Тёмный
NDIZI MEDIA
NDIZI MEDIA
NDIZI MEDIA
Подписаться
NDIZI MEDIA | Entertainment | Celebrity News | Gossip

Welcome to my RU-vid channel! I am Mr Ndizi, a blogger and journalist specializing in entertainment news about celebrities and artists. I will bring you the latest news about your favorite entertainers that you love and follow. Through my unique videos, you will get exciting and informative entertainment news.

I am committed to working hard to bring my viewers the latest and highest quality entertainment news through my videos. Don't forget to subscribe to my channel so you won't miss any updates on entertainment news.

Thank you for visiting my RU-vid channel!
Комментарии
@umfahad2609
@umfahad2609 10 часов назад
Hicho ndio kinamfanya mm Diamond akatae wakwe. Anafikiri akioa Diamond. Yeye atakosa pesa za mwanawe.
@lucymtuka3199
@lucymtuka3199 13 часов назад
Wala wafipa hatuna shida wasikutishe
@JokhaJokhaabla
@JokhaJokhaabla 13 часов назад
Kwani wazanzibar tupoje
@qamaryasalim9531
@qamaryasalim9531 14 часов назад
Ya jana usiku
@joyhylton7901
@joyhylton7901 15 часов назад
❤❤❤❤❤❤❤ DZ
@SalmaSalma-rh1jr
@SalmaSalma-rh1jr 15 часов назад
Yajana iyo
@tatendamwari7890
@tatendamwari7890 15 часов назад
Zuchu anajidai sababu ni munzazibari
@JohnAdam-m7o
@JohnAdam-m7o 15 часов назад
Huyoo mwanao nawee niwakuoaa kwel?? Wote wenyee amekuaa nao mbona hajaoaa kitakuaa saii apatee mcha mungu aoee😂😂😂basi huyo mcha mungu atakuaa kachanganyikiwaa bas aolewee na mwanao 😂😂😂😂😂 MCHAA MUNGU!!! weee huogopiii😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
@neemamwachepha213
@neemamwachepha213 14 часов назад
Hahaha 😂😂😂😂
@StephanoCharles-d3v
@StephanoCharles-d3v 17 часов назад
Happy birthday mond
@BenadethaAlphonce-d7o
@BenadethaAlphonce-d7o 18 часов назад
Wanapendeza
@uaeuae1871
@uaeuae1871 19 часов назад
😂😂
@VenessaAdhiambo
@VenessaAdhiambo 19 часов назад
Paulah 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 21 час назад
Wewe ni muongo mtangazaji 😂😂 hakuna hiyo interview 😂😂
@merinakassembe118
@merinakassembe118 21 час назад
Kamiingiza frermasson
@ElinahChama
@ElinahChama 22 часа назад
Happy birthday baby boy mungu akupe maisha marefu na yenye mafanikio tele lnshaallah
@Josephhalunkotta
@Josephhalunkotta 22 часа назад
Mbn mnatupiga jaman
@kissmanbashimeofficial
@kissmanbashimeofficial День назад
Ata sisi mashabiki tume muchoka arudi kwabo
@tatendamwari7890
@tatendamwari7890 15 часов назад
Tanasha Donna. Mama Tom Kaka
@kissmanbashimeofficial
@kissmanbashimeofficial День назад
Ata sisi mashabiki tume muchoka arudi kwabo
@zariadunia6328
@zariadunia6328 День назад
Kiufupi zuchu alijiharibia pale alipovunja vitu vya ndani vya Diamond baada ya kusikia yale mambo kiukweli pale alijiharibia sana sasalzima hata ingekuwa wewe zuchu alitenda kosa kubwa na ndio maana yakujifanya kumdhibiti mwanaume si hivyo tu zuchu hata kwenye majukwaa hutoa kauli na mpaka matusi kuonyesha udhibiti wa mwanaume amepagawa kama vile keshaolewa hivi nyinyi mnajua kwa nini mama dangote alihamia kwa mond kutoka madale?chukua chuma hicho kwa mmanyema haikubalikagi ujifanye kumtawala mwanaume wa kigoma hapana labda mtoto wako wa kike akamdhibiti mume sio vice versa tatizo la zuchu anajiamini sana kwa mond sijui ni utoto au mond anamdanganya anajiona anapendwa sana ila hilo la uchamungu kama mond atataka zuhura awe mchamingu na ni pamoja na kuacha mziki hiwezi kuwa mcha munggu halafu mwanamziki unatembe uchi kwanza unasemaje mtoto wa kiislamu halafu unamuoa mwanamziki kutwa anahubiri matusi anakaauchi anakumbatiwa stejini na wanaume wasiowake eti mke huyo hapana mke hujihifadhi hakai uchi hadharani kiufupi huyu mama D hamtaki zuhura na ndio mana bado anatoa vigezo
@zariadunia6328
@zariadunia6328 День назад
kama vigezo bado vinatolewa hapo zuchu
@zariadunia6328
@zariadunia6328 День назад
Kinachowasumbua hii familia ni udhibiti wa mali ya diamond huyo mama na mwanae Esma hawataki mali ya mond idhibitiwe na mke wa diamond
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 День назад
Mama,mali ya Dunia utawacha humu duniani, .
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 День назад
Yeye mwenyewe ana mcha Mungu, mbona hakushikilia tanasha, Zari, mnafik huyo mama
@farahali6041
