Тёмный
BUSATI ONLINE TV
BUSATI ONLINE TV
BUSATI ONLINE TV
Подписаться
JINSI SIMU INAVYO VUNJA NDOA
6:45
9 часов назад
DALILI 7 ZA FAMILI MBAYA
4:40
12 часов назад
WANAUME WANAPENDA MWANAMKE MTIIFU
3:52
14 часов назад
AINA NANE ZA HASIRA
4:41
14 часов назад
NIDHAMU ZA KUMFUNDISHA MTOTO
3:20
День назад
ATHARI YA TABIA YA KURINGA
3:39
День назад
MADHARA YA KUNUNANUNA HOVYO
3:02
14 дней назад
SABABU ZA KUACHANA KATIKA NDOA
2:15
14 дней назад
CHANGAMOTO YA KUNUNA HOVYO
3:29
14 дней назад
MADHARA YA KUNUNANUNA HOVYO
3:02
14 дней назад
JINSI YA KUISHI NA MPENZI MWENYE GUBU
3:46
21 день назад
FAIDA ZA KUPENDANA KWA WANANDOA
4:12
21 день назад
ZIJUWE AINA 4 ZA WIVU
3:02
21 день назад
MJUE MTU MVIVU
3:14
21 день назад
DALILI ZA MTU MAVIVU
3:23
21 день назад
ATHARI ZA KUWACHAFUA WATU
2:24
21 день назад
ATHARI YA KUJILINGANISHA
1:22
21 день назад
Комментарии
@mosesfrancis8495
@mosesfrancis8495 12 дней назад
☑️
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p 13 дней назад
nikweli wenye kipato hua wanaringa sana
@user-ld9pi1ul3p
@user-ld9pi1ul3p 14 дней назад
Aslm alykm naomba namba za huyo kaka mimi ni nimeathirika na hilo jambo
@user-cz1pb6zn3h
@user-cz1pb6zn3h 15 дней назад
Shukran sana sana
@AliHassanAli-ou4wh
@AliHassanAli-ou4wh 16 дней назад
Allah azid kukupa afya njema na yny manufaa dunia na Akhera Mwalim Hassan ili tupate kufaidika zaidi
@user-fq9ol4nr9x
@user-fq9ol4nr9x 23 дня назад
🙏🙏🙏🙏🥰🥰
@simaijuma1816
@simaijuma1816 24 дня назад
Mara nyingi mtu mwenyeroho mbaya anaweza kujufanyia uhasidi
@NoIe-zq7jo
@NoIe-zq7jo Месяц назад
Kweli mungu akubariki
@NoIe-zq7jo
@NoIe-zq7jo Месяц назад
Choyo cha mume wangu hanisaidii mpaka nimesafiri oman kutafuta pesa ..lakini kila nikisema nampa pesa mzee wangu basi inakua analeta list kubwa vitu vyengine sina uwezo navyo kwa wakati huu nikimuweka anijengee asimamie basi bili huwa kubwa nishindwe
@salmachama1309
@salmachama1309 2 месяца назад
MashaaAllah
@ashaothman-vz7ro
@ashaothman-vz7ro 3 месяца назад
Ss tuko mbali mawif watupend
@jokhafadhil7943
@jokhafadhil7943 3 месяца назад
Maashaallah leo umezidi kuchambua uzur
@rumaukombo6415
@rumaukombo6415 3 месяца назад
Kumwambia mwenyewe na kumsema kwa watu ipi bora?
@jokhafadhil7943
@jokhafadhil7943 4 месяца назад
Maashaallah
@abdillahomar4541
@abdillahomar4541 4 месяца назад
Daha imenigusa sana jamani nalia naomba number yk ya simu b
@user-tp2kr8kz9w
@user-tp2kr8kz9w 5 месяцев назад
Mwamme ndio nani
@user-on1wv3tm8q
@user-on1wv3tm8q 5 месяцев назад
Mjitaidi..dunia..hii..sizani..kwasasa..yamenikuta.mimi...sizani...nimeoa.masikini..baada.mwaka..kapata..kazi..basi..baada.ya.miaka.3.kakopa.kazini..pesa..kajenqa..hata.mimi.akunambia..kabisa..nimekuja.kujua.mafundi..wamekujaa.pesa.zao.usiku.ndio..nikajua..mwisho.kachukua.wazazi.wake.mafia.kawaleta..mwisho..kanambia.bele.ya.wazazi..wake.mimi...si.mwanaume..kazini...anarudi..usiku.sa.mbili.nikahamua..nimuachee..munqu..tuu..nikaenda.kuhoa.uqanda..heeee.siaba..nimeona.mahaba.na.eshima..tena..sirudi.zenji.labda.kutembea..tuu.kanambia...kakae.na.huyo.mkeo.wa.uqanda..sijamuachaa..munqu..hataukumu..nimetulia.uqanda..napata.pesa.kuliko.kwetu.zenji...kwetu..fuoni.mail.5..uku..uqanda.nmeimarikaa.zaidiiiii..nimekabiziwa.msikitii..rahaaaa.nafundishaa.dini...zenji..unakujaa.nakuondoka..mtianiiiiii
@user-on1wv3tm8q
@user-on1wv3tm8q 5 месяцев назад
