Тёмный
DART TV
DART TV
DART TV
Подписаться
Official RU-vid Channel of Dar Rapid Transit. We 'Aim to serve you better by providing the information you need for a safe and enjoyable commute'.
KADI JANJA MBIONI KUANZA KUTUMIKA
6:13
2 месяца назад
Mfumo wa AFCS waikosha Benki ya Dunia
3:48
9 месяцев назад
USIPUUZE, HAKIKISHA HUKOSEI
0:36
Год назад
Комментарии
@anitakidola3820
@anitakidola3820 6 часов назад
Nahukuru kwa kutujuza mambo haya mazuri, je hii nikwaajili ya watumishi wa umma tu?
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 20 дней назад
Nyie sijui vipi badala kujenga miji na kukodisha kuuza ili mji iwe kama sehemu nyingine duniani nyie mnageuka kuwa madalali lazima tubadilike mtazamo miji haipangwa vizuri blabla tu
@mussamussa8181
@mussamussa8181 24 дня назад
Barabara nyembamba mno
@mamodelmam
@mamodelmam 24 дня назад
Nyie DART uku mbagala ujenzi si ushaisha??? Mbn hamuanzi huduma ?? Yan barabara imanza kujengwa tangu niko diploma ad leo nimemaliza degree. Nyie watu kiboko
@user-bf3mm5wu1s
@user-bf3mm5wu1s 27 дней назад
safi sana mfanye halaka kabla 2027
@pardonfox331
@pardonfox331 29 дней назад
HELLO #BRT #Tanzania #DARTMwendokasi #DARTMwendokasi #MwendokasiApp #Tanzania #BRT #TowardsSmartCities I am personally realy concerned na design mlioamua kutumia ya barabara ya Gongo la mboto - Tazara together with perhaps Buguruni -Kariakoo. Hivi did you really DESIGN and then make a prototype for Simulation?????? Ninavyoona gari nyingi zitakua zinapata ajali au kubomoa kingo za barabara. Look forinstance pale kutoka JET Mataa then unakuja VINGINGUTI Mataa pale kwenye kituo cha Murza Oil and Pepsi. Instead barabara ingekua inayooka tu, but kwenye kila kituo kumekua na indent, slight corner ya kama kuzunguka kwenye kituo, tofauti na Kimara- Mbezi design ambapo barabara inanyooka tu. Bearing in mind hiyo no highway. Fikiria ziko gari mbili kubwa zinaenda two way then kwenye kale ka corner you think zitatosha.. Let alone that, vipi wakati kuna misafara, hamuoni you putting hizo convoy kwenye unnecessary risks.. HEBU Change your design and adopt the straight line design, mtakuja kubomoa hizo lines au many accidents will be observed.. Thats my thinking.. POORLY DESIGNED NEVER DID A SIMULATION BSE MNGEONA HIYO CHANAGMOTO.. 1. PLAN 2.PLAN 3.PLAN
@pardonfox331
@pardonfox331 29 дней назад
HELLO #BRT #Tanzania #DARTMwendokasi #DARTMwendokasi #MwendokasiApp #Tanzania #BRT #TowardsSmartCities I am personally realy concerned na design mlioamua kutumia ya barabara ya Gongo la mboto - Tazara together with perhaps Buguruni -Kariakoo. Hivi did you really DESIGN and then make a prototype for Simulation?????? Ninavyoona gari nyingi zitakua zinapata ajali au kubomoa kingo za barabara. Look forinstance pale kutoka JET Mataa then unakuja VINGINGUTI Mataa pale kwenye kituo cha Murza Oil and Pepsi. Instead barabara ingekua inayooka tu, but kwenye kila kituo kumekua na indent, slight corner ya kama kuzunguka kwenye kituo, tofauti na Kimara- Mbezi design ambapo barabara inanyooka tu. Bearing in mind hiyo no highway. Fikiria ziko gari mbili kubwa zinaenda two way then kwenye kale ka corner you think zitatosha.. Let alone that, vipi wakati kuna misafara, hamuoni you putting hizo convoy kwenye unnecessary risks.. HEBU Change your design and adopt the straight line design, mtakuja kubomoa hizo lines au many accidents will be observed.. Thats my thinking.. POORLY DESIGNED NEVER DID A SIMULATION BSE MNGEONA HIYO CHANAGMOTO.. 1. PLAN 2.PLAN 3.PLAN
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 Месяц назад
Kazi nzuri ila wale wa barabara za mitaa DMDP ni majanga matupu Kila siku ahadi tu.pugu, banguro mwembe kiboko, kifuru kinyerezi hakuna kitu mara mwezi wa nne mara wasita na Sasa wasaba duu!
