Тёмный
Spotika Online TV
Spotika Online TV
Spotika Online TV
Подписаться
Welcome to the Official Spotika Online TV RU-vid channel.

Spotika Online TV is a FAST growing Sports & Entertainment news coverage Online channel that was born in Tanzania.

Founded in 2022, we offer the best and broadest range of content and use innovative new technology to give viewers and customers a better TV experience.
Please Subscribe

Spotika Online TV ni Chaneli ya Mtandaoni ambayo imejikita katika utoaji wa taarifa za Michezo na Burudani, pamoja na mahojiano maalumu ya Wanamichezo pamoja na watu maarufu mbalimbali.

Spotika Online TV ni Chaneli inayofanya kazi kwa Weledi na kufuata sheria za nchi.

Tafadhali Subscribe #SpotikaOnlineTV ili uwe sehemu ya familia hii muhimu.


Комментарии
@user-pu4do8zc2k
@user-pu4do8zc2k День назад
Tunaomba asiondoke kabisa
@johnmgoroba379
@johnmgoroba379 День назад
kacheza Afcon???????kweli madocta wa TZ mimi siwez kutibiwa
@user-mt3ui7mt4k
@user-mt3ui7mt4k 2 дня назад
Tena wamemkomesha mana anatoaga miahadi mingi mnoo huyo
@LucyJohn-g6r
@LucyJohn-g6r 2 дня назад
😂😂😂😂😂😂
@kolosii4351
@kolosii4351 2 дня назад
Na wale wanaoahidi wake zao wachukuliwe.
@zeyanaalhabsi8636
@zeyanaalhabsi8636 2 дня назад
Kweli mnaitwa makolo hamjitambuwi
@AishshibnShibani
@AishshibnShibani 2 дня назад
Sikaaidi mwenyewe
@UpendoMlewa
@UpendoMlewa 2 дня назад
Simba inanipa furaha jamani
@SemkiwaAbed
@SemkiwaAbed 2 дня назад
Tutafikatu simbaaaa
@DavidAlphonce-rf4tt
@DavidAlphonce-rf4tt 2 дня назад
😊😊😅
@annananyangwe4207
@annananyangwe4207 2 дня назад
The one of the best player chama
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h 2 дня назад
Ohhh gsm, ohhh bahasha, ohhh.
@user-wl3sv2xn9e
@user-wl3sv2xn9e 2 дня назад
Makolo hata wakiwaleta wale vijana wao wanaojivunia mwezi wa10 kipgo kipo palepale hata washupaze shingo,walete na ubishi wa kishabikikutetea ubovu wao bado watapgwa na wale wanaowaita wazee
@mulhatramadhan1147
@mulhatramadhan1147 2 дня назад
Chama akirudi simba atakwenda kuvia, tuachieni chama wetu
@BilaliSeleman-e5r
@BilaliSeleman-e5r 3 дня назад
Jamani wa kwanza mm nipeni like zangu😂😂
@AnnamasingaShomi
@AnnamasingaShomi 3 дня назад
yanga rahaaa😢
@nasradaud6212
@nasradaud6212 3 дня назад
Mabingwa wanchiiii woyoooo mueke pemben uyo anaejiita mnyama hapa ni mwendo wa magoli to love you Young💛💚
@NdemiNgeme
@NdemiNgeme 3 дня назад
Yaaaaaaaaaaap
@Emanuely-p6v
@Emanuely-p6v 3 дня назад
Oyoooooo
@ChristinaWakala-y8b
@ChristinaWakala-y8b 3 дня назад
Yanga bingwa
@MartinKilimba
@MartinKilimba 3 дня назад
Mwananchi mbele nyuma mwiko
@NeemaMmary-kl7no
@NeemaMmary-kl7no 3 дня назад
7+3
@HamisWambali
@HamisWambali 3 дня назад
Yanga mkifunga 5 mnikumbuke pesa za mama
@MwasamaniGunda
@MwasamaniGunda 3 дня назад
Pacome
@getrudamwilongo
@getrudamwilongo 3 дня назад
Ally mhepile yanga piga 5
@ImanJonas-t5p
@ImanJonas-t5p 3 дня назад
Yangaaaaaaaaaaa hiiiiiiiiii jmaniiiiiii
@Ceciliakingazi-u7e
@Ceciliakingazi-u7e 3 дня назад
Oyoooo
@peterchande957
@peterchande957 3 дня назад
Huyu jamaa ni mnyakyusa chizi anasahau kama Yanga yuko klabu bingwa Simba wako shirikisho, kimpira Yanga wako juu sana mara milioti ya Simba
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 4 дня назад
😂😂nikuwachana tu,ili kuwasaidia kolo🎉🎉
@DenisSanga-bj5ud
@DenisSanga-bj5ud 4 дня назад
Mchome mimi ni Simba ila nakuelewa sana japo unaniuzi mda mwingine
@user-bh2bx3kk4u
@user-bh2bx3kk4u 5 дней назад
Tunaomba.asiende.bado.tunampenda
@suleimanmwenyemvua995
@suleimanmwenyemvua995 5 дней назад
Kwa waarabu hakuna maisha ni kuharibu kipaji😂😂😂🎉
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 6 дней назад
TATIZO LA HAO WAKUWACHUKUA HUWA WANAENDA KUWAWEKA BENCHI HADI WANAUA KIPAJI CHA WACHEZAJI. NA NYIE WACHEZAJI MUWE MNA KATAA MNAENDA KUUWAVIPAJI VYENU
@propKibali
@propKibali 6 дней назад
Mwongo, we utakuwa wa kwanza?
@KhalifaUssi-o6h
@KhalifaUssi-o6h 6 дней назад
