Тёмный
DW Kiswahili
DW Kiswahili
DW Kiswahili
Подписаться
Deutsche Welle ni Shirika la Kimataifa la Utangazaji la Ujerumani, linaloandaa vipindi vya Televisheni, Radio na Mtandao wa Intaneti kwa ajili yako katika lugha 30 - popote ulipo ulimwenguni.

Tafadhali tusaidie kuyafanya majadiliano katika kituo hiki kuwa safi na ya kukubalika na jiepushe kutumia lugha ya kibaguzi au uchafu pamoja na matusi ya kibinafsi.

Kwa taarifa zaidi tafadhali bonyeza link ya "DW Netiquette" hapo chini.

www.dw.com/en/dws-netiquette-policy/a-5300954
Mfahamu mlimbwende wa Vyuo Vikuu Tanzania
4:41
16 часов назад
Kamala Harris: Uhusiano na Afrika
2:35
День назад
Комментарии
@ezekielezekiely8476
@ezekielezekiely8476 2 часа назад
Moodh,uko vema.lakini,ukweli useme.urusi,ni mchokozi.ndo ieleweke.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 часа назад
Putin ni mvamizi na hii haikubaliki.Ukraine ina HAKI.
@cytkl
@cytkl 4 часа назад
Stop begging. Seperate from them enemies
@pastorzakariatv1786
@pastorzakariatv1786 6 часов назад
Mpaka mtoto azaliwe islael watazaa na nyie
@AbdallahBakar-oc3ue
@AbdallahBakar-oc3ue 8 часов назад
Shida ni marekani mpenda vita duniani
@kulwajilala9635
@kulwajilala9635 11 часов назад
Niko skonge TBR bbc nawapata vizuri sana hongera sana urusi na ukrene kaeni chini vita mzimalize maana wana raiya ndiyo wanaoumia zaidi
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 9 часов назад
Hii sio BBC we kinyambe
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 8 часов назад
​@@Hussein-gx4qu Dw Ujerumani
@SayiOfficial
@SayiOfficial 12 часов назад
Wamarekan nawatakia uchaguz mwema
@DAVIDKISWAGA
@DAVIDKISWAGA 12 часов назад
Dw mbona matukio ya lamadi simiyu hamyaongelei wala
@AziziMasokola
@AziziMasokola 23 часа назад
Ya tatu ipi hiyo. Mbn kunaùtata
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz День назад
Et coling ametoro alouwa wt, Ruto,n balaaa ucpime
@eliasnicolaurobath6864
@eliasnicolaurobath6864 День назад
Ukweri tanzania hivi nyinyi ni wakina nani msie na uchungu na laia wenu? Hivi ninavyo sikiaga kuwa watanzani ni ngombe wa maziwa kumbe ni kweri duu CCM hivi mnavyo fikilia mtaiongoza tanzania milele ipo siku ipo siku dunia itashudia dini ya CCM inashindwa uchaguzi
@ezekielezekiely8476
@ezekielezekiely8476 День назад
Lakini ccm nyie!
@ezekielezekiely8476
@ezekielezekiely8476 День назад
Purtin,tulia.reaping what you saw.
@ezekielezekiely8476
@ezekielezekiely8476 День назад
Hatuna viongozi.tuna fiongozi,kazi yao ni fisadi.hawana mawazo mbadala,
@bensonsimon2238
@bensonsimon2238 День назад
😮
@ChrissChristopher
@ChrissChristopher День назад
Tanzania imezoea kuunda tume za Kila siku tumezoea
@user-ph9gk6kv5p
@user-ph9gk6kv5p День назад
Habari nambari .moja duniani
@jamesloshilunye414
@jamesloshilunye414 День назад
Wanaume wa kweli,,saiv sisi eti oa mke mmoja,mara uzazi wa mpango,,ujinga mtupu,, hongera Babu yetu wa kimasai
@user-lv4cx1sc5d
@user-lv4cx1sc5d День назад
Sio Israel hata wakiwa wote na marekani yao
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w День назад
Asante serikali yangu ya tz kwa kuanza kuchukua hatua mapema dhidi ya Mpox.
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w День назад
Waisrael ni waoga na waongo, kila siku wanatoa idadi kubwa ya vifo vya wapiganaji was HAMAS, wakati walipoanza kuingia ghaza walituahid kua haitochukua mda watakua wameisambaratisha hamas kwn no kikundi cha watu wachache!!!!!..
@ClementMasele
@ClementMasele День назад
Hongera dw kwa habar nzue
@andrewIzdory-sk4cu
@andrewIzdory-sk4cu День назад
Hawezi mshinda Trump,japo anapewa promotion kubwa
@RAMADHANILikambale
