katika kutaja shule Bora ndo shule unayofaulisha darasa zima kwa grade za juu tuu
@user-gn8ny8yw3u
@user-gn8ny8yw3u 3 месяца назад
St Mary goret moshi je
@asteriashios1852
@asteriashios1852 3 месяца назад
Tupeni ukweli Canossa ipo wapi mnatuchanganyia hbr moro au dar
@asteriashios1852
@asteriashios1852 3 месяца назад
Ardhi Kiko vinzuri ila hujaitendea haki siyo Cha 8 labda Cha 3 au 4
@AgnesSamwel-dp3zq
@AgnesSamwel-dp3zq 3 месяца назад
😂 hongereni shule za serikali
@Fantastic.-gm1eo
@Fantastic.-gm1eo 3 месяца назад
Teaching😂
@SophyWaziri-re6wu
@SophyWaziri-re6wu 3 месяца назад
What about KCMC jmny
@Fantastic.-gm1eo
@Fantastic.-gm1eo 3 месяца назад
Wana art someni procurement, kozi nyingine mtakuja kufa na njaa huku mtaani😂
@FlenkJames
@FlenkJames 3 месяца назад
Naomba namba zao chuo Cha NIT
@LucyThomas-ir3yn
@LucyThomas-ir3yn 3 месяца назад
Jaman napenda sana hii kazi
@SalumDilemwa
@SalumDilemwa 3 месяца назад
Yeah
@erickmsimbe5424
@erickmsimbe5424 3 месяца назад
Hapo sijakuelewa
@mosesfrancis8495
@mosesfrancis8495 4 месяца назад
👊
@califgoban9086
@califgoban9086 4 месяца назад
Tremendous knowledge...
@mwamvitakinjwanjwa7162
@mwamvitakinjwanjwa7162 4 месяца назад
jir
@mwamvitakinjwanjwa7162
@mwamvitakinjwanjwa7162 4 месяца назад
kunashule ambazo zenyewe Wana penda kusema Wana Soma wale wenye uwezo uwezo wp wote ndowalewale mmm inafurahisha