Тёмный
MAKIR ONLINE
MAKIR ONLINE
MAKIR ONLINE
Подписаться
Makir online tv ni Channel inayokuletea matukeo mbali mbali ya kijamii yenye kuelimisha na kuburudisha pia, ikiwemo mawaidha hafalat, semina, dua na hata matangazo ya biashara

Kwa maoni, matangazo au ushauri munaruhusiwa
Kufa Ukiwa Mtupu I Sheikh Othman Issa
28:29
2 часа назад
Surat Al Hashir - Qari Hassan Shaha
19:21
День назад
Surat Al Furqan - Qari Hassan Shaha
25:10
14 дней назад
Комментарии
@MustaphaKiluke
@MustaphaKiluke 36 минут назад
Hapo anaujulisha umma kwamba yeye alishiriki kumweka mufti madarakani kwa hiyo ana sehemu yake kwenye uchango wake,kwa hiyo wakae chonjo wanaomwandama
@MustaphaKiluke
@MustaphaKiluke Час назад
Mambo ya Nape nnaye hayo
@MustaphaKiluke
@MustaphaKiluke Час назад
Wangepiga kura sheikh Muhidini angeshinda tu,ni strong man ,amesoma madina
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 6 часов назад
Ndio maana huyu jamaa na chizenge picha haiendi kabisa na hivyo tena muftí kamuozesha mwanae wa kike ndio kabisa!
@danaklinnaturopathy5385
@danaklinnaturopathy5385 11 часов назад
Matusi makubwa sana haya kwa Mufti na Baraza kwa Ujumla
@priyahtz7255
@priyahtz7255 23 часа назад
Bakwata ni ya dini ya kiislamu au ni ya serikali 😂?
@ShukurkollAngel
@ShukurkollAngel День назад
Tusiwe na chuki na husuda kwa binadamu, ni dhambi sana. Huyu Sheikh Alhad anaelezea hali ilivyokuwa kwani kosa lake nini? Waislam tusimame kwenye kumwogopa Mwenyezi Mungu. Hakuna baya alilozungumza. Tujenge umoja siyo chuki miongoni mwetu. Tupendane sana
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 День назад
Je, na hiyo Kumwaga Mafuta afu Watu wapite Wakiyagantaga imethibiti Wapi (Hadithi/Aya gani)?! Kufanya hivyo (Kumwaga Mafuta) sio Ufujaji/lslafu)?! Kwanini msiwagawie wakapske Majumbani kwao?! Kumwaga Mafuta Ardhini/Sakafuni ni Uzushi (Bida'a), ni Miongoni mwa Ufujaji/Islafu (Mbinu/Hila) huzitumia Shaiytwan/Ibilisi Kuwapoteza Waja Wakufuru Neema za Allah. Kumwaga Mafuta/Maji na Kuwaamuru Watu Kuyakanyaga Mafuta/Maji ni sawa na Kumwaga Chakula afu Kuwaamuru Watu Wale hicho Chakula, Kwanini msiwagawie Watu hicho Chakula wakule?! Hiyo Mbinu/Njia mnayotumia haukubaliki ktk Uislamu.
@saidikambi9597
@saidikambi9597 День назад
Yani hadhara hii na iyo stori sijui vinahusiana na nini yani ili iweje ata kama kweli ulichozungumza ni kweli lkn mantiki Yako nini kwamba sbb ya mufti kua mufti ni ww au la!?
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 2 дня назад
Hawa watu Alhd na Chizenge watakuwa wanalao limejificha maana kıla Aşhd aksema Chisenge anakuja juuu Tutaonaaa
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza 2 дня назад
Huyu jamaa mara nyingi maneno yake huwa yanamponza. Sijuwi kama huwa anafikiri kwanza kabla ya kusema sijuwi.
