Naitwa Japhet Magoti ni mtumishi wa Mungu ambaye nahubiri na kufundisha neno la Mungu kuhusu habari za Yesu mwenye wokovu. Kupitia somo hili utajifunza mambo mengi na ili uweze kumjua Mungu aliyekuumba na kumuishia yeye. Somo hili likakubariki, likakujenge na kukutia moyo katika kila hatua ya maisha unayoipitia.
I'm really happy and blessed kwa hii week yote,asante kwa fundisho nzuri jinsi tutafungiliwa kwamba za kuturudisha nyuma kimaisha mungu akubariki na karibu tena narok next time
It's true Jesus came for all types of sinners never despise any body for nobody is tall enough to see what tomorrow holds for him,very strong encouraging message indeed