Тёмный
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Подписаться
HAPA tutakuelimisha juu ya mbinu bora za kilimo biashara,uongezaji thamani wa mazao na ufugaji ;tutakuunganisha na mtandao wa wakulima wazoefu, wafugaji,watunga sera,wasimamizi wa sera za kilimo/ufugaji pamoja na mtandao mkubwa wa masoko ya ndani na ya kimataifa.

KWA KUWA HATUWEZI KUTENGANISHA KILIMO NA MILA PAMOJA NA UTALII ;
Tutakufanya mtazamaji wetu ufanye utalii wa mila,desturi/tamaduni za makabila mbalimbali ya Kiafrika juu ya vyakula,mimea,wanyama,maua,mavazi,ngoma za asili za makabila mbalimbali, taratibu na mila za kuoa na kuolewa, sherehe ,dawa za asili ya Afrika nk kupitia computer yako/ simu yako ya kiganjani.
Kupitia program yetu ya AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA tutakupeleka mashambani, viwandani,kwenye mbuga za wanyama,ofisini kwa viongozi mashuhuri,maduka ya pembejeo za kilimo na zana za kilimo.

Tutatembea na kushiriki kwenye sherehe za Mila,mbuga za wanyama,jando nk.
Tutakufikia shambani na kukusaidia kukabiliana na changamoto huko huko.

SUBSCRIBE : @AJE-FARMS


Комментарии
@JonesMwita-lb3wm
@JonesMwita-lb3wm 2 дня назад
Hongera
@aje-farmsmashambayanayotem7392
Ahsante, karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA na tafadhali SUBSCRIBE LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI.
@amosicronery7730
@amosicronery7730 2 дня назад
kila mtu anaweza kulima muhogo
@aje-farmsmashambayanayotem7392
Hakika
@thethirdangelsmessage7025
@thethirdangelsmessage7025 3 дня назад
Mayai ya kanga yapo? Bei gani?
@aje-farmsmashambayanayotem7392
Mayai ya kanga trey ni TZS 40,000. Kwa Mawasiliano zaidi WhatsApp:0757 757 968. Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI.
@TecnoSp-e9e
@TecnoSp-e9e 4 дня назад
Hey vifaranga kama hao ni pesa ngapl za kenya
@aje-farmsmashambayanayotem7392
Hawa wa miezi 3 ni KSH 5000 Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI. Kwa Mawasiliano zaidi WhatsApp:+255 757 757 968 AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA
@Supernovaz12014
@Supernovaz12014 4 дня назад
Haya maelexo sio sahihi, wakulima wanahitaji immediate cash na NFRA Huchukua wiki mpaka miezi sita kufanya malipo. Hii ndio maana kuu ya wakulima kuuza kwa bei ya chini. Lakini swala la ubora na uzalishaji mdogo ni sababu zisizo na tija. Swala kubwa ni malipo kuchelewa period!!
@aje-farmsmashambayanayotem7392
Ahsante kwa feedback hii. Waandishi wataitafuta mamlaka husika ili kuweza kupata majibu yao juu ya hili na hivyo kuweka uzani wa mambo. Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI TUWEZE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI na kupata maoni ya wengi kwa maendeleo ya SEKTA ya KILIMO.
@lemameasi5025
@lemameasi5025 5 дней назад
Mnapatikana wapi
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 5 дней назад
Tunapatikana Kagera na Geita. Unaweza kuwasiliana nasi kwa WhatsApp 0757 757 968 ili kutumiwa VITABU VYA KILIMO NA UFUGAJI. Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI. Karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA.
@OmbeniSamKassoko
@OmbeniSamKassoko 5 дней назад
Elimu nzuri sana
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 5 дней назад
Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI. UNAWEZA PIA KUAGIZA KITABU KWA WHATSAPP 0757 757 968 Karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA.
@yahyamayoyola4679
@yahyamayoyola4679 6 дней назад
Pea ya mke na mume bei gani
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 6 дней назад
Pair ni TZS 180,000 wa UMRI huu. Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI. Kwa Mawasiliano zaidi WhatsApp 0757 757 968 AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA.
@yahyamayoyola4679
@yahyamayoyola4679 6 дней назад
@@aje-farmsmashambayanayotem7392 wa 80000 pea sipati ndugu
@MaduhuShima
@MaduhuShima 7 дней назад
Mje na geita tunahitaji sana
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 7 дней назад
Sawa . Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI. AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA
@alikassimabdalla3947
@alikassimabdalla3947 10 дней назад
Nimenufaika na kipindi hiki
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 10 дней назад
Karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA. Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI. Unaweza pia kuagiza kitabu cha KILIMO CHA NYANYA KWA MTAJI MDOGO kwa WhatsApp 0757 757 968.
