Тёмный
TNMC Habari
TNMC Habari
TNMC Habari
Подписаться
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania(TNMC) ni Mamlaka ya Kisheria inayosimamia wanataaluma na taaluma za Uuguzi na Ukunga Tanzania chini ya Sheria ya Mwaka 2010 na kanuni zake (The Nursing and Midwifery Act 2010) ili Kuhakikisha Jamii inapata Huduma iliyosalama.

Website: Www.tnmc.go.tz :Facebook na Instagram @tnmcHabari. Email:info@tnmc.go.tz: S.L.P 1736 Dodoma-Tanzania 0621118802/0658232142
JOEL NANAUKA; Nitakuwa Balozi wa TNMC
2:14
14 дней назад
TNMC YAJIPANGA KUSHIRIKI NBC MARATHON
2:09
Месяц назад
TUKUTANE SABASABA
5:03
Месяц назад
UMUHIMU WA LESENI @ TK 88.5 TANGA
2:12
2 месяца назад
MNAIFAHAMU ECSACONM?
7:54
3 месяца назад
Комментарии
@ombendaud5938
@ombendaud5938 Час назад
Baraza linafanya kazi kubwa sana.Huu ndo wakati wa watanzania kujua umuhumu wa TNMC
@user-ys3gt8lp5h
@user-ys3gt8lp5h День назад
Tutapractice wap na hatuna lesen wardin kwenyew mpk uwe na lesen😢😢😢
@ombendaud5938
@ombendaud5938 День назад
Mtihani wa leseni ni muhimu sana.Hongereni sana TNMC naona mkazo ni PRACTICE PRACTICE PRACTICE.Hao ndo Wauguzi tunaowategemea.Ushauri mzuri sana kwa wadogo zenu wapractice
@ombendaud5938
@ombendaud5938 День назад
Hongera sana bibi yangu Afisa Muuguzi Safina.Tumewapata vzr
@user-ys3gt8lp5h
@user-ys3gt8lp5h День назад
Me ombi langu ni wauguzi kuruhusiwa kufanya kazi vituo vya afya pind wamalizapo shule ili procedure zisipotee kichwan sasa wanakaa om kusubria mtihan mpk vitu vinapotea kichwan akija kufanya matokeo ni kufeli mtusaidie kwa Hilo
@HAYABOYTV1
@HAYABOYTV1 8 дней назад
Na mimi ni balozi mzuri huku nilipo.
@KaburaAbediKapangaAbdulRahmans
@KaburaAbediKapangaAbdulRahmans 10 дней назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-RRQWyYsI9F8.htmlsi=WNi67TzlwxNFz6Bs *★JE! UKONA MATATIZO?★* *★BASI SIJUE★* *★NJIA 7 ZENYE KUMALIZA MATATIZO★* *★FINYA HAYO MAANDISHI YA BLUU UJIONEE★*
@HAYABOYTV1
@HAYABOYTV1 29 дней назад
Mungu akubariki sana mama Yetu. Tunakupenda sana.
@hellgodsizya385
@hellgodsizya385 Месяц назад
Asante
@hellgodsizya385
@hellgodsizya385 Месяц назад
Asante kwa elimu juu ya balaza letu
@hellgodsizya385
@hellgodsizya385 Месяц назад
Asante
@ATRNA-TZ
@ATRNA-TZ Месяц назад
Asante
@user-ys3gt8lp5h
@user-ys3gt8lp5h Месяц назад
Nawapata vizur kabsa kutoka Mwanza .asanten kwa kutengeneza Channel yetu❤❤❤❤
@user-ys3gt8lp5h
@user-ys3gt8lp5h Месяц назад
Je tuliofanya indexing vitambulisho tunapataje ambao tuko Mwanza
@HAYABOYTV1
@HAYABOYTV1 Месяц назад
Sawa Boss 🙏🙏🙏
@SimonLiwawa-ux5cq
@SimonLiwawa-ux5cq 2 месяца назад
Njoo mama Teule muheza chuo Cha uuguzi uone madudu
@Gwanchele
@Gwanchele 2 месяца назад
Kama anabidhaa haswa dawa zimeexpaire Hapana hata Mimi sikubaliani nao tuwe serious tusicheze na Afya za watu Lakini pia kuhusu vipimo vinavyotakiwa Kupimwa basi tuhakikishe wataaluma kada husika tunao mi si muumini sana wa short course za upimaji. Japo kuwa kwenye kutoa majibu inategemeana na level ya elimu ya Muuguzi husika maana us nurses tunaweza kutoa tafasili nzuri zaidi ya majibu muda mwingine kuliko hata CA Good job muendelee haswa katika kuimarisha ufanisi nawala si kufunga tu.
