Тёмный
MR NANA AFRICA
MR NANA AFRICA
MR NANA AFRICA
Подписаться
SONG WRITTER AND SINGER INSTAGRAM @MRNANAAFRICA
MR NANA _ MY FRIEND (Official Lyrics Video)
3:23
5 месяцев назад
MR NANA _FALLING (Official lyrics video)
2:48
7 месяцев назад
MR NANA _NI WEWE (LYRICS VIDEO )
2:59
3 года назад
MR NANA_IKIWEZEKANA (OFFICIAL VIDEO )
3:42
3 года назад
MR NANA_IKIWEZEKANA (LYRICS VIDEO)
3:38
3 года назад
Комментарии
@arafamachuru5743
@arafamachuru5743 17 часов назад
Huyu anamachungu kutoka moyoni kabisa😊
@AshuraKanyaru
@AshuraKanyaru 20 часов назад
Pole Sana kaka yangu
@kingvega9100
@kingvega9100 День назад
Brooo nakukubali tanguuuu mwanzo
@kingvega9100
@kingvega9100 День назад
Mwanangu damu yangu simama imara tafta pisi ishi nayo
@azizamohamed9362
@azizamohamed9362 2 дня назад
Dah😭😭😭pole jmn
@RechoMamy-k9n
@RechoMamy-k9n 3 дня назад
Maskini daaah pole kaka😭😭😭
@MagrethMaganga-w6s
@MagrethMaganga-w6s 3 дня назад
Nimelia aiseee
@hasfayusuph4891
@hasfayusuph4891 5 дней назад
pole sana Mr Nana😢
@Abby_Shawn_KE
@Abby_Shawn_KE 6 дней назад
Tukitoa msiba huyu MR NANA ni msanii mkali sana ambaye hajapewa nafasi kwenye media, Kafanya wimbo na RICH MAVOKO, BARAKAH THE PRINCE na BEKA FLAVOR miongon mwa KASSIM MGANGA ila bado akabaki kuwa underground
@SalamachuomSeif
@SalamachuomSeif 7 дней назад
Mbwa mkubwee kwani alikuwa mkeo achakumpatisha zambi mwenzio
@anithanithaa2651
@anithanithaa2651 7 дней назад
😢😢😢😢😢
@margaretjerusa5722
@margaretjerusa5722 7 дней назад
Pole sana take hrt😢
@GloryMjema-k2u
@GloryMjema-k2u 7 дней назад
Pole san jmn inauma mno hata kam n ww ukijaribu kuvaa viatu vya huyu kaka huwezi sahau kirahis hivyo😭😭😭😭
@KopiscoIsaya
@KopiscoIsaya 7 дней назад
Sidhani kama kuna mtu ata mbeza huyu jamaa,labda awe mwenda wazimu ndo anaweza kumbeza jamaa,chamsingi nikumfariji tu.Mungu amtie nguvu,one day they will meet again in paradise.pole sana.
@AshaSHESHE-no2zl
@AshaSHESHE-no2zl 8 дней назад
Halafu si aliambiwa hajui kiswahili kaimba vipi hapo😢😂😂😂😂😂❤
@Mwanalimamasumbo
@Mwanalimamasumbo 8 дней назад
Tunaendelea na baraka za mama
@gracepaul8162
@gracepaul8162 8 дней назад
Nmejikuta nalia tena daaaaah Pole kaka R.I.P Dida
@shijacharles
@shijacharles 9 дней назад
Ningumu kuelewa maumivu anayopitia mtu baada ya yakupoteza mtu wa karibu 😭😭😭Mungu ampe moyo wa uvumilivu tu.
