Тёмный
Kilimo Maarifa Tv
Kilimo Maarifa Tv
Kilimo Maarifa Tv
Подписаться
channel hii inahusu maswala ya teknolojia, kilimo, ufugaji, na njia bora zinazotumika shambani ikiwemo mifumo ya umwagiliaji drip irrigation, sprinkler irrigation system, flood irrigation system, mashine na zana bora za kilimo, elimu kuhusu pump mbalimbali za maji na umwagiliaji

Pia katika channel hii tutaonyesha video zinazohusisha teknolojia mbalimbali za uzalishaji wa nishati ikiwemo solar panels, betri na mengineyo yahusuyo sayansi na teknolojia
Vile vile tutakuwa tunatangaza na kuuza bidhaa mbalimbali zinazohusihana na maswala ya kilimo, ufugaji, sayansi na teknolojia na mengineyo

Channel hii haihusiki na kutoa habari zozote zile zinahusu siasa, michezo,wasanii, udaku, na nyingine zisizohusiana na lengo tajwa hapo mwanzo juu
Kwa mawasiliano zaidi unaweza kututafuta Whatsapp +255620354579 kwa ajili ya maswali au ushauri pamoja na kujionea bidhaa mbalimbali za kilimo pia waweza kupiga simu nambari 0620354579/ 0757420879
Email farmmushi@gmail.com
SUBSCRIBE
Instagram Mushifarm
Комментарии
@SwafaaHussen
@SwafaaHussen 3 дня назад
Bei gan hy
@jofreynossy3750
@jofreynossy3750 Месяц назад
Mnachimbia Bei gani naitaji kaka
@robertalphan5533
@robertalphan5533 2 месяца назад
Habari, hapo fanya masahihisho siyo PVC pipe ni polypipe
@GingoHabibu
@GingoHabibu 2 месяца назад
Bei gani
@JamesWavi
@JamesWavi 2 месяца назад
Hi nibei gan
@JamesWavi
@JamesWavi 2 месяца назад
Hi nibei gan
@OmarSalim-kw2or
@OmarSalim-kw2or 2 месяца назад
Na kwa upande wa Zanzibar Pemba galama ni kiasigani
@OmarSalim-kw2or
@OmarSalim-kw2or 2 месяца назад
Nikiwa maeneo ya dodoma kondoa kuchimba kisima cha maji ya nyumbani Ni galama kiasigani
@FatumaMamlo-st8pj
@FatumaMamlo-st8pj 2 месяца назад
Nauliza tena nahitaji mwezi wa 7 2024 nataka huduma ya maji mkon lindi bei tafadhali
@Kilimota-Tv
@Kilimota-Tv 2 месяца назад
Piga 0620354579
@BupambaMedard-zr5ip
@BupambaMedard-zr5ip 3 месяца назад
Mnapatikana wap
@kelvinmgendwa1438
@kelvinmgendwa1438 3 месяца назад
H.p ngapi hiyo na ni bei gani
@Kilimota-Tv
@Kilimota-Tv 3 месяца назад
Hp2 piga 0620354579
@FrankSalingo
@FrankSalingo 3 месяца назад
Kweye slop inawezekana??
@Kilimota-Tv
@Kilimota-Tv 3 месяца назад
Ndio piga 0620354579
@user-nt6ru8nb5t
@user-nt6ru8nb5t 3 месяца назад
Nahitaji huduma
@Kilimota-Tv
@Kilimota-Tv 3 месяца назад
Piga 0620354579
@DpN-rk8xz
@DpN-rk8xz 4 месяца назад
Wapi zinapatikana
@amanichanga3448
@amanichanga3448 5 месяцев назад
Mesafe atiyor
@user-dm3it2iw3e
@user-dm3it2iw3e 5 месяцев назад
HBR pump ya kupiga dawa sh ngapi hiyo ya mgongoni?
@ZefaniaCharles
@ZefaniaCharles 6 месяцев назад
Inagharama yake shilingi ngapi
@Kilimota-Tv
@Kilimota-Tv 6 месяцев назад
Piga 0620354579
@user-tq5gj6dp3j
@user-tq5gj6dp3j 6 месяцев назад
Hii ni bei gani
@user-tq5gj6dp3j
@user-tq5gj6dp3j 6 месяцев назад
Hii ni bei gani
@fatimaussene1010
@fatimaussene1010 7 месяцев назад
Pampu ikiwa aipandishi maji shida nini
@temperaturegerald586
@temperaturegerald586 7 месяцев назад
Bei gan?