@BARACKILANDA
@BARACKILANDA 3 месяца назад
Watu maalum kwa kazi maalumu❤❤❤
@BARACKILANDA
@BARACKILANDA 3 месяца назад
Hiv kazi za uuguzi mbona hatuoni hata post ya ajira tumekaa tu na leseni zetu tunazunguka nazo hata ajira portal sijawah kuona wanatangaza ajira zetu maana yake nn mpaka mtu unabak unacheka
@BARACKILANDA
@BARACKILANDA 3 месяца назад
Ata kazi bac mbona leseni tumekaa nazo tu mtaani
@HAYABOYTV1
@HAYABOYTV1 3 месяца назад
Kabisa kwa kweli wengine wanatia hasira 😢😢
@HAYABOYTV1
@HAYABOYTV1 4 месяца назад
Exactly 🎉
@user-jo9de6th4y
@user-jo9de6th4y 5 месяцев назад
Asante Mama Mungu akutunze uzidi kuliendeleza Baraza letu
@lubaziemmanuel4595
@lubaziemmanuel4595 6 месяцев назад
I see mdogo wangu in ua carrier " big up young cc"
@HAYABOYTV1
@HAYABOYTV1 6 месяцев назад
Ngoja ifike tarehe 23 tutimbe na sisi. Mimi nitakuja hapo mbele kuongea kwa Niaba😊😊
@user-ol3jk6rs3g
@user-ol3jk6rs3g 6 месяцев назад
vusya ungu
@mariasafari1004
@mariasafari1004 6 месяцев назад
Yaani mtu hujafeli darasani leseni tu ndo anafeli kuna shida hapo,
@masungadwasi3132
@masungadwasi3132 6 месяцев назад
Hongera sana Sr Salome Kwa elimu nzuri juu Theatre management Hii elimu inatakiwa nchi nzima Ili Kuboresha matokeo ya huduma za upasuaji
@HAYABOYTV1
@HAYABOYTV1 7 месяцев назад
Pamoja wakubwa😢😢😢 moyo uko juu
@verichitamchami5428
@verichitamchami5428 7 месяцев назад
Asante Kwa ufafanuzi mzuri
@michaelmauna2251
@michaelmauna2251 7 месяцев назад
Mnazungumzia upande wetu tu,hamjawai jali dhiki anayopitia muuguzi,mpo kisiasa mara zote
@user-xi2es7pk1k
@user-xi2es7pk1k 7 месяцев назад
Nafikiri huu mchakato wa leseni uangaliwe kiundani zaidi,, leseni iwe inaandaliwa ndani ya kipindi chote ambacho mtu anasoma,,kisha anapomaliza a apewe kama vyeti vingine vya taaluma,, Inachosha sana,ni kana kwamba mtu anasoma vyuo viwili viwili,na kila chuo na gharama zake.
@TNMCHabari
@TNMCHabari 7 месяцев назад
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania ni Mamlaka ya Kisheria iliyoanzishwa chini ya Sheria ya Uuguzi na Ukunga ya 2010, na Kanuni zake kwa lengo la kuhakikisha huduma zitolewazo na wauguzi na wakunga zinaubora na salama kwa wateja. hivyo Baraza linafanya kazi kwa kufuata miongozo,taratibu na sheria