@RitaNyaki
@RitaNyaki 11 дней назад
Mtakalang'onyo inatumikaje kutibu kuku?
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 11 дней назад
Magome pamoja na majani husagwa pamoja kuanikwa kwenye kivuli na kisha kuchanganya kilo 1 kwenye kilo 10 za chakula . Unaweza pia kuchanganya kilo 1 kwenye Lita 5 za maji na kuloweka masaa 12 na kisha kuwapa . Dawa iliyochanganywa na maji isikae zaidi ya masaa 24. Unaweza kuagiza kitabu cha MAGONJWA SUGU YA KUKU NA TIBA ZAKE ZA ASILI kwa WhatsApp 0757 757 968. Utatumiwa kitabu hiki kwa WhatsApp na kuunganishwa kwenye group ya WhatsApp ya UFUGAJI BURE. Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI. Karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA
@RitaNyaki
@RitaNyaki 5 дней назад
Ahsante sana!
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 5 дней назад
@RitaNyaki karibu sana 🤝
@WamburaSamo-sx6ce
@WamburaSamo-sx6ce 11 дней назад
Naitwa wambura nipo rorya mkoa mara je? AJE mnahusika kupima maji naudongo
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 11 дней назад
Hello,tunaweza kukusaidia kufikiwa na wapi maji na udongo. WhatsApp 0757 757 968 . Tafadhali SUBSCRIBE,LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI
@FirdausSaid-s5z
@FirdausSaid-s5z 12 дней назад
Mi nipo mombasa kenya
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 12 дней назад
Chikichi inafanya vizuri Pwani. Pia soko la mafuta ya kula ni KUBWA sana. Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI.
@FirdausSaid-s5z
@FirdausSaid-s5z 12 дней назад
Kwahio kuna miche aina zengine naweza kulima sehemu hio km zipi ndugu
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 11 дней назад
@FirdausSaid-s5z Bila shaka,mbegu ya kisasa aina ya TENERA ni nzuri zaidi. Tafadhali WhatsApp 0757 757 968 kwa maelezo zaidi
@FirdausSaid-s5z
@FirdausSaid-s5z 12 дней назад
Nipo na acer 6 nataka kulima mchikichi but shamba langu lipo sehemu ya mkono wa bahari jee naweza kunyunyiza miche
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 12 дней назад
Shamba lako lipo mkono wa bahari? Tafadhali wasiliana nasi kwa WhatsApp:0757 757 968
@user-hs7my3it8p
@user-hs7my3it8p 12 дней назад
Alilima heka ngapi,akapata hizo gunia?
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 12 дней назад
Wa kwanza Joseph alilima ekari 35 akapata gunia 750 na Mr.Masunga alilima mbegu ya asili ekari 25 akavuna gunia 350 kwani sehemu ya shamba ilichukuliwa na mafuriko.
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 12 дней назад
Tafadhali SUBSCRIBE LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI. Unaweza pia kuagiza kitabu cha KILIMO CHA MPUNGA kwa WhatsApp 0757 757 968 AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA
@PaschalMagala
@PaschalMagala 13 дней назад
Namwizi kanakimbiza hako mkuu
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 12 дней назад
Huyu ni mkali na ni MWEPESI kujifunza. Tafadhali SUBSCRIBE LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI JUU YA UFUGAJI NA KILIMO.
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 13 дней назад
HAYA ni MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA KILIMO NA UFUGAJI TANZANIA!
@siasasiasa6238
@siasasiasa6238 14 дней назад
uyo sio bata mzinga ni kuku mzinga rudi shule
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 14 дней назад
🤔
@siasasiasa6238
@siasasiasa6238 14 дней назад
uyo sio bata mzinga ni kuku mzinga rudi shule
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 14 дней назад
🤔
@RashidPanya
@RashidPanya 14 дней назад
Instagram mnatumia jina gani au Facebook ushauli tu wekeni acount na uko samahani kwa usumbufu
@RashidPanya
@RashidPanya 14 дней назад
Michikichi kwa mwaka inazaa mala ngap na je ile mbegu ya kisasa inauzwa bei gani
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 14 дней назад
Kwa mwaka mzima kila shina inazalisha lita 40 za mafuta ya mawese. Msimu wa matunda mengi ni miezi ya mvua zinapoanza kunyesha. Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI. Tafadhali WhatsApp :0757 757 968 ili kujipatia KITABU CHA KILIMO CHA CHIKICHI
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 14 дней назад
Mbegu ya kisasa ni TZS 5,000 kwa oda.
