Тёмный
Yetu News
Yetu News
Yetu News
Подписаться
ni Kazi yetu ni kukuletea Taarifa na habari zote pale tu zinapotokea.
Kama kuna jambo hujapenda tuandikie kupitia:
Email: yetunews@gmail.com

Facebook: Yetu News
Instagram: @yetunews
Website: www.yetunews.com
Комментарии
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 9 часов назад
Jamani hivi mlivyomkamata kwa niini wasiuwawe
@FranceKyaruzi
@FranceKyaruzi 11 часов назад
Ni haki yake
@user-rl6vf9tg8m
@user-rl6vf9tg8m 13 часов назад
Mmmmmmmh
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 14 часов назад
Hanunuliki huyo.
@leonardlameck7486
@leonardlameck7486 17 часов назад
Mbona huko kwao Zanzibar hatusikii chochote alichokiuza, ina maana wao hawataki faida? Kuna watu hapa miaka ijayo watakuja kutafuta pa kwenda kuishi kwa madudu yao wanayotufanyia Watanganyika, Tanzania ni kivuli cha kutupora raslimali zetu tulizopewa na Mwenyezi Mungu, iko siku tu
@user-sg1xt2zg4o
@user-sg1xt2zg4o 18 часов назад
Uyo inatakiwa apeweazabu kari ata kama kunawengine wanaetaka kufanya kitendo kama icho waogope
@annakaijage9205
@annakaijage9205 18 часов назад
Daah jamani Mungu amlaze mahala pema
@user-bq2ss7eg2v
@user-bq2ss7eg2v 20 часов назад
Hukumu ndio itadhihirisha janja janja kwa mabosibosi imeisha na cyo kumfikisha mahakamani kiini macho.
@RajabuUnyango
@RajabuUnyango 21 час назад
Wanyonge kabisa
@familyofgodtv1290
@familyofgodtv1290 21 час назад
Lisu usinunuliwe kiurahisi namna hiyo umesha pewa jina la simba
@desderiampanda-lu2zc
@desderiampanda-lu2zc 22 часа назад
Amwagiwe petrol na achomwe moto tuonemajivu tu huyo sio wakufungwa mnamchelewesha huyo nanyie lo
@TunuselemaniKiabi
@TunuselemaniKiabi День назад
Uyo mama aliowatuma Vijana ana watoto kwaeli 😢😢
@daudsonda9706
@daudsonda9706 День назад
We una gari ngapi? Lisu sio fisadi ndo maana hanamagari mengi.
@AYUBURUGOYE
@AYUBURUGOYE День назад
MAKALA kamaungezaliwakwetu zanaki tungekuita nyangazika
@AYUBURUGOYE
@AYUBURUGOYE День назад
,HURUMAGANI NAWAKATI MLIMPIGA RISASI HAMNAHAYA HATAKIDOGO KAMAMNAMPENDA 2025 MUACHIYE URAIS HASAWEWE AMOSI MAKALA JINALA AMOSI NINABII ILAWEWE NIMUONGO MPENI URAISI SIYOGARI MPENIURAISISIYO GARI MPENIURAISI SIYOGARI!!!!!!!!!!!ACHENI UNAFIKI
@emmanuelmunuo7529
@emmanuelmunuo7529 День назад
Na je kama mwanke ndo kabaka inakuwaje ?