@farahali6041 21 час назад
Mvumilivu ugoja yake subiri yakwako
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn День назад
Kwanza Mimi namshangaa huyu mama kwa nn amchagulie mtoto wake taipu ya mke wa kuoa? Ndiyo diamond hadumu na wanawake kumbe yeye ni chanzo
@estherwanja5207
@estherwanja5207 День назад
Mama mwenyewe ajielewi.ata esma si unaona anavyo olewa kila mara
@SAUDAHNAMULINDWA-dy8te
@SAUDAHNAMULINDWA-dy8te День назад
Mama are you making the environment conducive??
@Thee_Nancy
@Thee_Nancy День назад
Huyu mama anapenda sana tanasha
@AzaMurekatete
@AzaMurekatete День назад
vyote zuu anavyo
@BoyG-lil
@BoyG-lil День назад
Appy birthday lion
@Anandezi
@Anandezi День назад
Mama dangote nimependa ushauri wako, kwa mkwe akiolewa kwenu, aipende familia sio kuigawanya
@alisaidahamed8065
@alisaidahamed8065 День назад
Comment ça va Happi bonne anniversaire 🎂🩸🩸💝 papa tee Daimond plantumz Dangonte 🎉🎉🎉💐💐🍾🍾🍾🍾🍾👋👋👋👋👋35 happi 🇫🇷🇫🇷🇫🇷🎂🦁🍰🥂🍾🍷🍷🍷
@AishaLukuba
@AishaLukuba День назад
Daaa. Mutihani. Mm. Sijamini. Kama. Nasibu. Kafanya.uchafu.huo
@Fatma-rj7vs
@Fatma-rj7vs День назад
Happy birthday baba tifaaa nanilan
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e День назад
Uyo mwanao hanauchamungu gan anava misaraba na kutoboa pua na masikio na p Diddy kashamzagamua we mma hunamoyo mchafu sana kila mwanamke hafai..kweri kumueshimu mma mkwe ni muimu lkn umezid kuchagua mwisho ataowa jini
@annasolomon9855
@annasolomon9855 23 часа назад
😂😂😂😂
@KHADIJATSUMA-li5tx
@KHADIJATSUMA-li5tx 18 часов назад
P.didy😂😂😂😂😂 umepigaje apo😂😂😂
@neemamwachepha213
@neemamwachepha213 13 часов назад
Hahaha 😂😂😂😂
@nzitanasserhamidah8359
@nzitanasserhamidah8359 День назад
Mond mkee wa p diddy
@Lizawansima
@Lizawansima День назад
Mama nawewe upende zuchu uyo juma lokole iko nakule teya ubwea juyazuchu ila zuchu nimuke mwema muikale musi kilizane uyo ndiyo ana vumilia mutoto wako
@AishaNgoyi-vi2ku
@AishaNgoyi-vi2ku 19 часов назад
Mke mwema kwako taka kama zuchu ww
@EvalineMkanza
@EvalineMkanza День назад
MUNGU AKUTUNZE MWANANGU UISHI MAISHA MAREFU NA BORA
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 День назад
Wenye vidomo domo mshaanza! Waacheni na maisha yao jamani! Hamchoki!!???
@ummySheikh72
@ummySheikh72 День назад
Huyu zuchu anajijuwa nafasi yake, lazima ajifanye rafiki! Ipo siku atajuwa kuwa yeye ni mfanyakazi wa Diamond. Mwache asubiri meli Airport.😅
@estherwanja5207
@estherwanja5207 День назад
Sasa hiyo itaaffect aje maisha yako?guok
@DaniceSilver
@DaniceSilver День назад
Nikweri anachokisema mama dangote
@sameraakhf5605
@sameraakhf5605 День назад
Na akaowe uyo mcha mungu mzee yupi mjinga ampe mwanawe diamond atapata uyo uyo mwimbaji mwenzake
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 День назад
Koma....ulitaka akuoe wewe😂😂
@annasolomon9855
@annasolomon9855 23 часа назад
​@mambospamoja na Hela zake simpi mtoto Daimond 😅😅😅hepea8888
@manirambonahawa3798
@manirambonahawa3798 День назад
Nikweĺi unasema ukweli mama mondi
@JescarMiraji
@JescarMiraji День назад
Mh maneno ya watu hamtoyamaliza jamn hat angemuoa zuch wangeongea san
@JescarMiraji
@JescarMiraji День назад
Mam dagote yupo sahihi kwa kweli nimempenda bureee san mungu amupe mke mwema jmn mm jesca kutok mbagar
@JamilahJaffar-sf6og
@JamilahJaffar-sf6og День назад
Happy birthday diamond
@isakhamisi8923
@isakhamisi8923 День назад
Huyo zuchu ndiye anaemfaa kwa sababu wote wanatoka katika familia za kishetani
@Lizawansima
@Lizawansima День назад
Wewe una toka katika famillia yawa chawi😅
@MakaNkoka
@MakaNkoka День назад
😂😂😂😂🙌🙌
@Namtumbo
@Namtumbo День назад
😊😮😮😮😮 kabisa ya wanga​@@Lizawansima
@farahali6041
@farahali6041 21 час назад
😂😂😂😂 salala
@uaeuae1871
@uaeuae1871 19 часов назад
😂😂
@JenniferNasimiyu-d3c
@JenniferNasimiyu-d3c День назад
Kwani mbona amemruka sasa lazima kuna shida mahali kwaza mod si mcha mungu zuchu ako sawa sana
@agbordorothy4901
@agbordorothy4901 День назад
He can not leave her.Even on his birthday?Come on wish them good
@AishaNgoyi-vi2ku
@AishaNgoyi-vi2ku 19 часов назад
Kwenda
@isakhamisi8923
@isakhamisi8923 День назад
Acheni usanii mngemuuliza huyo mama yeye na mwanawe ni wacha mungu
@neemamwachepha213
@neemamwachepha213 14 часов назад
Hahaha 😂😂😂😂
@MARIEKoleta
@MARIEKoleta День назад
With❤