Тёмный
UMOJA DAIMA MEDIA
UMOJA DAIMA MEDIA
UMOJA DAIMA MEDIA
Подписаться
Wote wawe na Umoja
Комментарии
@Jackson_Kisanga
@Jackson_Kisanga 4 дня назад
Hongereni sana kwa kazi nzuri BCC
@mataypanga5262
@mataypanga5262 8 дней назад
Inakuwaje hamjui kuchoma mahindi,yameunguzwa.Hapo ni Tanzania?😂
@zawadielmaruchu8908
@zawadielmaruchu8908 12 дней назад
Great and poweful msg my Bishop.
@mangushapraygod
@mangushapraygod 13 дней назад
Hongera kwa mkutano mkubwa wa Amani Muwe na kikao chema chenye matokeo chanya
@Janet61ful
@Janet61ful 22 дня назад
Asante Dr. Lightness kwa kutoa vipawa vyako kwa jamii. Tunawashukuru waliokukuza na kukusomesha na sisi tunaponea hapo. Mungu akubariki sana Dr. Kaale wetu.
@hekimazamtotochanneltv2451
@hekimazamtotochanneltv2451 28 дней назад
Sure
@lightkaalesorensen3837
@lightkaalesorensen3837 28 дней назад
R.I.P Bishop
@hekimazamtotochanneltv2451
@hekimazamtotochanneltv2451 Месяц назад
Ameni
@Wittyhollyson-h9z
@Wittyhollyson-h9z Месяц назад
👏
@ericangao2243
@ericangao2243 Месяц назад
Hongereni sana kwa kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji mbarikiwe na mzidi kusonga mbele
@peterkithyaka882
@peterkithyaka882 Месяц назад
Excellent
@OswadiKimaro
@OswadiKimaro Месяц назад
Poleni wana Mwanga
@Jackson_Kisanga
@Jackson_Kisanga Месяц назад
Mimi napendekeza Logo ya zamani Irudi . ile ni nzuri kuliko hii.
@evjohnshalom419
@evjohnshalom419 Месяц назад
logo ipi
@Jackson_Kisanga
@Jackson_Kisanga Месяц назад
@@evjohnshalom419 Logo png iliyowekwa juu Kulia. Napendekeza logo iliyopita. angalia video za nyuma Angalia hii. ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-DucOHHaRpRc.html
@Jackson_Kisanga
@Jackson_Kisanga Месяц назад
Ahsante sana kwa taarifa.
@JafeDaudi
@JafeDaudi Месяц назад
Waeleze hao wabaya wetu wasije jaribu kuchafua inchi yetu
@JimbokkAfyaMsingi
@JimbokkAfyaMsingi Месяц назад
Hii kwaya nina miaka 8 sasa nikiimba sipendi kukosa siku za mazoezi naburudika fulani hivi. karibuni mjiunge tumuimbe Mungu
@davidmziray2048
@davidmziray2048 Месяц назад
Hongera sana kwaya ya furahini kaka yangu mzee mziray ameimba Kwa miaka 50
@JaphetRingo
@JaphetRingo Месяц назад
Hongera sana Kwaya ya Furahini kwa huduma njema ya uimbaji
@AliceKangwa-f4g
@AliceKangwa-f4g Месяц назад
Hongera sana.
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj Месяц назад
Hongera sana Dr mbilu kwa.mafundisho yenye uhalisia.
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj Месяц назад
Wakatae waepuke wanaokudanganya, ni wajinga wakuponza wakupoteza wewe, ila wewe ukatae kuondoka kwa yesu, njoo upesi njoo upesi, baki hapo ulipo.Amen
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 Месяц назад
viongozi wa dini mkipaza sauti zenu bila kuogopa sisisem wataufyata tu
@MassaweKimaro
@MassaweKimaro Месяц назад
Mungu akulinde sana
@saidmtetwa4363
@saidmtetwa4363 Месяц назад
Good job dkt Shoo
@JaphetRingo
@JaphetRingo Месяц назад
Mungu wetu mkuu aendelee kulitunza kanisa lake
@violethmrema2869
@violethmrema2869 Месяц назад
Hongera sana sana Baba kwa kuchaguliwa tena kuongoza Dayosisi yetu ya kaskazini Mungu akutunze sana na kukulinda .sifa na heshima tunamrudishia yeye.
@noekenny3771
@noekenny3771 Месяц назад
Baba Askofu Mungu akutunze, aendelee kukufanya chombo chema cha kuhubiri Amani na haki. Usikae kimya, maana ukinyamaza mawe yata sema. Umesha timiza wajibu wako na wala dhambi haiko tena mikononi mwako.
