Тёмный
HABARI 24
HABARI 24
HABARI 24
Подписаться
HABARI 24 ni runinga ya mtandaoni ambayo imejikita katika kutoa taarifa za kweli kuhusu michezo,burudani, siasa, elimu, sayansi na teknolojia na matukio mbalimbali yaliyojiri na yanayojiri sehemu tofauti tofauti.

If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.

For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor.
Комментарии
@saidhamisisetembosetembo9039
@saidhamisisetembosetembo9039 7 минут назад
Banzoka(big jii) ikiisha utamu inatemwa Haina thamani tena waende wenyewe zamu Yao
@amanmalima940
@amanmalima940 9 минут назад
YESU Ndiye ya kweli na Uzima ya kwenda mbinguni HEBU mwamini YESU na UOKOKE na Ulithi Uzima WA MILELE na uende mbinguni.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@HasanooTozzy
@HasanooTozzy 10 минут назад
Baba mama zetu wazee awawezi kukimbia kikinuka kwaiyo uwo uchu wenu wa madaraka usitughalimu sisi wanyonge ambao tulio amua kuishi maisha yetu na sio maisha ya siasa
@amanmalima940
@amanmalima940 10 минут назад
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@maliyamungujohn2469
@maliyamungujohn2469 16 минут назад
Kwahiyo yukurein yenyewe haishambulii imefungwa mikono
@KilimbikeHaji-iy2fm
@KilimbikeHaji-iy2fm 24 минуты назад
Safi sana ukiuwa nawewe utauliwa wako ndio ukome wewe ndio unao uwa raiyaa
@user-to4jw7tm1j
@user-to4jw7tm1j 26 минут назад
Bado hawajashindwa maana wao ni wakala wanaamrishwa
@user-ui1cj5re9k
@user-ui1cj5re9k 26 минут назад
hongereni sana kwahabarizenu nzuri🎉
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 30 минут назад
Sio umeshinda halafu utumike kututangazia upuuzi wa maradhi kila?mara kwa lengo la kuwafurahisha mabeberu na washirikina wake uwe mzalendo kwa taifa lako na bara lako na mungu atakuongoza lakin ukimfuata shetani ambae wakala wake ni mmarekani na magharibi mungu atakupiga bakora
@user-vg6rg2nv8s
@user-vg6rg2nv8s 31 минуту назад
Hamna bwana!!! Sitaki mimi
@clifordalusiola3783
@clifordalusiola3783 32 минуты назад
Unapiga udomo Tanzania 🇹🇿 mukowapi kijeshi😂😂
@ellymwasenga2687
@ellymwasenga2687 40 минут назад
Eeeh MUNGU Mwenye Rehema tunakuomba Ulihurumie Bunge letu, maana hawalijui walisemalo 😭😭😭😭 My Country my country Dod is Real, Pambana vita zingine usipambane na Mungu.
@Jackxon_tz1
@Jackxon_tz1 41 минуту назад
Aluta continue
@festohaule9716
@festohaule9716 41 минуту назад
Kuingia kwenye ardhi ya Nchi kubwa hivo ni hatari maana uwe na hesabu kubwa.... Unatokaje ukizidiwa .unapataje. Silaha ukiishiwa, unapataje matibabu ukijeruhiwa, mnaweza kufa wote msaada ukikatwa.....
@PetroMpunga-rt7hv
@PetroMpunga-rt7hv 53 минуты назад
Tutapambana mpaka tone la mwisho la damu, hatuwezi kukata tamaa
@habari-24
@habari-24 53 минуты назад
bit.ly/3yrpH70
@ClaraLyimo-g8s
@ClaraLyimo-g8s 58 минут назад
Warusi hawapotezi kabisa hizi habari anapigana na hakuna nini au anapigana na upepo mana urusi hapotezi
@colletatesha5265
@colletatesha5265 Час назад
Loooord
@user-vg6rg2nv8s
@user-vg6rg2nv8s Час назад
Hebu nyamaza bwana
@awadhsalim2680
@awadhsalim2680 Час назад
Nendeni na ndio mtakao wekwa mstari wa mbele kwenye vita. Mtakufa wote.😅
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 Час назад
Tanzania hata ukiwa profesa, mbwembwe tunafanyiana hapa bongo tuu ukienda mamtoni unaongea chenyewe nusa saa tuu misamiati na tenses zote Zinapotea unaanza yo know . Kimsingi Kiswahili ni inversely proportional na kiingereza. Kikishaingia Cha kwanza kwenye UBONGO hata u some vipi kiingereza lazima kitakuwa na mkatiko. Tumlaumu mwarabu aliyekuwa kutuharibia lugha yetu ya kibantu kwa kuchanganya na lugha yake inayoanzia nyumba kwenda mbele. Ni vigumu lugha ya namna hiyo kuwa compatible na kiingereza.
