Тёмный
Simba SC Tanzania
Simba SC Tanzania
Simba SC Tanzania
Подписаться
⚽️🏆🌍 Welcome to the Official Simba Sports Club RU-vid channel. Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference

Don't forget to subscribe in this Channel.

Karibu katika chaneli rasmi ya Klabu ya Simba, Simba ni klabu iliyofanikiwa zaidi katika nchi za Afrika Mashariki,Hapa utapata wasaa wa kutazama magoli bora yaliyofungwa na wachezaji wa Simba,Marudio ya mechi,wachezaji wapya pamoja na mahojiano mubashara ya wachezaji wetu.

Usisahau kujiunga nasi .

Karibuni sana.
Комментарии
@MohamediSadick-z7s
@MohamediSadick-z7s 27 минут назад
Simba 2 endeleee❤ 3:23 kupamba 2takua saw2
@mustwafaghallush329
@mustwafaghallush329 39 минут назад
Huyu jamaa nihalal awe Ahoua doooh anaongea kama kichinaa😂😂😂
@zalinaseif4430
@zalinaseif4430 Час назад
Kweli ubaya ubwela ❤❤❤❤❤❤❤
@PillyKassembo
@PillyKassembo Час назад
💪💪🔥
@BodeCosta-s5y
@BodeCosta-s5y 2 часа назад
❤❤❤ nice
@TryphoneGotham
@TryphoneGotham 2 часа назад
❤❤❤❤❤❤❤
@Sakho7717
@Sakho7717 2 часа назад
Kka
@aginsagins-jf4vz
@aginsagins-jf4vz 2 часа назад
Ameanza kuchangamka😂😂
@user-wv1ls4oh4l
@user-wv1ls4oh4l 2 часа назад
Yanga wasipo mloga ahoua nimchezaji mzuli saaaaaaaaaaana leo na kesho
@alexmasinde2471
@alexmasinde2471 2 часа назад
UBAYA UBWELA kweli 💪💪💪💪💪💪🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁 simba ndo baba lao
@sophyodago5062
@sophyodago5062 2 часа назад
Félicitations jeune homme, tu nous as grandement honoré les lions, que Dieu continue de prendre soin de toi et de développer ton talent. Simba FC, nous t'aimons beaucoup et nous t'encourageons à continuer à marquer plus de buts et à nous faire plaisir, Simba FC
@loner_wolf
@loner_wolf 3 часа назад
Sasa Bongo unapoteaje mbona maelekezo mengi sana .
@molove-h9t
@molove-h9t 3 часа назад
Ilove simba 💕
@user-fz3yz8fm9h
@user-fz3yz8fm9h 3 часа назад
❤❤❤🎉🎉🎉
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 3 часа назад
Wachezaji wamenenepa sana , hawana mazoezi ,wamebweteka ..Tafuteni vitoto vidogo vidogo .Timu imekuwa na mashangazi wengi tena vibonge hasa wanatuaribia timu yetu, Simba queens haikuwa hivi jamani.Tumefungwa na Wakenya kweli??
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 3 часа назад
Wachezaji wote vibonge ,uliona wapi mpira wa miguu ukawa na wachezaji Wanene kiasi hiki utafikiri hakuna gym????
@user-im1ec8kl7b
@user-im1ec8kl7b 3 часа назад
❤❤❤
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 3 часа назад
Jiuzuluni bana , champion league Msimu wa tatu mfululizo ???
@EsteR-dt9iw
@EsteR-dt9iw 3 часа назад
Eee Mungu saidia huyu baba Watt anao zaa wasije fata akili zake 🙆🙆
@DanielKanegene
@DanielKanegene 3 часа назад
❤❤
@Mwombeki_david
@Mwombeki_david 3 часа назад
Chama langu
@YusuphBenedicto
@YusuphBenedicto 4 часа назад
❤❤❤❤❤
@athumanipigo9295
@athumanipigo9295 4 часа назад
Usiwe unachelew sana kuweka bana
@festomathias_jnr
@festomathias_jnr 4 часа назад
huyu media personnel wa simba ni mtupu sana nafikiri wanahitaji kuwa na mtu ambaye yuko vzr kwenye lugha... wangepata somebody ambae ni multilinguistic
@IssaHuseni
@IssaHuseni 4 часа назад
Hii ndio simba tunayoitaka
@MANYAMABAHATI
@MANYAMABAHATI 4 часа назад
Simba badae ni hatareee sanaaa
@luluray2115
@luluray2115 4 часа назад
❤love
@barakangomba
@barakangomba 4 часа назад
ee baba Simba waooo
@mrutusimonshundi628
@mrutusimonshundi628 4 часа назад
Mpiji tena
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 4 часа назад
Watu wa yanga hata hawaelewi anasemaje.mje niwafundishe magongo wazi
@EdgarZawadi-dz4fn
@EdgarZawadi-dz4fn 4 часа назад
💫💫
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 5 часов назад
Stamina kwa mukwala inaanza kupungua.
@MansuliSelemani
@MansuliSelemani 5 часов назад
Unyama
@MansuliSelemani
@MansuliSelemani 5 часов назад
Unyama
@JonathanChambo-u9b
@JonathanChambo-u9b 5 часов назад
Anasema anashukuru kwa perfomce amefurahisha
@mwanahamisimohamed1364
@mwanahamisimohamed1364 5 часов назад
Hyo timu muachieni mgosi kwanza anaijua vizuri amekaa na hao wadada muda mrefu
@user-pg9dv9vo8p
@user-pg9dv9vo8p 5 часов назад
Anaemchukia huyu mwamba atakua anamatatizo ya akili na si riziki ya familia yao
@treyboy_
@treyboy_ 5 часов назад
kinyago muongo😂
@IbrahStaneliy
@IbrahStaneliy 5 часов назад
Gojooooooooo
@benjo_brighter
@benjo_brighter 5 часов назад
Hatari sana 🔥🙌
@davidrulobhavako8551
@davidrulobhavako8551 5 часов назад
Nguvu moja 👊🏿
@1599k6g
@1599k6g 6 часов назад
Purukuchu wapili purukuchu😂😂😂😂😂❤❤
@golobatitus
@golobatitus 6 часов назад
Steven Desse Mukwala 🇺🇬
@mateoemily6610
@mateoemily6610 6 часов назад
Huyo golie ni mbovu
@barackmoses7003
@barackmoses7003 6 часов назад
Utadhani anahubiri
@molovejunior8162
@molovejunior8162 6 часов назад
Mungu awalinde wachezaji wetu waepukane na majeraha ili tuwafaidi wachezaji wetu kutokana na vipaji vilivypo kwny timu yetu.🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@user-co4dx6lo9x
@user-co4dx6lo9x 6 часов назад
Daaaa hadi raha dada zetu mko myaaaaaaa ubaya ubwe, ubweeeèeeèlaaaaaaaaaaa❤
@luluray2115
@luluray2115 6 часов назад
Maana ya team kubwa
@azariadegiant5187
@azariadegiant5187 7 часов назад
Hahahaha mwamba kweli kweli😅
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 7 часов назад
WACHEZAJI ASANTENI SANA. HAPO NI MWENDO BILA KURUDI NYUMA. PASI PEANENI UKIONA UWEZEKANO WAKUFUNGA WEWE HAUPOMPE MWENZIO AKIWA NA NAFASI ILI KUIPATIA TIMU USHINDI NA MAGOLI MENGI