CHUO CHA UREMBO NA USUSI Chuo kimesajiliwa na NACTEVET TUNAFUNDISHA COURSE ZA SALON Kusuka aina zote Kupamba maharusi Facial, waxing, KUTENGENEZA KUCHA , UREMBO KWA UJUMLA PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA CHUO CHETU CHA UREMBO NA USUSI TUPO DAR TEGETA AZANIA 📞0657292650
aaa jamani nimepata kujifunza sana kusuka nywele kama huo,lina maana kuwa sikujua jinsi ya kuligawanya hiyo style ya upande upande,kwa hakika nimejifunza sana kwa kulitazama huu video 😋Mungu awabariki kwa kazi njema dadangu🙏🙏🙏