Тёмный
MADODI MEDIA
MADODI MEDIA
MADODI MEDIA
Подписаться
Home of Sport's, Entertainment and lifestyle
Комментарии
@husseinidd5751
@husseinidd5751 24 дня назад
Ambangile ndio mchambuzi anaongea Mpira,hana uchawa uchawa.
@CanalShayo
@CanalShayo Месяц назад
Pamoja.sana
@menaurukivuyo6796
@menaurukivuyo6796 Месяц назад
❤❤❤❤❤❤ love you Awesu Awesu Karibu sana tunakaumia uko vizuri Zaidi chama na pacome
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Месяц назад
UONGOZIWA SIMBA MLISHINDWA WAPIKWA DIAKITE?MNAHUSISHA WACHEZAJI KISHA MNAACHA WANACHUKULIWA NA TIMU NYINGINE.. NDYMAANA MNAFELI. MCHUKUENI MAYELE SASA HV
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul Месяц назад
Hans leo nimekupenda
@Veni584
@Veni584 Месяц назад
Mzee unachekesha, unataka watu 100 wote waende kwa mkutano, basi ukumbi utakuwa ni uwanja wa mkapa
@Anord-mk1xu
@Anord-mk1xu Месяц назад
we mshamba kweli kama umetumwa kafie mbele uko toka apa kwan sisi siyo wana chama kawambie walio kutuma kua umeshindwa
@deodatusmatwegula5364
@deodatusmatwegula5364 Месяц назад
Kama kweli ni mtetezi wa haki za wanachama mbona hatetei haki za wanachama wa mikoani? Au leja inasoma wanachama wa Dar es Salaam peke yao? Hebu hao wazee wapeni Under 20 waihudumie tuone. Yanga ilipita katika kipindi kigumu cha kutembeza bakuli walijificha. Leo Yanga iko vizuri wanaanza kuleta shida. Serikali hawa wanasababisha uvunjifu wa amani. Kwa nini wangojee kipindi hiki cha kuelekea Nchi kufanya Uchaguzi? Kwanini kila mgogoro wa Yanga huyu Magoma lazima awemo?
@issaissa1361
@issaissa1361 Месяц назад
Ili zee limetumwa sio Bure kwenye maelezo anajichanganya acha njaa Mzee katafute kazi
@BhutemiMapalala
@BhutemiMapalala Месяц назад
Jaami hao wazee wanatakiwa kurawitiwa ili hakri zao ziwakae sawa
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Месяц назад
Usiseme hivyo
@habibukassam9702
@habibukassam9702 Месяц назад
Huyo mzee afukuzwe yanga na akibaki yanga tutaiomba serekari maandamano ya kenya yatahamia yanga njaa zake apeleke kwa mashoga wenzie
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 Месяц назад
Mzee kaza hapo sawa utopolo chali
@erastomsigwa7713
@erastomsigwa7713 Месяц назад
Ningekua jirani na huyo bwege angenitambua,,pumbavu kabisa
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 Месяц назад
Rwanda? Wakamchukue moroco
@user-ro8ff3jj3q
@user-ro8ff3jj3q Месяц назад
Ahmed ebu tuambie hiyo board ya Simba ni ipi, maana ilivunjwa na hakuna uchaguzi umefanywa Acheni uhuni wenu
@NasraOmary-r5e
@NasraOmary-r5e Месяц назад
💚💛💚💛
@Mchwatv
@Mchwatv Месяц назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-hGVPMjBSWkk.htmlsi=KxZ9_VK5ttX8oLLy
@SuzyJohn-rd8vz
@SuzyJohn-rd8vz Месяц назад
Maneno yamsemaj matam ila kufunga magoli aaaa
@MohdAli-fl2ef
@MohdAli-fl2ef Месяц назад
Subiri tuone msimu ujao tusimalize maneno
@lucianaligambasi
@lucianaligambasi Месяц назад
Haendi kokote
@begumisachristopher4697
@begumisachristopher4697 Месяц назад
Hivi Aziz K ni zaidi ya Yanga?
