Тёмный
Mzawa Media
Mzawa Media
Mzawa Media
Подписаться
WhatsApp tu👉+255625641228
CHADEMA WAMEWAPATA WATEKAJI WAWATAJA
9:27
4 часа назад
SNAKE BOY |ep36 | SEASON TWO
19:09
16 часов назад
SNAKE BOY |Ep 34| SEASON TWO
18:03
14 дней назад
SNAKE BOY |EP 33| SEASON TWO
22:42
21 день назад
NAGOMBEA URAIS SIKUOGOPI SAMIA
11:02
21 день назад
SNAKE BOY | EP 33 |
20:23
28 дней назад
WRONG HOUSE |EP15|
20:39
28 дней назад
Комментарии
@michaelelifasi995
@michaelelifasi995 13 минут назад
Soluhisho ni moja TU kila mwananchi ajitahidi kuwa mlinzi wa mwenzako na akitokea askari au kiongozi Au mahakama inatakiwa kukamata mtu lazima tujiridhishe na tutoe escort Hadi anapopelekwa mtuhumiwa ,wakikaidi ni Bora wapigwe TU bila kujali ni askari au kiongozi
@HalimaRamadhani-w8l
@HalimaRamadhani-w8l 18 минут назад
Poa mwamba sema tunakukubali Roma mkatoriki
@liutapro
@liutapro 27 минут назад
Mbona huzitaji namba kamili?
@PauloMateo-y5h
@PauloMateo-y5h 7 часов назад
inatafuta kiki
@rashidkihunga2938
@rashidkihunga2938 8 часов назад
rais wa kitaa hajatekwa pumbavu mtangazaji
@fauzseif7344
@fauzseif7344 8 часов назад
Acha unafiki
@abdallaabdalla4416
@abdallaabdalla4416 9 часов назад
Sasa KWA mujibu WA taarifa ZENU MBONA HAMUONI KUWA NI RAHISI KUWATEGA NA KUWANASA HAO WATEKAJI MBONA NI RAHISI MUNAWASILIANA NAO KWA NAMBA ZAO MUNAWAKOSAJE KUWATIA MTEGONI ATI HAMNÀ UJASUSI HUO BASI TAASISI YENU NI WAJINGA WATUPU WALA SI WAJINGA MUNAJIFANYA TU MBONA MULIMTEKA MFANYABIASHARA FULANI NA FULANI MIAKA FULANI ENYIE NYI
@songeza
@songeza 15 часов назад
Hivi kwani ni lazima mhangaikie uongo wenu wa uchaguzi mnaogopa nn hasa ebu wacheni askari wafanye kazi yao huko nje mnakokimbilia mnaenda kuomba msaada wa bunduki acha hizo fanyeni wala hamtawawezq nyie mna wenge wenge miye ni chadema ila tumezidi midomo yenu mikavu kwa lipi akutake wewe hata sura yenyewe haina mvuto mtika hapa chadema acheni umbea wa goli la mko o
@user-xt1dr8wn2j
@user-xt1dr8wn2j 18 часов назад
Wimbo haujavunja maadili ila kasema kweli kabisaa
@ZawadiSaid-x6f
@ZawadiSaid-x6f 20 часов назад
We mwandishi kuuawa watu ni bahati mbaya mbona skuelewi
@RegnardiCharesi
@RegnardiCharesi 23 часа назад
Mbona kasema ukweri
@FrancisMwakalambile
@FrancisMwakalambile День назад
Acha aseme
@AnossyMbonekela-sb6ol
@AnossyMbonekela-sb6ol День назад
It's said that no body can negotiate with terolit
@JamesSitta-b9s
@JamesSitta-b9s День назад
Nakukubal sana bro
@LongidaMahetye
@LongidaMahetye День назад
😢😢🎉🎉
@emmanuelmasinde1856
@emmanuelmasinde1856 День назад
Hangers mbp
@nadhifahassan3791
@nadhifahassan3791 2 дня назад
☹️🙁😞🤧
@safiaothman5175
@safiaothman5175 2 дня назад
Mzee kibao c kibano
@RogerJohn-rt7xw
@RogerJohn-rt7xw 2 дня назад
Mna uhakika na hayo magari???
@user-go6gt8cg6v
@user-go6gt8cg6v 2 дня назад
Ssfi sana
@VODECTANZANIATOURS
@VODECTANZANIATOURS 2 дня назад
Haya matukio sio bahati mbaya.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 дня назад
Anaongea ni mtu wa ajabu watu kupotea na kuteka watu kuuwa wewe unasema ni kitu kidogo tu. Wewe kama ni mwaandishi acha uchawa kwa maisha ya watu.
@EstherJerald-tc6ct
@EstherJerald-tc6ct 2 дня назад
Daaaa Mungu awawezeshe kwakweli kuwapata hawa watu wabaya
@JuliasBabu-rg2st
@JuliasBabu-rg2st 2 дня назад
tushirikiane kukemea na kulaani utekaji na mauwaji tanzania.