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn День назад
Ukimwamgalia vizuri Makala ni kama anaumwa! Sasa hapa nakaribia kushindwa kukadiria nani sterling wa maigizo nchini, Makonda au Makala? Ila sitachoka kuwakumbusha watanzania ndgu zangu, maigizo: Mwenezi Makonda na ziara nchi nzima na kuacha ziara ghafla huku wananchi waliotiwa matumaini wakibaki wameduwaa. Halafu sauti ya kuita: Makonda, naam mama CCM, ebu jifiche siku kadhaa, sawa mama, Makonda anatii na kujificha! Baadae picha ianaendelea: teka watu, wapige viongozi/wafuasi wa CHADEMA, mnunue "mchungaji" Msigwa, na ya leo leo: mpige kwanza Lissu halafu mpe "zawadi!" Na mengine maigizo yaja, tujiandae! Ni ili tusahau: kashfa ya sukari Mpina vs Bashe, umasikini na maisha magumu umma unaogelea, deni la taifa linalopaa, ufusadi wa mitaifa na kimataifa (ripoti za CAG), upigaji bwawa la mwl. Nyerere na SGR ya Magufuli, mikataba tata bandari na raslimali za taifa. Tukisha yasahau haya utawala na mafisadi wanaendelea kula bata!
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 День назад
Tema ulichoweka mdomo ili upnger vizuri. Nyani haoni kundule
@henrymligo2440
@henrymligo2440 День назад
sahihi
@user-ce2xg9wt4s
@user-ce2xg9wt4s День назад
Siasa zinazohumiza
@temuramadhani5134
@temuramadhani5134 День назад
Kunyongwa kwa kamba mpaka kufa mbwa ao
@temuramadhani5134
@temuramadhani5134 День назад
Sasa kama wamekana zile video za nani?
@schoollife5813
@schoollife5813 День назад
Msikimbilie kukuta uume.serekali iweke mikakati na jamii kwa ujumla .tuishi kimila zaidi .serikali iache ktetea ukiukwaji wa maadili kwa kuingiza utamaduni wa nje mfn eti mtoto akipata mimba kuendelea na masomonamitindo ya mavazi ,watu wazima kufanya ngono na watoto bila kuchukuliwa hatua .uhuru usio na mipaja..serikali jamii jioangeni upy
@elizabethbarnabas115
@elizabethbarnabas115 День назад
kifo
@RebeccaMboya-g2q
@RebeccaMboya-g2q День назад
Huyu mzee anaogopa kukatwa sehemu zake
@NelsonGeofreymush
@NelsonGeofreymush День назад
Anyongwe kabisa astahil kuishi huyu mzee
@evelinambewe2835
@evelinambewe2835 День назад
Analahisisha huyu mama
@samsonimnyampala
@samsonimnyampala День назад
Mungu tuhurumie dunia imeisha
@user-cw5mn4vi7e
@user-cw5mn4vi7e День назад
Ni Dalili za kurudi kwa yesu kwa nini uwe wewe inatisha Tumrudie Mungu Ajili zimeharibika
@saumuseif9910
@saumuseif9910 День назад
Selikar tafuteni njia yakukomesha hili wabakaji sàsa kilakona
@saumuseif9910
@saumuseif9910 День назад
Hawa wanaofanya vitendo hivyo kwani mpaka mfanye uchuguzi mtu mpaka ameuwa mtoto mpeni kinachositahili iliiwefundisho kwawenginee ubak
@annamanyama1247
@annamanyama1247 День назад
Tumechoka kilakitu huyu mama anauza da mungu atashugulika naye sisi watanzania tutalua na mungu
@AminaHamis-u4b
@AminaHamis-u4b День назад
Akamatwe tu afande kwani maelezo yanajitoshereza kwani na picha zimetungwa? Mnapoteza muda haki itendeke
@RatifaRunjes
@RatifaRunjes День назад
Adhab unay mfaa huy baba na yy hatoeke dunian
@RatifaRunjes
@RatifaRunjes День назад
Baba huyo hafai hatakuigwa
@ambokilenyondo3122
@ambokilenyondo3122 2 дня назад
Da k*make
@GraceChacha-bx3bq
@GraceChacha-bx3bq 2 дня назад
Oooo Yesu duniya imeisha uyo mtuu anyongwe
@MohammedMbwambo
@MohammedMbwambo 2 дня назад
Kunyongwa hadi kufa
@SofiaSofi-q6r
@SofiaSofi-q6r 2 дня назад
Hapa naona kweli Kuna tatizo kubwa Sana hizo ni Imani za kijinga Sana na upumbavu . Maisha ya kishirikina na kuamini Hawa waganga katika jamiii nitatizo kubwa Sana. Jaribu kuona hiyo siyo akili ya kawaida kabisa. Maagano hayo yakutafuta maisha mazuri bila jasho ndyo mitego hyo. Mtoto wako mbegu zako kutoka kiunoni mwako Kama mwanaume. Unashindwa kuona hata sura ya upendo na huruma kwa kiumbe Kama hichi. Hyo mbele ya Mungu na malaika afai. Hata katika jamii yetu ni zaidi ya shetani. Mungu anaona yote na amesikia kilio Cha hyo malaika wake yeye ni Mungu anayo majibu yote.
