Тёмный
Bongo Boxing Safari
Bongo Boxing Safari
Bongo Boxing Safari
Подписаться
BONGO BOXING SAFARI
Its an informative reliable channel and platform for all boxing activities (Professional and Amateur) news, get to know Boxers and many funny boxing contents across East Africa especially TANZANIA. Our news are professionally prepared considering rules and regulations of journalism.

-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Ni channel ya uhakika inayotoa taarifa juu ya mchezo wa ndondi (Masumbwi) Africa Mashariki na kwa undani kabisa Tanzania kwa ngumi zote za kulipwa na ridhaa kwa ubora unaozingatia maadili, sheria na taratibu za uandishi wa habari.
Комментарии
@Nyamko-christmas
@Nyamko-christmas Час назад
Sasa wenye kosa ni Azam na walikosea kweli wamlipe mwenye wazo lake hawa wanalalamika hawakuwahi kupeleka hata hilo wazo. wao walikuwa wanapigana tuuu wazo la mtu liheshimiwe
@BUZAFILAM
@BUZAFILAM 15 часов назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-TYuV7Mi80ok.html
@AbubakaliMashaka-m8r
@AbubakaliMashaka-m8r 15 часов назад
Tunampiga mtoto wa dar uyo anaitwa dada furaaaa moro atuna maneno meng
@AbubakaliMashaka-m8r
@AbubakaliMashaka-m8r 15 часов назад
Kabis apo brother mazome show show piga mtoto wa dar uyo chamwino nyumbn
@suleimanabdallah5503
@suleimanabdallah5503 День назад
Congrats bro
@SirajCreedi
@SirajCreedi 4 дня назад
ihi ndobongo bhan kwenye swala la michezo mpiratu ndio wameona wa mahana natimu zetu zikienda mbele zina fungwa mngepushi ata michezo mengine bs kama boxing ilikuwa ishakaa kwenye reli
@nassorosaid-rp4dn
@nassorosaid-rp4dn 5 дней назад
😂😂😂
@filbertnyoni2352
@filbertnyoni2352 7 дней назад
NYIE MABONDIA MAFALA KWELI NA HAMNA AKILI,MARA NGAPI MNALALAMIKA MAPROMOTA WAMEWADHURU PESA?MNAJUA UCHUNGU WA KUIBIWA NYIE?MBAYA ZAIDI ANAYEKUIBIA ANAPIGA PESA NA WALA HAKUPI CHOCHOTE JAMAA YUPO SAHIHI AZAM WAMLIPE KAMA MAHAKAMA ILIVYOTAKA WAACHE JANJA JANJA,
@PaulCharles-ox9pg
@PaulCharles-ox9pg 8 дней назад
Pumuzi unayo yakutosha
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 8 дней назад
Mimi ninawashangaa Sana! Sijui mnamlalamikia Nani!! Baresa hakufungiwa Bali Ni uamuzi wake mwenyewe hivyo mlitakiwa kwenda kwake na kumuomba asisuse kuonesha kwasababu Kuna watu wamedai haki yao. Mtu wamepoteza muda wake akakaa na kutengeneza proposal yake na kumpelekea Azam Kisha Azam akamzunguka na kujinufaisha na hiyo nproposal halafu mtu anadai haki yake ninyi mnamtukana heyi mtampiga za kidevu!! Tumieni akili zenu vizuri wacheni uwakala hata TBC1 pia inaonesha vitasa au hamjaona? Mmezoea kubebwa na Sasa tutaona uwezo wenu wa kweli😅😅
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 8 дней назад
Mimi nawashangaa Sana!! Sijui mnalalamika kwa nani
@shabaniiddi510
@shabaniiddi510 9 дней назад
Sasa ww jamaa kaishataki azam kwa maisha yake nyie mnamlaumu msiangalie maishayenu tu muangalieni na yeye napia kama mzushi mahakma sizipo muachench apambanie haki yake azam sio mungu bhna
@HamadiYunus
@HamadiYunus 10 дней назад
Una lengo Zuri Ila uwasilishaji Sio mzuri huwezi SEMA atapigwa MTU kidevu Sio kauli ya kuweka mambo Sawa
@kafirsantana8631
@kafirsantana8631 10 дней назад
Hii ndio tofauti ya Professional boxer Mwakinyo na mabondia wengine wa kienyeji.