@RAMADHANILikambale 2 дня назад
Russia love ❤❤❤❤❤❤
@CalebThomas-ie4zy
@CalebThomas-ie4zy 2 дня назад
Hii chanel shida nin habar inachelew kuanz mala haina saut mnafeli wapi
@HubertyGodfrey
@HubertyGodfrey 2 дня назад
Umoja wa mataifa nimuhih sasa kuka mezani kumaliza mizozo ya vita hapo ukrein na gaza. Wasio kuwa nahatia ndio wanaoteseka
@user-pn5gv7ix3g
@user-pn5gv7ix3g 2 дня назад
For God's sake!!! Are all these Hamas terrorists???!!
@yudanziku6030
@yudanziku6030 2 дня назад
Mmmh
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w 2 дня назад
Laana iwe juu ya viongozi wa Israel na wenye kuwaunga mkono!!!
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w 2 дня назад
DW habari za uhakika, tupo pamoja kutoka DSM .
@Kiswahili
@Kiswahili 2 дня назад
Zidi kuwa nasi
@ArafaUwifu
@ArafaUwifu 2 дня назад
Team Russia 🇷🇺 tupo imara asnt cna DW swahili kwa habar moto moto
@thehollybookstudio2826
@thehollybookstudio2826 2 дня назад
Aliuliwa sio kuondolewa Madarakani hakutaliwa na mwingine akiwa hai
@YUSUPHMASOLWA
@YUSUPHMASOLWA 2 дня назад
Wamasai hameni Kwa hiari kwani serikari inawapenda tazama makao yenu mapya
@YUSUPHMASOLWA
@YUSUPHMASOLWA 2 дня назад
Mataifa makubwa MF marekani urusi ujerumani China yawe Makini na Amani duniani
@user-dj2kj7gs5p
@user-dj2kj7gs5p 2 дня назад
Mungu.mkubwa .lisu.kuppona
@kavakurejeanBaptist-nk7jz
@kavakurejeanBaptist-nk7jz 3 дня назад
Putin piga wahuni bila huruma
@YesuKristu-y5w
@YesuKristu-y5w 3 дня назад
Tangazo la serikali linathibitisha ni amri sio uhamaji wa hiari ni upanga wa lusifa umesimama imara kukwaza wateule
@MussaMillano
@MussaMillano 3 дня назад
Tupo pamoja Babu abdallah na zaina azizi tukizidi kuangaziaa mzozo wa Ukraine na urusi... team putini tujuane apa kwa like namanisha warusi weusi ❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
@kavakurejeanBaptist-nk7jz
@kavakurejeanBaptist-nk7jz 3 дня назад
Unamanisha warusi weusi😂😂😂niwengi kbs
@NelsonwilliumJohas
@NelsonwilliumJohas 2 дня назад
Tupo wengi kitambo
@MashakaEdward-ne1ih
@MashakaEdward-ne1ih 3 дня назад
Puttin ni balaa
@sudimnette7070
@sudimnette7070 3 дня назад
Wana mmetisha😅
@masalulwino1111
@masalulwino1111 3 дня назад
Urusi nae kumbe sio mkwala mkubwa lakini kazi mbovu
@khamis9187
@khamis9187 3 дня назад
Dw, habari na uchambuzi.. Tuko pamoja kutoka Dsm.
@user-ub5hc7ep6e
@user-ub5hc7ep6e 3 дня назад
Ametoroka hhhhhhh hhhhhhh hhhhhhh wakenya hhhhhhh
@RevocatusSebastian-c8o
@RevocatusSebastian-c8o 3 дня назад
inawezekanaje kutoroka? Iyo ni njama yapolis kuwatorosha imefanya ivo ili kesi iishe
@AbdallahBakar-oc3ue
@AbdallahBakar-oc3ue 3 дня назад
Marekani mpenda vita duniani watavuruga nchi za watu
@saidathuman3395
@saidathuman3395 3 дня назад
Nawapata barabara nikiwa tanga wilaya ya lushoto
@EzekielTipaa
@EzekielTipaa 3 дня назад
OMBI LETU WAFUGAJI WANAOISHI KWEDIGOLE KATA KWEDIBOMA KILINDI TANGA TUNAOMBA DW SWAHILI KUTANGAZA KATIKA TARIFA YA HABARI MALALA MIKO YETU KUHUDHU UFUNJIFU WA AMANI INAYO FANYWA NA DIWANI WA KATA KWEDIBOMA KUWAMURU WAKULIMA WAACHE ENEO LAO HALALI KWAJILI YA KILIMO NA KUPELEKA KATIKA ENEO ILIYO TENGWA NA SEREKALI YA KIJIJI KWAJILI YA MALISHO KWEDIGOLE
@ezekielezekiely8476
@ezekielezekiely8476 4 дня назад
Kuacha kuisaidia Israel,Marekani.hiyo ni ndoto ya mchana,limi hashikome gete.
@ezekielezekiely8476
@ezekielezekiely8476 4 дня назад
Polisi ya Tz,wanafiki.hufanya kweli kwa maagizo ya ccm tu.hawana faida kwa raia,ovyooo mnoooo
@josephkostans9128
@josephkostans9128 4 дня назад
Wanajeshi wa Ukraine wameenda urusi kusk ila tunaomba wakirudi tuonyeshwe wakishangilia ushindi maana najuwa kabisa hatarudi hata mmoja hapo