@jamallnyello5743
@jamallnyello5743 Месяц назад
Nyie wachambuzi nae mchongotu, semeni ukweli Aziz K akiondoka yanga jueni usajili wote yanga alofanya dube, sijui chama, sijui nani, ujue hauna faida yoyote, na hatutafija mahali popote
@HassibuMvungi
@HassibuMvungi Месяц назад
Semaji badili tarehe ya simba day iwe tar 6 ili tuone watabadili tena nao
@maliadii4829
@maliadii4829 Месяц назад
Kijana alitamka hakuna pesa inayoweza ikamuondoa yanga kwa muda huu anaipenda timu na boss kupita maelezo au mnajizima data? Asingeahidi kwetu ss wanainchi kuwa bado hajamaliza kazi aliyomuahidi boss wake miaka 2 ilopita au bado mnajizima data? Kijana ni mtu wa kuwa na KAULI THABIT na dio vinginevyo sisi waswahili tulisemaga PESA KARATASI HASARA ROHO au na hilo mmelisahau kijana yupo sana JANGWANI Na msimu huu wote maji mtaita MMMA
@teddysanga1840
@teddysanga1840 Месяц назад
azam azam hoyeeewww
@Godlovemmanuel
@Godlovemmanuel Месяц назад
Madodimedia
@mbagochallange3882
@mbagochallange3882 Месяц назад
Yupo sana
@RamadhanTsaid
@RamadhanTsaid Месяц назад
Simba sc nguvu moyaaaa
@ellsonmkonyi1319
@ellsonmkonyi1319 Месяц назад
Ifike mahali kuwa msemaje wa club labda uwe na elimu fulani,maaana tunapokwenda matusi yamepungua na ngumi 😂😂 bugati
@ellsonmkonyi1319
@ellsonmkonyi1319 Месяц назад
Ally kamwe ( udsm)
@AshuraMnubi-qe4vy
@AshuraMnubi-qe4vy Месяц назад
Nampenda Veronica anasimulia vizuri simulizi
@eliashagai7920
@eliashagai7920 Месяц назад
Mjinga wewe, umbea wann mwanaume
@sakinayahya78
@sakinayahya78 Месяц назад
Acheni umbea
@user-vb8ki3jo9t
@user-vb8ki3jo9t Месяц назад
Haya kamanda wa vita
@EmanuelGodfrey-yt7yn
@EmanuelGodfrey-yt7yn Месяц назад
Huyo ally kamwe hana akili kwenye ligi zipo timu 16 yeye anaizungumzia simba tuu
@SaidiMngoko
@SaidiMngoko Месяц назад
Asante kwa usajili huu! Naomba umoja wenu sasa.
@ManyanguSostenes
@ManyanguSostenes Месяц назад
Debra mbona mnaona wivu
@user-hu4el2rx2u
@user-hu4el2rx2u Месяц назад
Hutoe na jezi kubwa sio vidogo vidogo sisi wanene tunakosa
@kanuthmsigwa4987
@kanuthmsigwa4987 Месяц назад
Tisha sana
@lukiaanatory4598
@lukiaanatory4598 Месяц назад
Semaji naomba niulize ivi alikamwe anahali gani huko maana hata asikiki amekalia mabago ya wastafu yalio bakia kwenye timu yangu pendwa
@florentinigawday1094
@florentinigawday1094 Месяц назад
I like my team simbaaaaaa
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v Месяц назад
TUMESHAWAINGIZA CHAKA MAKOLO,TUMEWAMBIA TUNAENDA URUSI TUMEBAC AVIC TOWN SIMBA WAMEENDA KULEKULE
@rubenmaclini
@rubenmaclini Месяц назад
😂😂
@rubenmaclini
@rubenmaclini Месяц назад
Watu watakimbia uwanjan
@SenoNorbertKiemena
@SenoNorbertKiemena Месяц назад
Acheni uchambuzi uchwara nyie mbwa
@IsayaHamisi-eq5ku
@IsayaHamisi-eq5ku Месяц назад
Kwa Simba hii hatari
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l Месяц назад
tunamuombea majini yasi mkumbe
@HassibuMvungi
@HassibuMvungi Месяц назад
Alooo wewe
@HassibuMvungi
@HassibuMvungi Месяц назад
Tuacheni na simba yetu hata akiitwa Debora mbona Joic yupo naana muda mrefu Tz
@user-qo2nf6vm7k
@user-qo2nf6vm7k Месяц назад
Deborah 😅😅😅😅
@BarackaGiliku
@BarackaGiliku Месяц назад
upande wa pili roho juu