@YukoMchawi
@YukoMchawi 11 дней назад
Huyo.. ''anaeliali namtamani xana '' ipo ck nitanyoa Rasta ''' aache kulialia sio kazi yake hiyo'' '''''
@YukoMchawi
@YukoMchawi 11 дней назад
Hamjielewi mabondi'' bado mi najielewa''' mikono hairaki tv'' inataka kupigana. '''' Tandale' mandala nishahamia''' uko ndo live kwelikweli sitaki manenomaneno yenu
@SirajCreedi
@SirajCreedi 4 дня назад
Ujui k2 ww
@YukoMchawi
@YukoMchawi 11 дней назад
MABONDIA WA DAR'' MNALIALIA MMEZOEA CHELEKO'' MLIONA NGUMI ZA KWENU'' BADILIKENI WALA CHIPS ' '' SOOON MTAANZA ONA LIVE DODOMA TV CHILIHAMONGA'' MTAJUA HAMJUI
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 11 дней назад
Kwahiyo we dada inamaana hiyo 2014 uliyoanza ngumi na hukujulikana hadi 2024 ndio ukajulikana kupitia Azam inamaana Azam haikuwepo hiyo 2014?Mkikaririshwa maneno mkariri kwanza kabla ya kuita media!!
@alfanboblice9150
@alfanboblice9150 11 дней назад
Tafuta kaz kaka
@YusuphChinguile
@YusuphChinguile 12 дней назад
Jamaa anadai haki yake na azm aacha mbamba
@YusuphChinguile
@YusuphChinguile 12 дней назад
Hakuna huruma
@mohammedyusuf8031
@mohammedyusuf8031 12 дней назад
Nidham nidham ndio imekosekana kwenye ngumi zetu ndio maana wajinga wachache wameamua kuvuruga
@iddmlenga9852
@iddmlenga9852 12 дней назад
Huo ni mapngo
@shebanishebe7866
@shebanishebe7866 12 дней назад
Uko sahihi majiha😂
@YassinMbegu
@YassinMbegu 12 дней назад
Malizeni Aya mamb kama jamaa katowa wazo mlipeni Kisha nunuweni ilo wazo muendelee kuteka soko
@KitemaJunior
@KitemaJunior 13 дней назад
Ibada yupo vizuri namuamini sana
@Ram8193K
@Ram8193K 13 дней назад
Press ya nini mshkaji alipwe haki yake kudadeki 😂😂😂
@maulidstondo2770
@maulidstondo2770 13 дней назад
Hakuna huluma ya mama apo, Azam walipe ela tuu, MTU kasajili ideal since 2017 wao 2020 wanajifanya kutumia ideal , walipo tuu
@SirajCreedi
@SirajCreedi 4 дня назад
idea gan ww ulemchezo kama mchezo mwingine mbona mpr aliyetoa idea alitak alipwe
@maulidstondo2770
@maulidstondo2770 13 дней назад
Hapa mabondia mnaoneka kam waimba singeli
@kibwanamgotto5546
@kibwanamgotto5546 13 дней назад
Kama mtu ameshinda kesi tena kwenye taasisi kubwa kama azam kosa liko wapi hapo hakuna ubaya ila kwa maoni yangu azam wamalizane nae tu alafu mambo mengine yaendelee kuliko mabondia kutangaza ubaya kwa watu ambao wamepeleka propozo yao na ikafanyiwa kazi na kufanya ajira ktk ngumi
@SirajCreedi
@SirajCreedi 4 дня назад
Ujui kitu tulia
@mr.lawimagupa3914
@mr.lawimagupa3914 14 дней назад
KWO AZAM NA HALALI KUIBA KISA AKISHTAKIWA ATASUSA.. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@HamzaKadiba
@HamzaKadiba 14 дней назад
Elimu elimu elimu
@nimrodsigulu6249
@nimrodsigulu6249 14 дней назад
Ubondia ni isela tu wa viniweni...hakuna progrssional hapo..