@RashidPanya
@RashidPanya 14 дней назад
Je morogoro kiloka michikichi inaweza kustawi au
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 14 дней назад
Ndio chikichi inafanya vizuri sana maeneo ya Kilosa na Morogoro kwa ujumla japo ni muhimu sana tuweze kufika shambani kwako kwa ajili ya ushauri zaidi. Wasiliana nasi kwa WhatsApp na:0757 757 968
@LeticiaAloyce
@LeticiaAloyce 14 дней назад
Utampataje ata kifaranga
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 14 дней назад
Tunao vifaranga TZS 80,000 @ kifaranga wa miezi 2. WhatsApp:0757 757 968. Tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI.
@JanethNgaugula
@JanethNgaugula 14 дней назад
Asanteni kwa masomo
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 14 дней назад
Karibu na tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI. Unaweza pia kuagiza kitabu cha MAGONJWA SUGU YA KUKU NA TIBA ZAKE ZA ASILI kwa WhatsApp na kuunganishwa kwenye group ya WhatsApp ya UFUGAJI BURE. Wasiliana nasi kwa WhatsApp:0757 757 968
@marthageorge5043
@marthageorge5043 14 дней назад
Nitatafuta
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 14 дней назад
Karibu na tafadhali SUBSCRIBE, LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI.
@barakamutabazi2824
@barakamutabazi2824 14 дней назад
Ok sawa
@barakamutabazi2824
@barakamutabazi2824 14 дней назад
Kazi nzuri. m.youtube.com/@MutafarmTV
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 14 дней назад
Shukran sana. Tafadhali share, like na SUBSCRIBE ili kuendelea kujifunza zaidi.
@barakamutabazi2824
@barakamutabazi2824 14 дней назад
Kazi nzuri. m.youtube.com/@MutafarmTV
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 14 дней назад
Shukran sana.Tafadhali like, share na SUBSCRIBE ili kuendelea kujifunza zaidi.
@bahatiamoss5284
@bahatiamoss5284 15 дней назад
Kwidika-kwidika good work🫡💪🏿
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 15 дней назад
Best innovation center!
@zefamange7281
@zefamange7281 15 дней назад
Rabda ataua simba ya msimbaz
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 15 дней назад
Eeeh!
@godfreygodwine9148
@godfreygodwine9148 17 дней назад
Mbona hampokei simu!???
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 17 дней назад
Namba hii ni ya WhatsApp tu :0757 757 968. Tafadhali tutumie ujumbe kwa WhatsApp na utajibiwa mara moja.
@godfreygodwine9148
@godfreygodwine9148 17 дней назад
Tatizo hampokei simu
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 17 дней назад
Hello ,hiyo namba ni ya WhatsApp tu : 0757 757 968. Tafadhali tutumie ujumbe kwa WhatsApp na utajibiwa mara moja.
@user-ls2uj3fl1o
@user-ls2uj3fl1o 18 дней назад
Na mimj natamani kulima naomba tuwasiliane
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 18 дней назад
Ahsante na karibu. Tafadhali SUBSCRIBE LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI. Kwa Mawasiliano zaidi WhatsApp:0757 757 968 ili kupata muongozo kamili wa KILIMO CHA MPUNGA.
@user-ls2uj3fl1o
@user-ls2uj3fl1o 18 дней назад
Hongera naomba no yako
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 18 дней назад
Ahsante na karibu. Tafadhali SUBSCRIBE LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI. Kwa Mawasiliano zaidi WhatsApp:0757 757 968 ili kupata muongozo kamili wa KILIMO CHA MPUNGA.
@kagombaEnok
@kagombaEnok 18 дней назад
Hongera sana
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 18 дней назад
Ahsante na karibu. Tafadhali SUBSCRIBE LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI. Kwa Mawasiliano zaidi WhatsApp:0757 757 968 ili kupata muongozo kamili wa KILIMO CHA MPUNGA.
@MdudaIsmail
@MdudaIsmail 18 дней назад
10:31 kwa chaffcuter ni 2,000,000/= bei itabadilika kutegemea na ukubwa wa machine na mahitaji ya mteja. Kwa minpowertiller ina 1,500,000/= ikiwa mpya. Karibu sana. Tupo TX-kata ya shibula Manispaa ya ilemela jijini Mwanza
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 18 дней назад
Tafadhali waandikie pia namba za simu hapa ili kurahisisha mawasiliano.
@nsajimwasege68
@nsajimwasege68 18 дней назад
Namba za simu?
@hommyyeung1517
@hommyyeung1517 18 дней назад
Naomba mawasiliano yenu kaka
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 18 дней назад
Karibu AJE-FARMS MASHAMBA. Tafadhali SUBSCRIBE LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI. Unaweza kuwasiliana nasi kwa WhatsApp:0757 757 968 ili kujipatia KITABU CHA KILIMO CHA NYANYA KWA MTAJI MDOGO.Kitabu hiki utatumiwa kwa WhatsApp na kuunganishwa kwenye group ya WhatsApp ya KILIMO CHA NYANYA BURE.