@ChiefKione
@ChiefKione 7 месяцев назад
Shingp
@Juliana-fx8tr
@Juliana-fx8tr 8 месяцев назад
Mnapatikana wapi
@MAKANDAKALENGA11
@MAKANDAKALENGA11 8 месяцев назад
Vp kwa nje ya inchi mnafuka hudumia?
@Kilimota-Tv
@Kilimota-Tv 8 месяцев назад
Ndio
@laureanadolf4351
@laureanadolf4351 9 месяцев назад
bei na zake tupate
@mukudisikuku7115
@mukudisikuku7115 10 месяцев назад
Nipate wapi hii solar pump in kenya
@Kilimota-Tv
@Kilimota-Tv 9 месяцев назад
+255620354579
@fungilwatv2464
@fungilwatv2464 10 месяцев назад
Shingapi solar water pumpu
@Kilimota-Tv
@Kilimota-Tv 10 месяцев назад
Piga 0620354579
@user-kb4tt1yi8y
@user-kb4tt1yi8y 11 месяцев назад
Nimendakazi zenu
@BarakaKusaga-m1w
@BarakaKusaga-m1w Год назад
Bei tsh..
@Kilimota-Tv
@Kilimota-Tv Год назад
650,000 piga 0620354579
@mkimbodominic3430
@mkimbodominic3430 Год назад
Mnauza bei gn?
@Kilimota-Tv
@Kilimota-Tv Год назад
Piga 0620354579 hii inauzwa 650,000
@yahayahassani7627
@yahayahassani7627 Год назад
bei gani?
@Kilimota-Tv
@Kilimota-Tv Год назад
Piga 0620354879 bei 650,000
@user-nd8gb2po3v
@user-nd8gb2po3v Год назад
zinapatkanawapi
@user-nd8gb2po3v
@user-nd8gb2po3v Год назад
zinapatilanawapi
@yusuphbezaleli7872
@yusuphbezaleli7872 Год назад
Bei gani mnauza
@Kilimota-Tv
@Kilimota-Tv Год назад
Piga 0620354579
@AlexKing-yg2cc
@AlexKing-yg2cc Год назад
Hivi huwa mnafungua you tube channel kwa ajili gani iwapo hamjibu maswali mnayoulizwa?
@Kilimota-Tv
@Kilimota-Tv Год назад
Namba za simu zipo hapo piga
@zanzibaronlytv3470
@zanzibaronlytv3470 Год назад
bei
@Gill__Gill
@Gill__Gill Год назад
🎉🎉🎉🎉
@Gill__Gill
@Gill__Gill Год назад
🎉🎉🎉🎉🎉
@Gill__Gill
@Gill__Gill Год назад
Good vedeo 🎉🎉🎉🎉
@joaobalide5610
@joaobalide5610 Год назад
Pamp siz ya muicho(ndogo) munauza ngapi?
@emmanueltamnaay5781
@emmanueltamnaay5781 Год назад
Mnauza bei gani ?
@vedastokeya3344
@vedastokeya3344 Год назад
Hizi shughuli bei ndio changamoto kwa wengi ndio maana huwa tunauliza tu nakusepa bei bei bei 😢😢
@ashaali6125
@ashaali6125 Год назад
Jamani VIP mtu km yupo Zanzibar
@mosesmfinanga3964
@mosesmfinanga3964 Год назад
Naomba mnipigie nahitaji kwaajili ya shambani
@nsajimwasege68
@nsajimwasege68 Год назад
Inarusha maji umbali gani?
@Kilimota-Tv
@Kilimota-Tv Год назад
Mita 35 mbele na mita 35 nyuma
@nsajimwasege68
@nsajimwasege68 Год назад
@@Kilimota-Tv mnapatikana wapi duka lenu ndugu?
@Kilimota-Tv
@Kilimota-Tv Год назад
@@nsajimwasege68 piga 0620354579
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 Год назад
Nzuri sana
@mrholela7906
@mrholela7906 Год назад
Bei gan inauzwa
@nsengiyumvadjumatatu1023
@nsengiyumvadjumatatu1023 Год назад
Ndugu hiyo ya kupulizia dawa ya solar ni bei gani? Asante