@iddmlenga9852
@iddmlenga9852 12 дней назад
Wew kama hujui kiingereza acha
@nimrodsigulu6249
@nimrodsigulu6249 14 дней назад
Sawa elimu inaweza isikifanye kuwa na hela ila kuna namna itakusaidia ... Haya ni mambo ya kisheria wengine wanasema Wana wapa watu wanted..
@stephenvenancee7131
@stephenvenancee7131 14 дней назад
haka kamajiha ni kama akili yake sio nzuri hakajitambui kabsa taka taka haka🖕
@RajabuSadick-z7r
@RajabuSadick-z7r 14 дней назад
Mwakinyo kweli yupo mbele hadi kimawazo duh nayametokea
@RajabuSadick-z7r
@RajabuSadick-z7r 14 дней назад
Mliokua hamuelewi mwakinyo hapo ndio mtaelewa kuhusu mapromota
@UwimanaAziza
@UwimanaAziza 14 дней назад
Azam TV warudie kuonesha masumbwi❤❤❤
@IddiKea
@IddiKea 14 дней назад
acha uboya ww.peleka njaa zako izo.kama wameiba wasiukumiwe .kwan tv ni azam tu
@RajabuSadick-z7r
@RajabuSadick-z7r 14 дней назад
Ndio aliokua anayesema mwakinyo akaonekana hafai sasa yamefika mapromota hao
@KhasanKajoka-z8l
@KhasanKajoka-z8l 14 дней назад
Wafungulien watakufa njaa hawa majamaa
@amanisilas3523
@amanisilas3523 14 дней назад
Kwani tv n azam tu
@HezronKilongo
@HezronKilongo 13 дней назад
Wee unaona kwa hapa tz kuna tv gan nyingine
@sadunabdallah7303
@sadunabdallah7303 14 дней назад
Kwa akili yangu ndogo mungu akipanga upate utapata2 bila azm kwan azm ndo nn
@salumutumbo2536
@salumutumbo2536 14 дней назад
Apo ndo seem inayowatofautisha mabondia wengi na mwakinyo ,mtu anaongea kitu bila kutua mtu anayemzungumzia ndiye aliye sababisha Azam kufata wazo lake wao kuwa ivyo Azam pekee awakuwa na wazo la kuwainua mabondia
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 15 дней назад
Mkalime hamna fadhira nyie
@HajjKihanga
@HajjKihanga 15 дней назад
Kazeni kaka mtafaulu tunaomba buludani
@allyluoga1429
@allyluoga1429 15 дней назад
Pointless
@saluuhans
@saluuhans 15 дней назад
Mbona mnasema tamaaa wakati Amosi ameishtaki azam kudai haki yake kosa lake lipo wapi kama ungekuwa wewe mfaume na njaa zako usingeenda kudai haki yako swala hapo kama azam wamejotoa ni swala la azam wenyewe mfaume bado ujakuwa kifikra eti utachukua uamuz mbaya huo ni ujinga
@saluuhans
@saluuhans 15 дней назад
Sio tamaa mtu alienda kudai haki yake ungekuwa wewe majiha na njaa zako usingeenda kudai haki
@ayoubmartin3741
@ayoubmartin3741 15 дней назад
The guy is very smart, iliwapasa kabla ya kumsikiliza na sio kumjandia kila siku, jamaa amelipeleka swala kisheria kabisa, issue sio kuangalia issue ni wazo lake kuibiwa