R.I.P wapendwa wetu, pole Kwa ndug, rafiki na Taifa so ๐ญ๐ญ, wenye majeraha Mungu awape wepesi wapone haraka. Eeh Yesu tunaomba Rehema na Toba juu ya ardhi yetu Tz
Waongo nyie kwaiyo Tanzanite inazidi mallessa's au about ana bus za young ni sawa na bus za shabiby et about kwenye kumi hayumo mallessa bas zake kali kuliko asante rabi nyie waongo
Jamaa anaongea vizuri kuhusu jamaa wenye haraka zao hao sjui trafiki huwa hawawaoni maana hata ukijichanganya katkati Yao spidi sawa wewe wa gari tofauti ndio uneoverspeed basi ziko sawa . Ukiwa nyuma ya basi wee ndio unachomolewa ukaguliwe. Hawa wanaovertake Hadi kwenye njia ya mizani.bado kdg wataovertake ndani ya mizani
Ataokoaje baada ya wajiokoe wenyewe wapo kwenye Gali tu badala washuke mbaka ilipuke ndio wajue na waisome Namba huo ndio muda wakushuka watu watoke nje