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 2 дня назад
Maneno yakiwa mengi lazima ulimi uteleze. Tuwe na akiba ya maneno
@MussaMnkea
@MussaMnkea 2 дня назад
Alhadi Musa anajua Siri nyingi sana za bakwata na hawezi kuizushia uongo na akitaka kuwaumbua anaweza vizuri sana ila anawastahi tu Kwa ajili ya kuepusha fitina
@sameerabdallah2112
@sameerabdallah2112 2 дня назад
Cheki hizo ngamia zilizokaa hapo na zinasikiliza ngamia nyingine
@BrotherKaka-j4z
@BrotherKaka-j4z 2 дня назад
Hii bakwata chombo Cha wachumia tumbo
@hazaaahmadhazaa2770
@hazaaahmadhazaa2770 2 дня назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-E6Fm6dOMTv4.htmlsi=5Hx6sj0poxBMI32r 👆🏻dakika ya 20:20 anasema ALLAH anawaogopa maulamaa !
@mzamilomocho6531
@mzamilomocho6531 3 дня назад
Shekh,, umezungumza vizur ila wengi hawajakuelewa ila ukweli ndiyo huu,,,,
@hashimsalum7025
@hashimsalum7025 3 дня назад
😂 kaaazi kweli kweli!, siri zimefichuka, watu wa kazi maarumu pole pole wanajitokeza.
@user13375
@user13375 3 дня назад
Duuu, hadi kampeni ktk uchaguz😮😮😮😮
@IbrahimSeleman-i2s
@IbrahimSeleman-i2s 3 дня назад
Inamaana mkoyogole alikuwa apate ushindi ndo mkampa SoMo ili ajitoe ???
@MustaphaKiluke
@MustaphaKiluke Час назад
I believe Sheikh mkoyogole angeshinda ,ni strong man pia anauchamungu
@wadudi2741
@wadudi2741 3 дня назад
Kwasasa angetakiwa anyamaze kimyaa sana kufanya hivyo itafanya baade watu wamfikirie lakini mndengereko wengi wao baadhi wanapenda sifa sana nilikuwa nae jamaa 1 masjidi fulani pale yombo ye alikuwa akiswalisha tukitoka masjidi tu anawauliza watu vipi waonaje kisomo changu kilivyotulia nasauti yangu akitoa ghutba hivyohivyo. Subhanallah akisoma hiyo qur,ani utadhani anamaliza kumbe ndianaanza هاذا ليس صحيحا ابدن
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 3 дня назад
Wewe Mbona ulidhidwa??
@MuniraDoeku-d2c
@MuniraDoeku-d2c 3 дня назад
Dini yetu maji ya dawa yameruhusiwa hata kwenye Quran soma surati kafu aya za mwanzo soma yamezungumziwa maji ya baraka
@DloveAfrika
@DloveAfrika 3 дня назад
Kwa maana hiyo mlifanya dhulma ya kuwanyima haki yao ya kumchagua Mufti wanaemtaka tena kwa kuuvunja utaratibu kimakusudi kabisa, Dah! Nashindwa kwenda moja kwa moja kwenye hukumu maana sina Elim hiyo ila hili limefanya nimesikitika mno kwenye hili… Nazidi kuamini kua swala hazitowsingiza watu peponi🙌🏽
@alimau7939
@alimau7939 3 дня назад
Huyo alhad ni kibaraka wa makafiri
@RamadhanTumbo-y5s
@RamadhanTumbo-y5s 3 дня назад
Njaa mbaya kweli
@Nufaila442
@Nufaila442 3 дня назад
Halafu wakitangaza Mwezi ambao ni Ibada kwetu WAISLAM tunafuata ... kuanzia leo sitofuta Mwezi wakitangaza hawa jamaa
@abeidsamsung
@abeidsamsung 3 дня назад
Mimbar ya mtume inatumika kuubiria wat mazonge haya
@Ajijji12
@Ajijji12 3 дня назад
Huyu ni muhuni km wahuni wengine
@tibakisunnahnaasili6250
@tibakisunnahnaasili6250 3 дня назад
Na siasa humohumo mambo ya kura Tena 😂
@MaulidHaji-ol1no
@MaulidHaji-ol1no 3 дня назад
Kasema ukweli Kwan kakosea wap Bakwata tukubali Kwan sema ukweli japo ukweli unauma
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 3 дня назад
Kumbe ilikuwa hivyoo😮 Subhaana Allah!!!