Kwanini club zetu zikitafuta wachezaji wa kigeni huwapata Kwa bei za juu Sana ila zikitowa wachezaji wa ndani kuchezea nje zinatowa Kwa bei ya chini? Mimi naamini soka letu lipo juu na limekuwa Sana hivyo niwakati wa kuwauza wachezaji wetu Kwa bei za juu kama wachezaji wengini tuache kuwazarau wachezaji wetu. Kwa thamini ya ubora wa ligi yetu ni sahihi kumuuza mzize Kwa hata bilion 4 na anakiwango Bora Kwa sasa ni zaidi na stricker ambae anaweza kukuofa vitu vingi. Na usisahau malengo ya club aliyo Kwa sasa inamalengo ya kufika mbali hivyo ikiwa na tamaa ya mamilion ujuwe unajidhoofisha mwenyewe vkiuwezo na unaruhusu maaduwi wako wakushambulie kiurahisi maana umeuza nyenzo na umebaki na akili tu na akili bila nyenzo hazisaidii Kwa wakati sahihi
@stevensosipita
@stevensosipita 6 дней назад
TUENDELEE KUMNOA WAONGEZE PESA KIJANA AKATAFUTE MAISHA MBELE
@JosephAdam-e9w
@JosephAdam-e9w 6 дней назад
Yani simba yet2 himebaki jina tu pre sizoni walikua kwenye mandanguro kusema bdo awajawanamuunganiko uu usenge yani wachezaji walio sajiliwa kumi nanne watatu kdo wanajua kamala , ispecter ,debola na okajefa , amza , waliobaki ni hidadi yawachezaji sio wachezaj wkina mtare mkwara hawa mashaka hawa sijui tulipewa kwa msaada mm sierewi af unasikia mo anasema kikos chab 7 hiki ata b moja aifki kabisa
@FaustineMasamba-bj9jx
@FaustineMasamba-bj9jx 7 дней назад
Sio kwel
@pambaboniface1199
@pambaboniface1199 7 дней назад
Kwani hiyo ubwela ni timu ya mama Yako?
@johntulio2644
@johntulio2644 7 дней назад
Wewe Sio Simba ni Yanga
@user-yz6ds9hn9l
@user-yz6ds9hn9l 8 дней назад
Mungu amlinde na viongozi wetu walindeni wachezaji, na pia matola hatoshi hapo mpelekeni kwigine mnajua nyie viongozi wa simba mnamaslahi yakuwa mnawafukuza makocha kwa kumuweka huyo matola kuwahalibu makocha wageni, jamani kwani mkutano mkuu bado unafanyika lini kumng'oa mangungu,
@allyrembo6714
@allyrembo6714 8 дней назад
Mpenja amekwisha pewa bahasha ni lazima ajipendekeze siyo kitu cha ajabu yeye I mtu kama mtu mwingine anamawazo yake ila tofauti mwingine anaweza kutoa mawazo ya kijinga kwa ajili bahasha na mwingine akatoa mawazo kwaajili ya uwelewa wa mpira sasa kwa mpenja kutangaza siyo ku ufamu mpira aelewe ligi bado ndiyo kwanza asubuhi
@user-rh9iq4of5w
@user-rh9iq4of5w 8 дней назад
Kiukwer Tim yasimba bado mbov
@DenisSanga-bj5ud
@DenisSanga-bj5ud 8 дней назад
Mzee wa Saluti wewe ni mmoja kati ya watu wa mpira pia unaongea fact bila kileta ushabiki
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 8 дней назад
Tutakutana terehe 19
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 8 дней назад
Tukuta terhe 19
@abdallahsharif426
@abdallahsharif426 9 дней назад
RIPOTA: NINI MAANA YA YANGA? MZEE SAID: KWA UFUPI NI YOUNG AFRICANS.. RIPOTA: MAANA YAKE INGINE? MZEE SAID: NEW YOUTH ARMY(JESHI)/ASTONISHING/ACCOMPLISHED/ACTIVATED...ARMY NI JESHI HIZO ZINGINE MAANA YAKE NINI? MZEE SAID: WALE? WALE VIJANA NI ATARI......❤❤❤❤❤❤ RIPOTA: SLOGAN YAO KWA KIINGEREZA? MZEE SAID: THE QUESTION ISN'T WHO IZ GOING TO LET ME WIN ANY CUP; IZ WHO IZ GOING TO STOP ME.......❤❤❤❤❤
@OmarJoho
@OmarJoho 9 дней назад
Kama mbovu karete baba yako aje acheze
@MikidadiKambinda-tr6rl
@MikidadiKambinda-tr6rl 8 дней назад
Omari. Joho. Kubali. Wanayo. Sema. Kaka. Zako. Matusi. Ya. Nini. Ndugu. Yangu
@herrygeofreykilasi8658
@herrygeofreykilasi8658 9 дней назад
p
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 9 дней назад
Mpenja amesema kilichokosekana Ni ukatili ule wa uwanjani,Ni kweli tunataka wawe wakatili,ubaya ubwela tuuuone , wamekuwa Na huruma Sana , Yanga wanaingia uwanjani kama wamefunga kitambaa usoni ,kama hawaoni, wanakaba wanasukuma pira Na wanalitamani Goli Kuliko Kati, Sasa Simba wanapenda Kati Kuliko Goli , this time naamini watabadilika tuwape muda , maana saikolojia Yao ilishapotea ,Sasa kilichobaki Sio kuwaambia Bado Bali tuwaambie mmeanza vizuri Na ongezeni bidii ,tuwashinde watani 😂😂😂😂
@user-hb6rs4zn5z
@user-hb6rs4zn5z 9 дней назад
mim ni simba ila timu mbovu zana