Ya Ahlu bidaa, acheni upotovu huwo mnapinga hakki hali ya kuwa mnajuwa mnalofanya ni uzushi, yangekuwa ni kheri,mtume asingeacha kufanya wala swahaba zake kwa mapenzi walikuwa nayo swahabat rasullullah kuliko ninyi mnaosema mwampenda mtume, kumbe mwamzulia urongo,maulidi ingekuwa hakki mtume asingeacha fanya,na hakuna kheri ambayo mtume akufundisha, ninyi amumuogpi Allah,nyoyo zenu zimepigwa mihuri ndomana hamna haya,wala hata chembe katika kumzushia mtume.