@VictoriaSaid-j7q
@VictoriaSaid-j7q 9 дней назад
Pole kk mungu akutie nguvu 😢😢😢😢😢
@dynessjames8563
@dynessjames8563 9 дней назад
😢😢😢💔
@AbduliKoba
@AbduliKoba 9 дней назад
Pole kaka 😢😢😢
@JosephinaHaule-o1v
@JosephinaHaule-o1v 9 дней назад
pole kaka angu
@aishaomar9621
@aishaomar9621 9 дней назад
Pole san kaka najuwa unayopitia 😩😴💔 allah akupe subra kwa wakati huu mgumu usisahau kumuombea dua n kumtolea swadaqa maana hyo ndio chakula chake pkee😢😩😭kuondokewa kubaya huyu kaka alimpenda marehemu Dida kikweli sio ati alipenda pesa niurongo mapemzi ya kweli yajulikana huyu alimpenda kutoka moyoni 😢😭💔nalia kila ninapomuona huyu kaka anavyolia😢
@husnaRamadhan-di3ov
@husnaRamadhan-di3ov 10 дней назад
Sio utani nimelia sana jaman anahuzunisha huyu kaka 😢😢
@MmMm-hx6ln
@MmMm-hx6ln 10 дней назад
Pole sana kaka
@MmMm-hx6ln
@MmMm-hx6ln 10 дней назад
Ndio pakuzingatia hapo wanaadamu tunarudi kwa Muumba wetu hivyo tufanye yale mazuri yatakayotuweka pazuri tuendako❤❤
@emilywangui
@emilywangui 11 дней назад
She was my favourite 😢😢take heart bro everything will be fine soon 😢😢😢much love from kenya 🇰🇪...continue resting in peace Dida ✌ 🙏
@IsaluYahaya
@IsaluYahaya 11 дней назад
Jamn
@rehemaramadhan1267
@rehemaramadhan1267 11 дней назад
Pole brooo
@najlaabdallah8261
@najlaabdallah8261 11 дней назад
Ooh pole sana 😢 allah akupe nguvu na subra kwa kipindi hiki kigumu
@JacintaNasimiyu-n2p
@JacintaNasimiyu-n2p 11 дней назад
Pole sana
@AishaMubaraka
@AishaMubaraka 11 дней назад
Pole sana kaka ulimupenda Mungu Alimpenda zaidi
@VeronicaFernando-y6k
@VeronicaFernando-y6k 11 дней назад
Pole sana jaman mungu akupe nguvu
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 11 дней назад
#So painful 😢💔🌹 pore sana kaka
@josephinejoseph3919
@josephinejoseph3919 11 дней назад
😢😢
@RosaPedroJacinto
@RosaPedroJacinto 12 дней назад
Pole sana😭😭😭
@Luvunokkabi
@Luvunokkabi 12 дней назад
Aky pole kaka mungu akupe subra wakati huu mgumu
@eliasthomas1547
@eliasthomas1547 12 дней назад
Halafu kuna mtu anasema huyu kaka anatafuta kiki wakati anaimba kwa hisia 😢😢😢.
@MwajumaLameck-j2n
@MwajumaLameck-j2n 12 дней назад
Pole sana 😭
@FainaJaffari
@FainaJaffari 12 дней назад
Mbona fupi unazingua babu
@MwajeiJafu
@MwajeiJafu 12 дней назад
Pole sa mr nana
@AgnesShonga
@AgnesShonga 12 дней назад
Bora hata huyu kamtungia nyimbo mbona daimond hamuimbia hata kidogo wakati ndio alikuwa swaiba sana.
@KassmuMbazi
@KassmuMbazi 12 дней назад
Pole sana kaka angu
@ZainabuMasudally
@ZainabuMasudally 12 дней назад
😢😢😢😢😢😢😢😢
@ZainabuMagari-e1i
@ZainabuMagari-e1i 12 дней назад
Mungu akupe nguvu
@cleopatragerminus
@cleopatragerminus 13 дней назад
Aki inauma inauma nyie inaumiza 😭😭
@Samdabreezy
@Samdabreezy 13 дней назад
Pole kaka mungu akupe nguvu dah
@RehemaMohammed-m3q
@RehemaMohammed-m3q 13 дней назад
Duu, pole sana kaka kikubwa subra na Dua kumuombea
@aminakiure
@aminakiure 13 дней назад
Pole sana mdogo wng
@AshaIdrisa-y6r
@AshaIdrisa-y6r 13 дней назад
😢😢