Тёмный
zmux zanzibar
zmux zanzibar
zmux zanzibar
Подписаться
Zanzibar Multiplex Company ltd
HAKIKA  HILI SI LAKULINYAMAZIA TENA
3:39
21 день назад
Mazishi ya Mhe  PANYA ALI ABDALLA
8:47
Месяц назад
WANAFUNZI FURSA YAJA MLANGONI KWAKO
3:54
2 месяца назад
ZANZIBAR MPYA NDIO HII
3:30
2 месяца назад
HATI MILIKI NDIO KINGA YA MIGOGORO YA ARDHI
1:41
3 месяца назад
Комментарии
@RahmaIssa-l6w
@RahmaIssa-l6w 4 дня назад
Nahitaji
@RahmaIssa-l6w
@RahmaIssa-l6w 4 дня назад
Mnapatikana wapi
@RahmaIssa-l6w
@RahmaIssa-l6w 4 дня назад
Kwasasa pia kinapatikana kwa bei iyoiyo au na mnapatikana sehem gani
@habarizakitaa430
@habarizakitaa430 4 дня назад
Innalillah wainna ilayhi rajiun
@MtambilePhcu
@MtambilePhcu 7 дней назад
Kitatange 😂😂😂😂 Masha Allah upo vixur sana
@KhadijaHussein-qn2ge
@KhadijaHussein-qn2ge 19 дней назад
Mnataka viwanda mafita yamewashinda kuchimba mtaweza viwanda usajili utakua wa Tanzania au zanziba manahatuna nchi mmetangaza jezi ya zanziba sijui iyotimu inacheza na taifa Gani mnataka watoto wapasi haliyakua mtihani Yao yanasainiwa tanganyika kama ss hatujui kusainisha acha kudànganya watu wazanzibari tafuta nchi kwanza halafu utwambie utafanya hivi vitu
@mariashilinde291
@mariashilinde291 21 день назад
Naipenda sana hii nyimbo yani nimeitafuta san
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 22 дня назад
Nimependa kitenge
@Zenjvibespro
@Zenjvibespro 22 дня назад
Mama mitano tena
@adamstour5736-kb6zq
@adamstour5736-kb6zq 25 дней назад
Labda viwanda vya MATOFALI na KOKOTO
@halimaali2999
@halimaali2999 26 дней назад
Ndioo mambo hayo
@halimaali2999
@halimaali2999 26 дней назад
Amina pole sana kipenzi 😊😊
@halimaali2999
@halimaali2999 26 дней назад
Umeona mazra ya kutowa mimba apo pole sana 😢😢😢
@RajabAlhaashimiy
@RajabAlhaashimiy 27 дней назад
Hakika ni moja ya series kaali kabisa nilizowahi kuziona na nimefurah kuwa na mwisho mzuri.kaz nzr kwa kweeel
@MrishoAliy
@MrishoAliy 27 дней назад
me naoana fura ha kuangalia hii movie
@ThurayyaMbarak
@ThurayyaMbarak 29 дней назад
Yani uyu kungwi kwa akili yangu mm uniweke mbali na mume wangu kinaeleweka mbn 😂😂
@halimaali2999
@halimaali2999 29 дней назад
Ww kila mezangu 😅😅😅
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 29 дней назад
Mla nawe hufi nawe ila mzaliwa nawe sijui walimanisha nini rafiki aweza kuwa mtu wa kuaribu kuliko damu yako adui wa mwanadamu ni mwanadamu😁😁😁😁😁
@ThurayyaMbarak
@ThurayyaMbarak 29 дней назад
Wazee wengine banah hatarii talaka tena😂
@halimaali2999
@halimaali2999 Месяц назад
Eeeeeeeh ww jamani umezidi mimba au nn mbn unampa kaka yangu shida ww
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 Месяц назад
Duuh atapika Kwa sink ya jikoni uchafu huo
@DaudVyombo
@DaudVyombo Месяц назад
mbona wapemba tunaweza uwongo
@ruqiyanasir7141
@ruqiyanasir7141 Месяц назад
Kitatange mbona mume powa tuleteeni kitu changing kuliko kilicho pita tuna wa miss au jungu lipo jikoni munataka kupa surprised
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 Месяц назад
Producer mbona sauti bubu game!!
@jumasalum-rg5tx
@jumasalum-rg5tx Месяц назад
mama amina hii part umefl san yan umesahau yote alofny kitatange leo hii unsem atapt mume kuxhnd kitatange
@SalimaliAbassi
@SalimaliAbassi Месяц назад
Mashallah 🎉❤ Hongereni sana❤
@MattarMohammed-f5v
@MattarMohammed-f5v Месяц назад
Nchi inayoona maendeleo ya Zanzibar ni Tanganyika tu.
@halimaali2999
@halimaali2999 Месяц назад
Mambo naona yankuwa mazuri sana❤❤
@halimaali2999
@halimaali2999 Месяц назад
❤❤
@halimaali2999
@halimaali2999 Месяц назад
Naona mambo mazuri sana
@delasdiego6537
@delasdiego6537 Месяц назад
Jikweze tu baada ya kuzima njaa na shida ziliopo ww wazima rangi ila tuliaaaaaa TUKUTANE 2025 Act tunawasha zote pumbav
@JannatJannat-s6j
@JannatJannat-s6j 27 дней назад
😂😂😂
@FadhilyOthman
@FadhilyOthman Месяц назад
Hhhh hh mhhhh
@ebrahimosman5477
@ebrahimosman5477 Месяц назад
🙏👍
@Shdy2569
@Shdy2569 Месяц назад
Second round utatufanyia tunakuamini
@ABDALLAHMWATANDA
@ABDALLAHMWATANDA Месяц назад
Big up
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Месяц назад
Raisi wetu tunakupenda ila tai inatakiwa iangaliwe na wahusika kabla hukuingiya ofisini na ktk camera. Hapo tunojuwa tai tunaona haikutuliya ipasavyo
@saidal-hind5338
@saidal-hind5338 Месяц назад
Maendeleo gn tunanjaa vijsna
@IdirisaAli-wm1sv
@IdirisaAli-wm1sv Месяц назад
Wengine hawajatulipa hadi leo
@ShauriAli-o5y
@ShauriAli-o5y Месяц назад
Zungumzieni haki na sio amanitu viongozi
@halimaali2999
@halimaali2999 Месяц назад
❤❤❤❤
@halimaali2999
@halimaali2999 Месяц назад
Nimzuri ama vp jamani 😅😅😅 kwanza hii filamu
@AbdallaOmar-ci3db
@AbdallaOmar-ci3db Месяц назад
😢
@hemednassor2362
@hemednassor2362 Месяц назад
Abdalla Mzee hospital kubwa lkn utendaji mdogo sana
@JOKHAALIY
@JOKHAALIY Месяц назад
Innalillah wainnailayh rajyun Allah amsamehe madhambi yake Yarabb mpe malazi mema peponi Amin
@jabirnext
@jabirnext Месяц назад
Ving'amuzi Mnauza Bei Gani kwasasa..?? Na Mtakuwepo katika Maonyesho ya Nane Nane DOLE..??
@khalfannasornassor7396
@khalfannasornassor7396 Месяц назад
Mapumzii juu
@AbuuAmeir
@AbuuAmeir Месяц назад
Je kingamuzi vinapatikana sasa
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 Месяц назад
Innalillahi Wainna Ilayhii Rajiuun
@AyishaOman-cw4xs
@AyishaOman-cw4xs Месяц назад
❤❤🎉🎉🎉
@AyishaOman-cw4xs
@AyishaOman-cw4xs Месяц назад
❤❤❤