@filamupictures9349
@filamupictures9349 27 дней назад
barabara za mitaa ni tarura, DMDP wana mambo mengi, japo hujenga barabara sometimes
@user-bg8zz5vw5v
@user-bg8zz5vw5v Месяц назад
Mwendokas mefeli kilakitu mpk chenji za kuwarudishia abiria hakuna kama vp mjiuzulu wate tuwape wengne
@oscarfilimbi3282
@oscarfilimbi3282 Месяц назад
Kuna changamoto nyingine nyingi mno,msongamano kwenye vituo,ukatishaji wa tiketi,wahudumu wanakuwa na lugha chafu,kukosekana kwa chenji,madereva wamekuwa wanatoa lugha chafu kwa abiria,Nauliza swali jingine ni kwa nini UDART mliondoa wale madereva wa awali mkaajiri madereva wa daladala ambao hawajali chochote wawapo barabarani na kusababisha ajali kedekede na kuharibu mabus yenyewe!
@paschaliboniphace8974
@paschaliboniphace8974 28 дней назад
KADI WAMEUA MAKSUDI
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 22 дня назад
Latra kwenye magar y wt binafisi wapiga faini kisa mtu kazdi mwendokasi tunapandiana kama ngo'mbe mbona hamuweki mabasi yenu tuone ikiwa n wakweli,mtishia raia kilacku
@josephmartin292
@josephmartin292 Месяц назад
Mabasi yaende na mda sio hovyo hovyo kama yanakwenda kwenye harusi iwekwe ratiba na mda mchana yawe machache asubuhi na jioni yawe mengi sababu ya msongamano,Tiketi ziwe kadi sio makaratasi tena ya nini ? UDA ilikuwa makaratasi 80’ 2024 makaratasi tena ndio nini sasa ?njooni mjifunze dubai
@mduda_i
@mduda_i Месяц назад
kwa mabasi yapi labda?
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 Месяц назад
Kupanda mwendo kasi ni aibu yani mnasukumizana kama wanyama mnapandana migongoni yani hakuna heshima kabisa
@isaackm3620
@isaackm3620 Месяц назад
Soma comment za bongo wajuaji kuliko wako kila mahali hii hulka sijui tutaiacha lini , mbongo huyo huyo ndo kocha, mchezaji, injinia, daktari…😅 na anasema akiwa anajiamini kabisa 😂
@section8ight174
@section8ight174 Месяц назад
Kwani unadhani wabongo vipofu? Kama kitu hakijakaa vizuri sasa unataka tunyamaze wakati ndio kodi zetu hizo!!! Wewe vipi mbona hueleweki?
@shabanponera2895
@shabanponera2895 Месяц назад
Mnapoteza pesa bure hakuna mabasi ya kupita humo msitusumbue
@petersonolangu2398
@petersonolangu2398 Месяц назад
Ujenzi wa awamu ya 1 uliikamilika 2016, miaka 8 baadae awamu nyingine zinajengwa. Cha ajabu design ni ileile na zaidi ni mbovu kuliko awamu ya kwanza. Hii ni ishara ya kufeli kwa DART na TANROADS kwa ujumla. Shame on you!!!
@section8ight174
@section8ight174 Месяц назад
Sa we bwege Kwani ushasahau mambo ya COVID hapo katikati ama unabwabwaja tu?
@petersonolangu2398
@petersonolangu2398 Месяц назад
@@section8ight174 COVID inaingilianaje na design ya vituo vya mabasi?
@section8ight174
@section8ight174 Месяц назад
@@petersonolangu2398 si umesema hapo kwamba Kuna gepu kubwa kati ya awamu ya kwanza na awazu zilizofuata? Na mimi nilikuwa nakukumbushia tu kwamba mambo yalisimama ama kupungua spidi kubwa dunia nzima.
