Тёмный
Abdu TV
Abdu TV
Abdu TV
Подписаться
TWAHA KIMARU) AKIFANYA BALAAA KOROGW TANGA.
20:57
11 месяцев назад
Комментарии
@fatmamohammedy8778
@fatmamohammedy8778 Месяц назад
Aswaaah Kwel kabisa ndgu yngu ❤️
@fatmamohammedy8778
@fatmamohammedy8778 Месяц назад
khery
@fatmamohammedy8778
@fatmamohammedy8778 Месяц назад
Inshallwaah
@abdallahkassim7602
@abdallahkassim7602 2 месяца назад
Masha's hallah
@abdutv4636
@abdutv4636 Месяц назад
Na wew habeeb nimeiona kazi yako Maa Shaa Allah
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 месяца назад
Dahh yarabi waongoze hawa waja wapotevu waione hakki,kiukweli kama unanduguyo msufi mlinganie atoke huko kabisa maana shetwani anawadharirisha kweli dini ya kucheza ndombolo kama koffi olimide au kukata mauno kama diamond so dini ya mtume muhammadi na swahaba zake ni dini ujinga wa watu tuuh na ndiomana wahabi hawataacha kupiga vita haya
@SAIDISSENYAR
@SAIDISSENYAR 3 месяца назад
Asnte shekhe buuuuu kutoka odi korongwe
@FadhilikifuntaFadhilikifunta
@FadhilikifuntaFadhilikifunta 3 месяца назад
Mungu akubarik
@KassimRajabu-uz7go
@KassimRajabu-uz7go 3 месяца назад
mashaa Allah
@jafarijuma4416
@jafarijuma4416 3 месяца назад
😊😊
@amiriswahibu6806
@amiriswahibu6806 3 месяца назад
ماشاالله
@ahmedabry293
@ahmedabry293 3 месяца назад
Imekuwa mtu akiuliza hichi ni nini anaambiwa wahabi.. Haya hichi ni nini na kafundisha nani ibada hii?? Na je mnapata thawabu ama vipi
@KhadijahMohammed-bi9ef
@KhadijahMohammed-bi9ef 4 месяца назад
❤❤
@yoramabubakar8012
@yoramabubakar8012 4 месяца назад
Huu ni upuuzi tu sio dini
@user-ur6bi3pg1u
@user-ur6bi3pg1u 4 месяца назад
MashaAllah
@MadinaShekalage
@MadinaShekalage 4 месяца назад
Huu ni uzushi Hawa wanaandaliwa kuwa wababe ndani ya dini bila wote kujua .
@omaryramdhani9823
@omaryramdhani9823 4 месяца назад
Naninyi wafuasi wa wayahudi na wakatoliki ndiyo wazushi kupita kiasi
@alkhalilalkhalil8208
@alkhalilalkhalil8208 4 месяца назад
Nani kasema mtume kafanya hayoo jamani ndugu zangu waislam hebu tuwacheni vitu vilivyokatazwa
@ashahamad-mq3iz
@ashahamad-mq3iz 4 месяца назад
Jamani hatuna tafauti na Shetani Yaraby tustiri Na Kizazi hichi jamani tunakwenda wapi hii si kupenda Mtume laiti mwenyewe angalikuwa hai haya yasingalifanyika kabisa
@omaryramdhani9823
@omaryramdhani9823 4 месяца назад
Wacha utaahira wa kulishwa vitango pori na mawahabi ,nenda kasome
@ahmedabry293
@ahmedabry293 3 месяца назад
Ni kweli
@user-gc7cv1tf1z
@user-gc7cv1tf1z 4 месяца назад
Maashallah
@ismailkiza
@ismailkiza 4 месяца назад
Hawa watoto wanaandaliwa wajekuwa wasanii wa kesho nakuja kumtakana allah
@omaryramdhani9823
@omaryramdhani9823 4 месяца назад
Huko kwenu kwa wahabi wafuasi wa wayahudi na wakatoliki ndio mumtukanae mtume na uislamu
@FumuMakame-ep1sw
@FumuMakame-ep1sw 4 месяца назад
Huyu alie sema upuuzi mjinga anadhani Myume ujasiri wake ni kuvaa kanzu fupi na kufuga ndevu
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 4 месяца назад
Shekhe mbona wadhiaki sunna ya mtume tena acha jazba hizo
@Twahamwela-ch5lz
@Twahamwela-ch5lz 4 месяца назад
Ha haha ha
@FatRashid
@FatRashid 4 месяца назад
Mashallah napenda sana hzi vtu
@abdutv4636
@abdutv4636 4 месяца назад
Ma's Shaa Allah
@kulthumyousuf1552
@kulthumyousuf1552 4 месяца назад
@kulthumyousuf1552
@kulthumyousuf1552 4 месяца назад
Hawa jamaa wanajua maqamaat
@MesahMwachepha
@MesahMwachepha 4 месяца назад
Mashallah
@MwanaishaMwagele
@MwanaishaMwagele 4 месяца назад
Mashaallah tabarakaallah
@athumanishabani1517
@athumanishabani1517 4 месяца назад
