Kwanza nyie mshatoka CAF Champions league 😂😂😂 alafu na huku panawashinda majirani vipi nyie Al ahaly atawafunga kwa Aibu sana kiufupi mtafedheheshwa na kunyanyaswa na wale mafirauni
Austin remimds me of kahata time ya kerr. But kahata was more creative. Austin is more of a goal poacher and strong... I think waarabu round hii hawana bahati