MaashaAllah,namfahamu huyu Ustadh Faqihu ni katika vijana hodari sana kipindi kile Masjid Badr pale Mtoni Mtongani,Kijana cha Marhum Sheikh Yusuf,Allah amrehemu...alikuwa na mwenzake nadhani ni huyo aliyemtaja Ustadh Abdulhamid,Khutba za Ijumaa walikiwa wakipewa sana nafasi Masjid Badr na walikuwa wanafanya vizuri sana,Kuna kaka yake mmoja ambaye alifariki jina Ustadh Qassim alikuwa msomaji mzuri sana wa Quran katika fani ya Tajweed alikuwa akisoma mara nyingi kabla ya Khutba ya Ijumaa..nimejiuliza sana hawa vijana wako wapi kumbe wamepiga kambi South Africa..Allah awajaalie afya na umri taweel wapate kulisukuma gurudumu la Uislamu mbele!
Anazunguka sana Congo 🇨🇩 tatizo hakuna barabara japo ipo misitu hawakujenga kwa sababu maalumu wakoloni ili watu wakiwa wanaiba madini wasijulikane Congo kuna siri kubwa sana ndio maana vita haviishi ..Mungu Ibariki Africa
@@kazikazitvboda2boda nimependa story za katembe maana kuna mwanangu alipita huko kitambo njia hiyo ...babu kubwa mzazi..upo mjini Dar au bdo hujarudi?
KU mwanangu hapo mwisho umetoa bonge la ushauli kuhusu ndugu zetu waliopo Tanzania wasidhani all the time tupo fresh kipesa .. Maisha ya ughaibuni gharama kinoma .. KU full madini Mzee Baba karibu tena Botswana jeshi jeshiiiiiiniiiii mwanetu.
Akili mbaya watz wengi uwaga SI wavumilivu, na sio waaminifu Yan bado wapo pamoja wafanye mambo kw pamoja hat baraka mnapata akin mtu anakuibia anafikiri anatofanikiwa Kwa pesa za dhulma,
Kazikazi TV ndio channel,pindi ni traveller>> boda2boda, simulizi hizi zimekua na mafunzo,maarifa na historia kemkem, kongole kwa waandaaji. wana tuje tusapot kipindi kwa kulike,share nk ili iwe motisha kwa waandaaji, otherwise tuendelee kupata simulizi za wanetu hapa. Oooiii!!!!!
Salut sana kaka tunajifunza mengi kupitia kipindi chako tunafatiria tunaonana na ndugu zetu kama kwenye ule msiba wa Dullah nilimuona mtu niliesoma nae shule ya msingi nilipoteana nae tokea 2007 na nilikua sijui alipo nimekuja kumuona kwenye msiba wa Dullah kupitia kamera zako Big up sana kaka M zona.
Dah hapo nimemuona mtu niliemaliza nae shule ya msingi yani tokea tulivyomaliza 2007 tukapoteana ndo namuona leo dah noma sana mwanetu Dullah nimekuona apo
@@kazikazitvboda2boda sawa ila kingine muaoji na vijana wakawahida sio wale maharufu tu wengi tunandugu zetu uko wameondoka bongo miaka na hawajarud wala kuwaona kwahyo tunategemea kupitia nyinyi huenda tukawaoni kupitia mahojiano yako
Emzone please before enterview fanya open up kwanza na interview,,...... mzee anatoka sana nje ya story....... presenting yake imedhoofu.... matumizi ya muda kidogo pia he is poor......
Shukrani Sana Kwa Taarifa yako madoresho yatafanyika, Hiyo ndio Episode ya mwisho niliotumia Hiyo MIC zinazofuata zitakuwa Safi kabisa.. Japo kuwa hata wewe jaribu kutumia device zingine kufuatilia kipindi.. Huwenda Ni Simu au Laptop yako inatatizo. Asante Sana 🙏💯