Sawa..mjitaidi..lkini..nqum...kwa..Sasa.dunia..hii..nimehoa..pemba...wete.kadai.talaka.bila.sababu...nikahoa...zenji...mmafia..masikini...baada.ya.ndoa.mwaka.1.kapata.kazi ..Basi.kajenqa.hata.mimi.sikujua..mpaka..mafundi.wamekuja..màfundi.kudai.pesa..zao.u siku.ndio.nkajua...ninae.mpaka.leo..nimemuachia..munwu
@user-ze5zh9sl8k
@user-ze5zh9sl8k 5 месяцев назад
Yaani mkwe wangu kazidi mpaka ugomvi basi anamwambia mwanawe ikifika kwako mkeo akileta maneno maneno nataka nisikie nipigie sim bila ya mkeo kujua...nahisi ananizalilisha kweli
@MaadamAisha-qx5pu
@MaadamAisha-qx5pu 7 месяцев назад
Asante mwalimu Hasani,mimi nataka unisaidie mada ya utafiti
@user-rc1ml1zo3b
@user-rc1ml1zo3b 7 месяцев назад
❤❤❤
@LatifaUssi-dh4jt
@LatifaUssi-dh4jt 7 месяцев назад
allah akubaarik
@LatifaUssi-dh4jt
@LatifaUssi-dh4jt 7 месяцев назад
😅😅😁😁😁😁😁😁 mtihan daàaah
@LatifaUssi-dh4jt
@LatifaUssi-dh4jt 7 месяцев назад
shukraaan maalim hasan kwa elimu nzito unayotupatia
@MwanaeziHamad-sp4xs
@MwanaeziHamad-sp4xs 7 месяцев назад
Mwalimu Hassan mashaall
@AhmedAmour-pz8cf
@AhmedAmour-pz8cf 7 месяцев назад
Marejeo mhim jaman
@zainabuali9915
@zainabuali9915 8 месяцев назад
Shukran mwalim
@zainabuali9915
@zainabuali9915 8 месяцев назад
Shukran
@zainabuali9915
@zainabuali9915 8 месяцев назад
Mm nahisi ipo haja ya kuwekwa washaur nasaha Kila wilay ambao watashuhulikia masuala ya ndoa, maan changmot nyengne si za kupelekan mahakaman ni za kupata ushaur tu
@zainabuali9915
@zainabuali9915 8 месяцев назад
Kipindi kzur kwaa anaefatilia na kujifunza
@zainabuali9915
@zainabuali9915 8 месяцев назад
Shukran mr Hassan
@zainabuali9915
@zainabuali9915 8 месяцев назад
Shukran
@hajimaisara4420
@hajimaisara4420 8 месяцев назад
Hongea box wangu shaaa Kwa kipindi kizuri mm nashi
@asmahijja
@asmahijja 8 месяцев назад
Mm naomba namba ya mwalim HASSAN
@profharuni217
@profharuni217 8 месяцев назад
Nibora muitume kwa ukamilifu wake kuliko vipandevipande km hvyoo .
@hanifahaji6560
@hanifahaji6560 8 месяцев назад
Mashallah kipind kizur, mana kinatuelimish
@jokhafadhil7943
@jokhafadhil7943 8 месяцев назад
Ni kweli
@mwanaishanadi5828
@mwanaishanadi5828 9 месяцев назад
AssAlykm,mwalim hassn mume wangu mie hatuna mipango
@asmahijja
@asmahijja 9 месяцев назад
Nn shida binafc naomb niunganishwe na sheh HASSAN
@asmahijja
@asmahijja 9 месяцев назад
Mm naitaji no ya sheh HASSAN
@AshaKhamis-xb3kd
@AshaKhamis-xb3kd 9 месяцев назад
Nakukubal sana
@user-ft2is4nu6g
@user-ft2is4nu6g 9 месяцев назад
Mashaallah busati tv online kaz nzur
@user-xp8me8vs9d
@user-xp8me8vs9d 9 месяцев назад
Napenda Sana hiki kipindi jamani 🎉
@rukiaomar1091
@rukiaomar1091 9 месяцев назад
Gubu sio jambo jema kW wanandoa jmn
@rukiaomar1091
@rukiaomar1091 9 месяцев назад
Kipindi kiko vzr sana hongereni
@BabyJ-td5zc
@BabyJ-td5zc 9 месяцев назад
Daaaahhhhh mada pambe kabisa japo wanawake wengi tunapinga sana
@profharuni217
@profharuni217 9 месяцев назад
Nampenda sana SALIM OTHMAN
@yohanambaga4977
@yohanambaga4977 9 месяцев назад
Mwalimu wangu Hassan pale Haile
@user-nb5jt7pl6m
@user-nb5jt7pl6m 9 месяцев назад
Ikiwa mwanamke hana mdomo lkn mumewe hana nguvu za kiume inadababishwa nanini maalim hassan?
@profharuni217
@profharuni217 10 месяцев назад
Dah ama kweliii mtu ni kidole,,, nampenda sana salim othman kila cku nasikia sauti yake2 ila leo ndio mara yangu ya mwanzo kumuona kwa suraaa ..... nampenda sana mr huyuuuu big up boy