Allah awjaz kherr😮😮😮
@athumanishabani1517
@athumanishabani1517 4 месяца назад
Da nimekuona abubakar ww nihatarr
@ManaVowa
@ManaVowa 4 месяца назад
Masha allaa
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn 4 месяца назад
Nawaonea huruma hao watoto wao wanaona ndio dini tu kumbe ni upuuzi mtupu
@user-gb3jx4uw9w
@user-gb3jx4uw9w 4 месяца назад
Kasome kwanza kisha ndio utajua kinacho fanyika apo ni sahihi au si sahihi ila km wataka kujua zaid nitumie no yako nikupe hadith sahihi ya mtume wakicheza km hivo masjid ama hayo ya ngoma ya dufu uwanja wake mpana sina fatua nalo lkn mchezo wa kijesh km hivo wamechez
@leilasaid3623
@leilasaid3623 4 месяца назад
Hashimu upuuzi wa nini hapo umeona
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn 4 месяца назад
@@user-gb3jx4uw9w Nipe hadithi ya kupiga nai
@zulfajuma8394
@zulfajuma8394 4 месяца назад
Dini yako ndio upuuzi, kama huipendi dini mwenzio basi usiidharau fanya yanayo kuhusu
@issaomari7244
@issaomari7244 4 месяца назад
Kaa kimya
@user-pm3wy2rk1c
@user-pm3wy2rk1c 4 месяца назад
Mashaallah
@hassansimba7192
@hassansimba7192 4 месяца назад
Mashaallah...❤❤❤
@ShamilaAbdallah-md4oq
@ShamilaAbdallah-md4oq 4 месяца назад
Inahuzunisha sana kwahiyo ndo din yetu ilipofikia daa alla atuongoze
@ShamilaAbdallah-md4oq
@ShamilaAbdallah-md4oq 4 месяца назад
Ndo hawa badae wanakuwa wanamziki na ssi wazaz tunafurahia haya hembu tuzinduke jaman bado tupo kwaenye usingiz mzito sana etii
@FatmaMohammed-tv7st
@FatmaMohammed-tv7st 4 месяца назад
Mashaallah
@BinTwahirinho-rw1nv
@BinTwahirinho-rw1nv 4 месяца назад
maashallah,, Allah awalipe kila la kheir walim wa wanafuz hawaa, ukweli nimeipenda Sanaa, nataman siku 1 nije niwaone live❤❤
@abdutv4636
@abdutv4636 4 месяца назад
In Shaa Allah Mungu afanye wepes
@user-ew2dw5fv7o
@user-ew2dw5fv7o 4 месяца назад
❤ mashallah
@user-gu9zp7jt8k
@user-gu9zp7jt8k 4 месяца назад
Kwani hayo wakati wa mtume yalikuepo?
@fatmamohammedy8778
@fatmamohammedy8778 4 месяца назад
Mashaallwah
@fatmamohammedy8778
@fatmamohammedy8778 4 месяца назад
nimezion kaka angu
@abdutv4636
@abdutv4636 4 месяца назад
In Shaa Allah
@Salama-df2uu
@Salama-df2uu 4 месяца назад
MashaAllah tabaraka Allah nimeipenda sana natamani niko karibu ninunue iyo kaswida
@leilasaid3623
@leilasaid3623 4 месяца назад
Mashaallah
@Habib_Swaleh
@Habib_Swaleh 4 месяца назад
Ittaqullah uzushi tu😢
@alimuse6980
@alimuse6980 4 месяца назад
Sijui unamaana gani
@ElizabethDavid-dh5xn
@ElizabethDavid-dh5xn 4 месяца назад
Nimeon Kaz ya ustadh abubakar
@abdutv4636
@abdutv4636 4 месяца назад
In Shaa Allah
@ElizabethDavid-dh5xn
@ElizabethDavid-dh5xn 4 месяца назад
Nimeon Kaz ya ustadh abubakar
@abdutv4636
@abdutv4636 4 месяца назад
Maa Shaa Allah Shukran
@RajabuHaruna-wb9yy
@RajabuHaruna-wb9yy 4 месяца назад
Masha allah❤
@FadhiliSachika
@FadhiliSachika 5 месяцев назад
Kazi kubwa
@omaryramdhani9823
@omaryramdhani9823 5 месяцев назад
SIKU ZOOTE LEO MWANANGU NDIYO UMEZUNGUMZA
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 5 месяцев назад
Habar kubwa izi
@KassimRajabu-uz7go
@KassimRajabu-uz7go 5 месяцев назад
mashaallah mashaallah
@KassimRajabu-uz7go
@KassimRajabu-uz7go 5 месяцев назад
quality ya zafa jithidi kidog
@abdutv4636
@abdutv4636 5 месяцев назад
In Shaa Allah maalim Tutarekebisha apo.
@KassimRajabu-uz7go
@KassimRajabu-uz7go 5 месяцев назад
vitta
@khalifaamri8725
@khalifaamri8725 11 месяцев назад
Saw twaha kimaruuuuuuuuuuu❤
@user-hz2md1es5x
@user-hz2md1es5x 11 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