@petersonolangu2398
@petersonolangu2398 Месяц назад
@@section8ight174 bro hapa sizungumzii mda wa ujenzi wa awamu, nazungumzia angalu pangekua na design tofauti za vituo sio vilevile kwa awamu zote...pawe na improvement
@mussamussa8181
@mussamussa8181 24 дня назад
😂😂😂😂😂😂 stupid comment ​@@section8ight174
@vinny.morales
@vinny.morales Месяц назад
Ongezeni ubunifu kwenye muonekano wa vituo
@section8ight174
@section8ight174 Месяц назад
Yaani, ni kama vibanda vya kuku aisee 😂 very basic hata kile pale SGR station mjini hakina hadhi ya ile station, wonder who comes up with these mundane designs or is it cost cutting?
@josephmartin292
@josephmartin292 Месяц назад
vituo muonekano wake mbaya mradi uko poa,Mjini wekeni vituo dizaini nyingine na kadi zitumike sio tiketi za makaratasi
@section8ight174
@section8ight174 Месяц назад
Vilevile waweke A/C kwenye hayo mabasi watu wasafiri kwa style nzuri walau!!
@mukhsintwaha5909
@mukhsintwaha5909 Месяц назад
Mwendo kasi imefeli mjitathimin huwez kata ticket ukakaa kituoni zaid ya saa moja umesubiri gari na wakati ikitokea yanapita yanapita empty hayana watu ilhali watu wamejazana vituoni , ifike pahala mjitathimini kama mnatosha kutuhudumia watanzania , Dhamira ya serikali ni nzuri lakin utendaji ni mbovu aswaaa
@LoseB
@LoseB Месяц назад
Kwan c naskia kuna mwendokasi app
@amanijampion3045
@amanijampion3045 Месяц назад
Rais alituahidi mabasi ya umeme alivyotoka ufaransa
@Kabwela776
@Kabwela776 Месяц назад
Ulikuwa uongo mtupu kila siku wanaahidi
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Месяц назад
Hiyo project ina njia zake na ni ya katikati ya mji wala haina uhusiano na mwendo kasi. renovation ya jiji la Dar inakuja soon, muda si mrefu kuna kitu kizito kinakuja kufanyika pale jangwani na hata klabu ya Yanga na wao uwanja wao wa kisasa wanaoutarajia kuujenga hivi karibuni pia nao upo ktk sehemu ya project hiyo. Na istoshe mkumbuke hata treni za kuchongoa alivyosema atazileta mlimbeza hivyo hivyo, mlimuita muongo, mkamtukana na kumkejeli, lakini mwisho wa siku mkaishia kupata aibu, chuma zimekuja na hizo safari zimeshaanza na stori taka zote zimeishia midomoni.
@Kabwela776
@Kabwela776 Месяц назад
@@rayisadesigns2646 treni zs mchongoko ni JPM na tokea yuko mzima walishatoa oda na miradi yote anamalizia ya JPM anatembelea nyota ya JPM ! Samia ni nuongeaji hamna kitu sport arena hadi michoro walionyesha na wako kimya tu
@section8ight174
@section8ight174 Месяц назад
@@rayisadesigns2646sorry but I would like to know how or where you got that info from “renovation la jiji” I wanna check it out for myself if you have a link?
@karimkinwary4668
@karimkinwary4668 Месяц назад
Yako wap mbona janja janja nyingi Yale ya zaman hayafanyi kazi kwa nn??
@israelsimba4954
@israelsimba4954 Месяц назад
Good job
@titokwareh1852
@titokwareh1852 Месяц назад
Wavivu sana nyinyi Yani hapo Tazara - Gongo la mboto hata kilometers 30 hazifiki, hakuna nyumba za kuvunja na kulipa fidia lkn mnajenga zaidi ya mwaka ? Na Bado hakuna hata kipande Cha kilometer 5 kilichokamilika
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Месяц назад
Hongera san mama samia mungu akubarik san
@salumribagine736
@salumribagine736 Месяц назад
Maashallah
@sadickabdallah1519
@sadickabdallah1519 6 месяцев назад
Mwizi huyo wamemtumbua
@eddechriss2664
@eddechriss2664 10 месяцев назад
Barabara ya Mandela road ubungo to Mkapa stadium kwa sasa pia ipewe kipaumbele hasa ukizingatia 2027 tuna Afcon
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 10 месяцев назад
Iyo lazima wataishughulikia
@chichasam9032
@chichasam9032 Год назад
sauti-hamnasd
@chichasam9032
@chichasam9032 Год назад
lipeni.wakaz-wa-ubungo--aiseee--😁😁😁
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Год назад
Hiyo safi sana jiji lazima litanuke
@michaelsiweya4969
@michaelsiweya4969 Год назад
Si uvae dela ...sasa unavaaje hivyo wakati unajua kabisa wewe ni mjaa mzito?..