@irenemmari5054
@irenemmari5054 Месяц назад
Amen
@TrumpetIsrael
@TrumpetIsrael Месяц назад
Amina baba
@hosearwechungura5391
@hosearwechungura5391 Месяц назад
Mungu wetu nakuomba uendelee kuribariki kanisa letu KKKT na viongozi wetu wote tudumu na kuishi ktk imani yetu daima na milele++
@ELIASIFIWEKILEO
@ELIASIFIWEKILEO Месяц назад
Hongera sana baba askofu shoo sifa na utukufu kwa Mungu
@fadhilisecha4268
@fadhilisecha4268 Месяц назад
Hongera kwa kipindi kingine baba Askofu Shoo. MUNGU azidi kukutumia
@josephinekirenga7863
@josephinekirenga7863 Месяц назад
Hakika utukufu wa Bwana umeonekana ktk mkutano huu Mungu wa mbinguni awabariki viongozi wetu na wote walioshiriki amen
@ephraemsilayo
@ephraemsilayo Месяц назад
Hongera sana mhe Baba Askofu Dkt. Fredrick Shoo kwa kuchaguliwa tena kuiongoza Dayosisi Yetu. Tunakutakia Heri na baraka za Mungu. Hongera pia kwa Mhe. msaidizi wa Askofu Mchg. Deogratius Msanya kwa kuchaguliwa tena kwa kazi hii ya Mungu. Nawatakia utumishi uliotukuka. Dkt. Ephraem E Silayo (Ardhi University)
@elizabethsilayo3888
@elizabethsilayo3888 Месяц назад
Mungu apiganie ampe afya njema na nguvu mpya. Tunamshukuru sana Mungu kwa ajili ya kutupa sisi wa Kaskazini Baba Askofu Shoo🎉
@ericangao2243
@ericangao2243 Месяц назад
Hongera sana baba Askofu Shoo kwa kuiongoza Dayosisi ya KASKAZINI kwa kukubali tena kazi yako ni njema nguvu yaRoho Mtakatifu ikuongoze Mungu akupe nguvu na afya njema
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj Месяц назад
Good bishop Dr shoo congrats
@prospermariki8316
@prospermariki8316 Месяц назад
Hongera baba askofu😊
@msechuandrea550
@msechuandrea550 Месяц назад
Hongera Baba askofu kwa kuingoza Dayosisi ya kaskazini kwa kipindi kingine cha miaka sits damu ya Yesu Kristo aliye hai ikufunike
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj Месяц назад
Dayosisi yetu ya dkms na.dk ni ndugu na.marafiki umoja huu udumu, ni Dayosisi bora kabisa. Mungu bariki kikao hiki.muhimu, Amen
@tumsifushoo3544
@tumsifushoo3544 Месяц назад
Hongereni sana baba Askofu na uongozi wote wa Dayosisi yetu mliyoamwua kuonyesha wazi mkutano huu..tunafarijika sana kuona kwa uwazi
@mwl_bennehemiah
@mwl_bennehemiah Месяц назад
😂❤😅
@gebbyreuben7216
@gebbyreuben7216 Месяц назад
Safiii sana mkutano wa uwazi
@dorcasmoshi5140
@dorcasmoshi5140 Месяц назад
Mungu awatangulie mkafanye kwa hekima na sio kwa uonevu wa hali yoyote ile
@fadhilisecha4268
@fadhilisecha4268 Месяц назад
Mungu awatangulie mfanye maamuzi sahihi katika Kristo Yesu
@emanuellyamuya515
@emanuellyamuya515 Месяц назад
Mungu bariki kanisa lako dk
@andreafredrickutou4013
@andreafredrickutou4013 Месяц назад
Hii imekaa vizuri sana,tunapata uzoefu mkubwa kwa kusikiliza watoa mada mbalimbali,kwa Mafundisho mbalimbali 🙌🙏
@EsterShao-s3i
@EsterShao-s3i Месяц назад
Bwana Yesu apewe sifa sana,,nawatakia mkutano wa Baraka na Mafanikio tele watumishi wa Mungu
@oscarnderongo-fv8wx
@oscarnderongo-fv8wx Месяц назад
Bwana Yesu asifiwe watumishi. Nawatakia mkutano wenye baraka za Mungu.
@rev.tumainieliminja6836
@rev.tumainieliminja6836 Месяц назад
Pongezi sana UMOJA DAIMA Hii tuliisubiri kwa hamu, ni kama vile tulichelewa hivyo naamini tutakwenda speed tufike wengine waliopo. Kwa uzoefu mdogo niliona kwa wenzetu nitaleta ushauri na maboresho muhimu. Hongereni mnoo tupo pamoja