@majidimussa8678
@majidimussa8678 3 дня назад
Asante kwa kutwambia ukweli Aisee !!!
@Kaankaraz
@Kaankaraz 4 дня назад
Bakwata ndo mnaoleta fitna katika dini
@AffectionateLacrosse-ik1jn
@AffectionateLacrosse-ik1jn 4 дня назад
Sheikh ulichokiongea ndio ukweli ila sijui kwa nini hawakukuelewa mimi sijaona pahali pa kukutia makosani
@NassirAliy
@NassirAliy 4 дня назад
Nyinyi ni mtihani tu bakwata
@azzanalkhatry4625
@azzanalkhatry4625 4 дня назад
Bado una lugha chafu 😊
@rashidomar2771
@rashidomar2771 2 дня назад
Kawaida mimi hua sipende hata kidogo mtu anaependa kujitetea ,pamoja nakujikweza sana ,,
@khalfanomary8873
@khalfanomary8873 4 дня назад
Bakwata ni Ccm mtupu.....
@khamisikhalfan4720
@khamisikhalfan4720 4 дня назад
Umeyabananga hapo
@mundhirsaid1250
@mundhirsaid1250 4 дня назад
Wewe ALHAD unapenda kujipa cheo. !!!!!!
@rashidmiraji1468
@rashidmiraji1468 4 дня назад
Yale ya nape ndio hya
@HijaSaid-t6c
@HijaSaid-t6c 4 дня назад
Haki na batuil havikai pamoja, Rudin huko kwenu acheni kujificha kwenye dini ya Allah, nyie mnajulikana ni taasisi gani
@Golanh4786
@Golanh4786 4 дня назад
😂😂😂😂😂 bakwata bwana mizengwe mizengwe tangu kuanzishwa Hadi tuendako mtasema yoteee.
@kugotwa004
@kugotwa004 4 дня назад
Unatumia shuhul za kidini kuongea mambo ya kuwatofautisha waislamu
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 3 дня назад
Kwani sindi kazi ya hy taasisi cha ajabu kipi?
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 3 дня назад
Au unaushahidi huu ni shughuli ya dini ya Uiislaam?
@amemasudi5735
@amemasudi5735 4 дня назад
Ss iyo Demokrasia ambayo sio sahihi ndio ipi usichanganye Watu kupiga kura sio katika Vyama hi I vya Kisiasa za Kidunia na kuuwana acha kujikosha
@tibakisunnahnaasili6250
@tibakisunnahnaasili6250 3 дня назад
Yupo kazini
@abdulyhussein1078
@abdulyhussein1078 4 дня назад
Hakupaswa kusema hayo hadharani. Pia hakuwa makamu mwenyekiti
@JosephKassim-m9m
@JosephKassim-m9m 4 дня назад
Ivi nyie waisilam Muna penda vita San et
@BarghashHossein-me7qc
@BarghashHossein-me7qc 4 дня назад
Nyie woote mnaocomeent mkimfatilia uyu jamaa ana ish kwa kiki sana yani hkubali km sio shekhe alivyokua shekhe alitumia maharaka vibaya sana ivyo uwez kuongea ujinga uuu yani mfano ccm ilivyo mpata rais wake atekee mtu aongee ujinga km uuu ni sawa ?alimcrash shekhe warid aliposema shekhe unaefundisha na mwenye imani bastola yanini au unawezaje kua mtu wa madili anaetaka passport wewe upo uyu ni shekhe au mpiga alijibu kwa uchungu sana nilivyoona ivyo tu bas nilijua Hana hekma na uyu angekua kwenye siasa bas angeama haraka na kuamia chama pinzan nivile dini ni moja tu awez kuriitad labda awe chizi kabisa
@mwananganzi
@mwananganzi 4 дня назад
Subuhannalwah!!
@mtutulaclassic6207
@mtutulaclassic6207 4 дня назад
Huyu jamaa anaishi na Vinyongo sana