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 2 дня назад
Alamaza nyakati.
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 3 дня назад
Mama uko sahihi. Wanakuharibia tu hao. Mungu abariki maneno ya kinywa chako.
@allymohamed2724
@allymohamed2724 3 дня назад
LENGO KUU KUVURUGA UPELELEZI. HAKUNA JINGINE
@batwelimahenge7850
@batwelimahenge7850 3 дня назад
Pamoja sana dada ✔️
@YohanaMboma-vz3sl
@YohanaMboma-vz3sl 4 дня назад
Kichwa cha habari nayanayosemwa tofauti.umesoma mpaka darasa la ngapi wewe!!!!
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 4 дня назад
Acha upuuzi mtangazaji..
@ashurafundi2873
@ashurafundi2873 4 дня назад
Sasa kwani kuna ulazima gani wa kuchepuka
@CastrbBizzo
@CastrbBizzo 6 дней назад
We nae mchambuzi mpuuzi umesema utaachia kipande ulicho record ambavo umeongea na roma aya kikwapo ukasema utaiachia kipande cha wimbo wake aya kikwapi
@omarkapula588
@omarkapula588 6 дней назад
Mwenyewe
@HamisiHamisi-w2q
@HamisiHamisi-w2q 6 дней назад
kwahapo Roma hajakosea nikwr haupo mtu ambaye alizaliwa nauviogozi Mbarali nakumuchagua ss wanaichi kwahilo mtu yeyote anaweza akaogoza kwahilo hata wao viongozi inatakiwa watumie heshima kama tuvo tumia heshima wanaichi kuwapa umonita au uwachagua
@ReubenGhambi
@ReubenGhambi 7 дней назад
Hilo mh Mpango umesema kweli, watu wanapigwa sana, michango mingi waumini hawanufaiki kabisa,
@RamadhanSeleman-he3ss
@RamadhanSeleman-he3ss 7 дней назад
We mgosi wenibaraà sana nakubari mkuuu
@RamadhanSeleman-he3ss
@RamadhanSeleman-he3ss 7 дней назад
We mgosi wenibaraà sana nakubari mkuuu
@musamhaya5319
@musamhaya5319 8 дней назад
Mpina tunakupa urais 2025
@donaldfarrah
@donaldfarrah 8 дней назад
Arusha uizi ulizidi has maeneo ya Arusha tunahitaji Arusha owe zaidi kigali
@MlemaJacobo-v4b
@MlemaJacobo-v4b 8 дней назад
UyumamaAnachochiogeankweliAoamelana
@OttoChiduo
@OttoChiduo 8 дней назад
Unakufuru
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 8 дней назад
Kwa sababu ndiyo lugha yao wakati wa kuandaa wizi wa kura kwa sababu mwaka mwaka wanafanya waneisha ona ni lugha ya kawaida kwani wanaisema nyakati zote na mahali wanapokutana kuhamashishana wanajikuta wanajisemea. Hata alikuwa anawambia waliokuwa wamegombea yale yalikuwa yamefanyika ni kweli wasijidhanie wao wana cho chote zaidi ya wengine. Ni kweli kabisa ila luhga imeongelewa siyo mahali pake. Je wafanya kazi wa afya wakiwa na syndicate kama hizo mtaishi?
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 8 дней назад
Na yule wa Bukoba aliyesema wakipotezwa polisi wasiwatafute?, Na yule chinja chinja mbona hamjawachukulia hatuwa mnajidinganya kweli kweli.
@PetroPhilemonmimbi-y5m
@PetroPhilemonmimbi-y5m 8 дней назад
Kwahiyo vijana wote wanaokazana kusoma bc mwisho wao warudi kufuga na kulima, huku na kwenye kilimo enyewe au ngoja 🤔🤐 ila 🕛 ndio msema kweli
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 9 дней назад
Tutawatoa vibaya sana hatuwataki hata kuwaona vijana wetu wanatekwa hasa ninyi maspeaker mnaona kama jambo lisilo la maana. Mnasema hamjapata habari. Wanainchi mwatupie michanga wakija. Nawewe zungu usipo iba hatukupi ng'o!
@ReginaKapwani
@ReginaKapwani 9 дней назад
😅😅
@abdallahmsham-eb7jz
@abdallahmsham-eb7jz 9 дней назад
duuuu hahahaha maana ndiyo ccm haishindwi kaziyake kushinda tuuu miya juu ya miya duuuu
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza 9 дней назад
Bungeni na mambo ya Simba wapi na wapi?
@Gbahati
@Gbahati 9 дней назад
😂
@denismalembeka1871
@denismalembeka1871 9 дней назад
Acha longo longo we bwenga
@paulongigwa2124
@paulongigwa2124 9 дней назад
Mtangazaji boya wewe unaongea sana kuliko kuleta habari yenyewe, huna lolote