Тёмный
ENENDENI KWAYA
ENENDENI KWAYA
ENENDENI KWAYA
Подписаться
BWANA YESU ASIFIWE!

Hii ni kwaya ya Enendeni, kutoka kanisa la TAG ENENDENI KILIMANJARO, lililo chini ya Makamu Askofu wa Jimbo la Kilimanjaro Magharibi ALLEN LEKEY. Tupo KCMC-LONGUO, jirani na Chuo Kikuu cha Kikatoliki Mwenge (MWECAU).

Tupo kwa ajili ya kuhubiri injili ya kweli iletayo wokovu kupitia YESU KRISTO aliye hai, ndani na nje ya nchi kwa njia mbalimbali ikiwemo kupitia kuhudumu katika mikutano, kwa sauti zilizorekodiwa, mitandao ya kijamii n.k

Album yetu ya kwanza tulifanikiwa kuzindua 29 May, 2022.

Tupo tayari kuipeleka injili sehemu yoyote.

Mathayo 28:19
Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;

MUNGU AKUBARIKI SANA.

P.O. Box 1463
Moshi, Tanzania.
Simu;
+255(0) 622115379
+255 (0) 787464442
Комментарии