kwa mkataba uliotiwa saini na Babako Shamte pamoja ya Jomo Kenyatta, watu wa Mombasa tumeingia katika mashaka,maafa na mateso makubwa nchi ya Kenya inayotufanyia hadi leo....Ardhi zote wamezinyakua, uchumi upo mikononi mwa wasiokua sisi na kadhalika.....Laana-tu-Allah !
Kama washirazi waliweza kufika pemba, ilishindikane wapemba kufika oman kukutana na mfalme??? Acha uongo weweee, historia ya kupanga yenye kutaka kuchonganisha wapemba na maalim seif Hv huyu maalum seif alikufanya nini wewe hasa!!!???
Sema kweli,hukufaulu mtihani wa kuingia sekondari.Kuhusu shule za serikali,pia ni uongo kwamba huanzi mpaka utimie miaka 12..Kwa taarifa yako,hio dini pia ikisomeshwa shule za msingi.
Donde esta rl Principe Harry y nos vemos para emviarme su foro soy Sara Avellaneda,y despues ablamos x mi telegono y no otra ,aunque aya gente ,mañana es Año nueviro y Feliz Navidad ya fue y mañana es Sño nuevito y un beso grsnde a mi her.oso Principe y node Zmegan que ya se fir,