@chichasam9032
@chichasam9032 Год назад
hivi mnalipa wakazi wa ubungo lini nyie 😎😎
@alphoncemalecha6012
@alphoncemalecha6012 Год назад
Mtumie Sana Rais kwenye kampeni 2025 nimrembo wapinzani wakalale hata akipanda jukwaani angers kairuki atatupa kura nyingi sana Wana ccm,pia chato asiache kuja.Rais wetu unaona mbali siku nyingi hatumuoni kura kwa Mama samia
@alphoncemalecha6012
@alphoncemalecha6012 Год назад
Kwakweli Rais nakushukuru kumteua Angela kairuki nikivutio Cha Tanzania sura yake ninzuri mno anastahili kuwa waziri mrembo
@chichasam9032
@chichasam9032 Год назад
Ajaongea kingine
@ndeshishoo9820
@ndeshishoo9820 Год назад
first to comment😂
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 Год назад
Satco wapo vizuri
@chichasam9032
@chichasam9032 Год назад
Uwongo uwongo tatiZo mwingi...promix kibao matendo 0...lipen watu wa ubungo fidia zao 😐
@chichasam9032
@chichasam9032 Год назад
Malipo ya wakaZi wa ubungo veep....😁😁
@hamischuwa3059
@hamischuwa3059 2 года назад
Kadi
@chichasam9032
@chichasam9032 2 года назад
Mnalipaaaa kweli wakazi wa ubungo kwa ajili kuwekaa karakana yenu ya mabus ama ni porojo
@sixbertpaul9435
@sixbertpaul9435 2 года назад
Mkandarasi huyu ni wa ajabu sana anajenga bila kutafuta njia mbadala
@hamischuwa3059
@hamischuwa3059 2 года назад
Tunaomba huduma ya kadi irudishwa
@hamischuwa3059
@hamischuwa3059 3 года назад
Tunaomba mtirudishie huduma ya kadi
@ludovickmuganyizi8683
@ludovickmuganyizi8683 3 года назад
Kazi nzuri
@hajiambari3924
@hajiambari3924 3 года назад
Gongo la mboto lini mradi unaanza
@makumbele
@makumbele 3 года назад
Vyote muhimu, ni vizuri kukumbushana faida kwani kuna watu wanakataa kuelewa, ila ni muhimu kujua mradi umefikia wapi na unatarajiwa kuisha lini, hilo tunataka kulijua sana. Huyo mpiga picha nae atumie kamera itakayotoa picha bora zaidi (high resolution), kama za kina Ben Mwanantala.
@michaelsiweya6500
@michaelsiweya6500 3 года назад
Mkandarasi haendi na muda kabisa.....Ni mradi unaotafuna miezi mingi sana
@chakubanga1
@chakubanga1 3 года назад
Hamisi huo ujinga wako wa kutaka ubaki na msemo wako tu, ndio kinachokufanya UWE duni.. Kwanza KISWAHILI sio lugha yako, ni LUGHA ya watu fulani tu, maana hapa TANZANIA kila mmoja wetu ana lugha yake. Magu yeye ni wa kutoka Kagera pia ana lugha yake.. Kuzungumza na kuelewa ENGLISH lugha ya MUINGEREZA ndio maana INJIL.. Kwa sababu ni lugha ya watu wote DUNIANI.. LUGHA YA SHULE.. Unalo neno la OXYGEN Kwa kiswahili.. Au Rutherfordium element #104.. Nenda Shule hata Mchina anajifunza INJIL..
@gabrieldenicc4502
@gabrieldenicc4502 3 года назад
Hacha uchizi wako kuidharau lugha yako
@geoffreysoloshija1909
@geoffreysoloshija1909 3 года назад
Vp ubungo to mwenge to Morocco, buguruni to gongo la mboto
@amiryhamza1984
@amiryhamza1984 3 года назад
mzee pongezi sana
@raymondanthony6207
@raymondanthony6207 3 года назад
Tafuteni TRC RELI TV muone wanavyofanya wenzenu nanyi mfanye hivyo!! Hzo faida kila mtu anazijua haziitaji uwe msomi wa Degree au Phd ndo uweze kuzielezea! Tanataka tufahamu mradi ulipofikia