Mussa Chinduli known widely by the brand name Navigator Chinduli is a Tanzanian RU-vidr. With a degree of arts with education history and Kiswahili from Muslim university of Morogoro. Chinduli has over the years experience in vlog and entertainment content concern university students life in social media. His intention is to digest all city and universities in the world and to make you happy and full of knowledge plus energy to do. Kindly reward me by subscribing to my channel.
Kumependeza sana ila bado serikali inatakiwa kukarabati majengo ya zamani na kupaka rangi na kuweka aluminium na hizo nguzo za umeme pia zinaharibu muonekano wa mji
Alafu mijitu mingine inaboa, sasa hapo kwenye watembelea miguu alafu wewe na akili zako finyu unaamua kuliegesha gari lako katikati hujui unahatarisha maisha ya watu!! Yaani mimi ningekuwa polisi Dar mbona watu wangeshika adabu haraka sanaaaa!!!
@@malengaWetuTv2699 Ndio! Plus E limu inatakiwa, lazima trafiki polisi waanzishe campaign ya kuhamasisha na kuelimisha watu kuhusu matumizi halali na salama ya Barabara zetu
Hii barabara si two way lane? Or single way lane? Yaani gari ya kwenda na kurudi inapita humo humo, hawa madereva hawaheshimu barabara kabisa, kwenye kona ni honi tuu, halafu anakunja, hatari sana hii