Official RU-vid Channel For Linah | Tanzanian Artist.
Estelina Peter Sanga aka Linah is a Tanzanian award winning singer and performer with few hits in her catalogue including No Stress, Ole Themba, Hello ft. Christian Bella and Kizaizai ft. Diamond Platnumz.
Winner of Best Female Singer and Best Upcoming Artist at the 2011 Kili Music Awards, Linah was also nominated at KTMA for Best Female Singer in 2012, 2013, 2014 and 2015. Also in 2015 Linah was nominated as Best Female Artiste East Africa and Best African Contemporary Artist at All African Music Awards (AFRIMA), held in Lagos, Nigeria in November.
Kuna mwanamke mmoja hivi mwanza ninaapa nilimuumiza kimapenzi kwa kutembea na rafiki yake aliyekuwa mzuri kuliko yeye na nikamuoa siku tumetoka na wife restaurant moja hivi kuna karaoke alipotuona akaanza kuimba hii nyimbo akilia sana huku akituangalia na hakuwhi kunikosea ndani ya miaka minne ya uchumba
Ila wanangu kwa tuliosoma dini amini kwamba utulivu wa moyo utaupa kwa alllah pekee huwezi pata popote 😊 amini kwamba wanadamu wote wanatufata hichi kitu. ....... ...... .. ...... ......😅
Sasa dada LINAH naomba tuwasiliane ninajambo zuri LA KUONGEA NAWE HATA KWA SIMU TU INAWEZEKANA ILA KAMA HUTAJALI PIA NINAWEZA KUKUALIKA kwenye kituo cha MAOMBEZI SIKU YA JUMAPILI ASUBUHI MIKOCHENI"B" .AU JUMAMOSI ASUBUHI MIKOCHENI "B" Naomba ushirikiano kwa nia njema . BARIKIWA NA YESU