@DrophinaDrophina
@DrophinaDrophina 2 дня назад
Baba Baba Baba Baba. Anyongwe
@gwantwamwalyaje8515
@gwantwamwalyaje8515 2 дня назад
Mtangazaji Manndazi Huna lolote
@Peaceaminy
@Peaceaminy 2 дня назад
anyongwe t mamb yasiwe mengi.
@GraceNdambala
@GraceNdambala 2 дня назад
Tunaomba hakiifanyike selikali ikowap mbna hayamambo yamekua mengi sana tusaidieni watoto wakike
@irenlaurent9650
@irenlaurent9650 2 дня назад
Mm kwa ushauri wangu ,,Mtu yeyote akikutwa amebaka na kulawiti ,,wamuhasi ili hasije lawit na wengne ,,iwe atafungwa baada ya kutoka ataendelea ,, wamuhasi bhass🙅
@faridashabani1137
@faridashabani1137 2 дня назад
🙏🙏
@AnitaKway
@AnitaKway 2 дня назад
Hii kesi kwa kweli askari wanalindana na sioni kama haki itapatikana.
@mrokana6493
@mrokana6493 2 дня назад
Kazi gani..😮😢😅😅😅
@user-zk9ox3di4b
@user-zk9ox3di4b 2 дня назад
asanteni sana kwa kumpa lisu gari jipya la kifahari je nakuuliza makala je serekali ya Samia mbona aiwapi vijana uwezo wa kujiajiri je nakuuliza amosi kwa yule masikini pale kijijini anafaidaje na ilo liprado la LISU akuna je nakuuliza wewe makala wamachinga Bado mnakimbizama nao tunawangokea njia panda mkituambia ya ya gari la LISU aiwasaidii vijana wakitanzania ambao Awana Cha kujivinia Awana ajira pia Awana mashamba walime mazao ya chakula na biashara kazi kubwa ya Samia na CCM yake ni. Kuwaleta wageni nakuwapa uridhi wetu waarabu tutageuka tuwe sumu kwa maana iyo CCM inaendelea kugandamiza je nakuuliza CCM ni kitugani je nakuuliza CCM ni ya nani je nakuuliza wageni wataipigia CCM kura jibu ni apana nawauliza ninyi angalieni sana mnae ndani ya bunge wamekaa apo kwa masilai yao sio kwa masilai ya wanyonge tuwapende raia kwasababu ndio nchi yetu isiwapende wakati kampeni tuuu mpaka wakati washida waktiuwo mnakuja mbele yao mmevaa miwani ya Giza na Bado Arusha mumetufinga kama tonge la ugali lakini tunawaambia nendeni kwa sakikya mkamsalomie wenu ni simba sauti ya wanyonge tupewe haki zetu zote watanganyika tulinde yetu msilale Tena kimekucha
@IgnasiaAmati
@IgnasiaAmati 2 дня назад
😭😭😭😭😭😭😭😭
@IgnasiaAmati
@IgnasiaAmati 2 дня назад
😭😭😭😭😭😭😭😭