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Час назад
🙆🏻 DAH!! MAMA PLZ PIGA MSASA TENA... NAONA YAI LIMESHAANZA KUKUKIMBIA... 😢😢😢
@user-jy9gh8zo3j
@user-jy9gh8zo3j Час назад
Mrusi kasema atawauwa taratibu ili wafe namaumivu makali😂
@IbrahimMohd-in5jf
@IbrahimMohd-in5jf Час назад
Hatuji tena
@abuukajembe-to6sd
@abuukajembe-to6sd 2 часа назад
Mda utaongea 2 uuuuuuraaaaaa
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 2 часа назад
Kwani mrrusi ana nini hasa mpaka asipigike kirahisi hebu naomba mniambie wandugu
@user-up6zl1ck3j
@user-up6zl1ck3j Час назад
TSAR bomu
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 2 часа назад
Hili jeshi lina laana mbele za mungu, RIP JPM
@KenedyThabiti
@KenedyThabiti 2 часа назад
Urusi nje wangapi
@masoudkashato1378
@masoudkashato1378 2 часа назад
Sisi Warusi tunafurah 2
@cassianyapesa5406
@cassianyapesa5406 2 часа назад
Putin unawachele we sha mashoga hao
@SebastPolepole
@SebastPolepole 2 часа назад
Unadhani Jeshi wanapenda unavoongoza. Watu wanatekwa uko kimya. Wanauawa uko kimya wanapotezwa uko kimya uvccm kumbe ni kubwa kuliko kiti chako? Mungu anakuona
@LuganoAmwamsojo
@LuganoAmwamsojo 2 часа назад
😂😂😂😂
@edwardedwardbuberwa3701
@edwardedwardbuberwa3701 2 часа назад
Tutafika tu😅😅
@SebastPolepole
@SebastPolepole 2 часа назад
Unaogopa nini lazima utavunatu unchokipanda
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q 2 часа назад
Kwani jubu la kushindwa si lilikuwa wazi, mtu kashachukuliwa ardhi yake 25% ataweza chukua mkoa wa urusi
@AsumanAbubakar
@AsumanAbubakar 3 часа назад
Uyu ndo magufuli WA pili Tumepata makonda anajuwa Sana napia NI mtaratibu kwenye Kazi yake mungu ampe maisha marefu amina
@kitaaofficial4119
@kitaaofficial4119 3 часа назад
Mbona unapendelea Urusi.. Toa habari za kweli banaa Urusi anapigwa Balaa huko❤️‍🔥🔥
@Awatee
@Awatee 2 часа назад
😂😂😂😂Kwani ulifikiri vikosi vya kadrov kama vya mabwana zako wamagharib wale wanaume Rijal
@HamadJuma-kj5td
@HamadJuma-kj5td 2 часа назад
W unaetaka za ukrein ci wende zako BBC shoga w😂
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 2 часа назад
Labda unapigwa mkundu wako balaa huko❤️‍🔥🔥
@user-up6zl1ck3j
@user-up6zl1ck3j Час назад
Kama anapigwa,mbona anayempiga ndie anayelia ,au anapiga huku analia
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 Час назад
😂😂hawezi sema ukweli
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd 3 часа назад
Aliye haribu nchi ikafika hapa ni magufuri ndiye ambaye mambo ya utekaji yalianzia Sasa huyu mama kazidiwa Hana mamuzi majambazi wamezidi ndani ya serikali
@SergeJames-g1i
@SergeJames-g1i 3 часа назад
Miye ni serge nikiwa south Africa nawa fata sana ila habari za congo
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 3 часа назад
unapoozwa 😂😂😂
@jonathanmallan4811
@jonathanmallan4811 3 часа назад
Hawawezi kuwakamata, kwa sababu wanaushahidi. Wasingekuwa na ushahidi, wangewakamata
@lightmashauri1725
@lightmashauri1725 3 часа назад
Rip magufuli
@samwelipima3795
@samwelipima3795 3 часа назад
Kichapo hicho bado urusi hajaanza vita nakua nacheka tu ni operation akianza vita kamili itakuaje!!!!!!
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 2 часа назад
Kuna wapuuzi wanasema mrrusi keshachemka eti miaka 2bado anasumbuka na ukraine
@user-zf9ee1us6p
@user-zf9ee1us6p 3 часа назад
Uuurrraaaaa
@user-lj4hs4kg1i
@user-lj4hs4kg1i 3 часа назад
Very poor English.A minister of health really?
@user-up6zl1ck3j
@user-up6zl1ck3j 3 часа назад
Mjuze General kuwa bado hatujaanza vita tupo kwenye operation maalum,asubiri mziki
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 2 часа назад
😂😂😂😂😂😂
@hamisimwinzagu6624
@hamisimwinzagu6624 3 часа назад
Taratiiiiiibu naona coment za upande wa pili sizioni
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 2 часа назад
Na hutaziona kamwe
@habari-24
@habari-24 3 часа назад
bit.ly/3MmKNGL
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 3 часа назад
Wacha wapigike tuu hakuna namna