@nsajimwasege68
@nsajimwasege68 18 дней назад
Inauzwaje?
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 18 дней назад
Bei huanzia TZS 1,500,000 ; utatengenewa mashine saizi yako. Tafadhali SUBSCRIBE LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI.
@AishaAisha-vf2ug
@AishaAisha-vf2ug 18 дней назад
Asante matumiz ya dawa za asili kwa miaka unazipa kuku mara ngap nakuzipa kuku ni kivip😊
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 18 дней назад
Karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA. TAFADHALI SUBSCRIBE LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI. Unaweza kuwasiliana nasi kwa WhatsApp 0757 757 968 ili kujipatia KITABU CHA MAGONJWA SUGU YA KUKU NA TIBA ZAKE ZA ASILI . Utatumiwa kitabu hiki kwa njia ya WhatsApp na kuunganishwa kwenye group ya WhatsApp ya UFUGAJI BURE.
@AishaAisha-vf2ug
@AishaAisha-vf2ug 18 дней назад
Asanten ninewaelewa kuku hawtotoi inavyotakiwa sawa
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 18 дней назад
Karibu AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA. TAFADHALI SUBSCRIBE LIKE NA SHARE VIDEO HII ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI
@godfreygodwine9148
@godfreygodwine9148 21 день назад
Napataje kuku huyo au mayai yake!? Mm niko Geita
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 21 день назад
Tunauza vifaranga kwa TZS 100,000 kwa kila mmoja na kwa wakubwa ni TZS 200,000 kwa kila mmoja . Tunaweza kukutumia Geita tokea Chato. Tafadhali WhatsApp:0757 757 968 AJE-FARMS MASHAMBA. Tafadhali SUBSCRIBE ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI.
@tumainiellyimo4657
@tumainiellyimo4657 21 день назад
Bei Gani na wanapatikana wapi?
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 21 день назад
Bei ni TZS 200,000 kwa kila mmoja. Tunatuma popote, wasiliana nasi kwa WhatsApp 0757 757 968 AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA. Tafadhali SUBSCRIBE ili kuendelea kujifunza zaidi.
@TumainiPeter-dg3yn
@TumainiPeter-dg3yn 23 дня назад
Wapi naweza pata
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 23 дня назад
Mwanza na Geita. Tafadhali tuwasiliane kwa WhatsApp 0757757968 . Hakikisha unaSUBSCRIBE na kubonyeza kengele ili kuendelea kujifunza zaidi.
@PESASungula
@PESASungula 23 дня назад
Kazi kazi tu
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 23 дня назад
Hakika 💪🏿
@stanleynombwe4865
@stanleynombwe4865 24 дня назад
Nusu hema inatakiwa ipandwe Miche mingapi na Ina tumia jumla ya mifuko mingapi ya mborea?
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 24 дня назад
Nusu ekari inapandwa miche 5000 na kiasi cha MBOLEA hutegemea hali ya shamba lako lina rutuba kiasi gani. Kwa ushauri zaidi WhatsApp 0757 757 968 ili kutumiwa muongozo wa KILIMO CHA NYANYA NA MAZAO YA BUSTANI. Hakikisha unaSUBSCRIBE na kubonyeza kengele ili kuendelea kujifunza zaidi.
@josephmuli4551
@josephmuli4551 27 дней назад
Unaunza pesa gapi kifaranga ,pesa ya kenya?
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 27 дней назад
KSh 7,300 @ kifaranga wa miezi 3. Tafadhali WhatsApp 0757 757 968 kwa maelezo zaidi. Usikose SUBSCRIBE ili kuendelea kujifunza zaidi.
@mwajumapezoo8106
@mwajumapezoo8106 27 дней назад
Muarobaini ukowakisasa nawakienyeji upiutumike pia Alovela ipoyakienyeji na kisasa itumike ipi
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 27 дней назад
Yote ni sawa,inaweza kutumika. SUBSCRIBE ILI KUENDELEA KUJIFUNZA ZAIDI. Unaweza kuagiza kitabu cha MAGONJWA SUGU YA KUKU NA TIBA ZAKE ZA ASILI kwa WhatsApp; ambacho utatumiwa kwa WhatsApp na kuunganishwa kwenye group ya WhatsApp BURE. Wasiliana nasi kwa WhatsApp:0757 757 968
@user-gt6te8js4b
@user-gt6te8js4b 29 дней назад
❤❤
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 29 дней назад
💗💗💗
@PESASungula
@PESASungula 29 дней назад
Safi sana
@aje-farmsmashambayanayotem7392
@aje-farmsmashambayanayotem7392 29 дней назад
💗🙏🏿💗