Тёмный
BINGO ONLINE TZ
BINGO ONLINE TZ
BINGO ONLINE TZ
Подписаться
MUONGOZO WA CHANNEL YA BINGO ONLINE TZ.

BINGO ONLINE TZ inakupa updates za burudani na zinazotrend masaa 24 kuwahusu watu maarufu kwenye burudani ya Tanzania .
Sisi kama BINGO ONLINE TZ kwasababu tunawafikia watanzania wengi hivyo tunazingatia misingi ya uhariri kwa kufuata:-

-Kuripoti Habari kwa kutoa fursa sawa pande zote.
-Kuepuka uchochezi kwa kujiepusha na udini, ukabila na mambo yote yanayoweza chochea uchochezi.
-Kuripoti habari za kweli
-kurekebisha taarifa zilizopotoshwa kwa wafuatiliaji wetu (subscribers na unsubcribers)

Lakini pia kwa Walio subscribe channel yetu
-sisi kama BINGO ONLINE TZ huwa tunafuata maoni ya Subscribers wetu hivyo kila mtu ana haki ya kutupa maonii yake na yakafanyiwa kazi.
-lakini pia kwa wale wachochezi kupitia channel yetu ambao wao hutumia comments kwenye habari zetu tuna uwezo wa kuwaondoa ili kuzuia uchochezi.

INSTAGRAM PAGE Link: instagram.com/bingoonlinetz/

Email bingoonlinetz@gmail.com

Contant Us +255674777784
Комментарии
@JumaJuma-i2g
@JumaJuma-i2g 11 минут назад
TUMEKOSA UZALENDO KABISA
@BedaAlphonse
@BedaAlphonse 30 минут назад
Kitendo hicho ni kibaya san a ni ushabiki usiokuwa wa kiungwana
@Malaikah.channel
@Malaikah.channel 30 минут назад
Tatizo ukiingilia na wewe Unausishwa katika kesi ndo maana watu hawaingilii
@Mczomofan
@Mczomofan 55 минут назад
😢😢😢
@RashidiGenjo-h6j
@RashidiGenjo-h6j Час назад
Aaa.laha2🎉
@josepheriah5977
@josepheriah5977 2 часа назад
Apo Sawa
@user-rg9mw8iy8h
@user-rg9mw8iy8h 2 часа назад
Sasa huyo afande mbona hakuwekwa rumande acheni ubabaifu
@mohayussuf2057
@mohayussuf2057 2 часа назад
Alikua amelewa nini Kwanza aanze Tanzania
@RizikiSizobakwira
@RizikiSizobakwira 13 часов назад
Mungu''akulinde'''napiya'''nakubali'maneno'''mazuli''yaukweli'''kabisa''nitakutafutakabisa''kweli'''Mungu'''akujaliye
@user-kt2sj7vo7b
@user-kt2sj7vo7b 13 часов назад
Diamond ana ndege toka lini
@rukundorwiza5223
@rukundorwiza5223 15 часов назад
Diamond bishooooo hana lolote
@rukundorwiza5223
@rukundorwiza5223 15 часов назад
Mwijaku kawongeya big point
@SifaEmma
@SifaEmma 15 часов назад
Watu wengi wanatamani kufanya kazi na Simba ila hawamutetee wakati Harmonize Mzee Popo anamurogea hadi Ikulu😭😭😭😭😭😭😭😭
@EmanuelPeterKabunduguru-xz1ul
@EmanuelPeterKabunduguru-xz1ul 15 часов назад
Kwa Nini asiweze,yeye ni binadamu kama wengine waliokuwa matajiri duniani so kilakitu kinawezekana ilimladi yeye(Simba)ajitaidi ku invest....unaijua falsafa ya utajiri ni ku invest sehemu kibao na hapo utaona matunda.Simba anaweza.
@WanjalaEvans-dd2ep
@WanjalaEvans-dd2ep 15 часов назад
Eeh! Simba ni nani bana🔥💥🔥
@HannanAlly-o8k
@HannanAlly-o8k 17 часов назад
Na mm na mtt anaitwa amara
@AgnesEphraim-jw6dv
@AgnesEphraim-jw6dv 17 часов назад
Hao jamaa akina Nyundo na wenzake wahachiwe huru kama hafande aliye wanunua ajafungwa ya nini kuwafunga waliyo tumwa acheni uhonevu
@ThobiasMasabire
@ThobiasMasabire 17 часов назад
Akamatww tu kwani yeye Yuko juu ya sheria
@MaulidRamadhan-g3d
@MaulidRamadhan-g3d 17 часов назад
Nawapa hongera sana nandybillnass
@LenatusMaiko
@LenatusMaiko 17 часов назад
Hamza
@dizzosukariyaoSukariyao
@dizzosukariyaoSukariyao 17 часов назад
Hanstone jamniii anaimbaa
@SifaEmma
@SifaEmma 18 часов назад
Lichaa ya uchawi wa Mzee Popo Harmonize Diamond Platnumz bado anasonga mbele 🦁🦁🦁🦁🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@AgnesEphraim-jw6dv
@AgnesEphraim-jw6dv 18 часов назад
Tanzania yetu bwana ujilinde mwenyewe bac muruhusuni uyo Binti aende nyumbani kwao mnamshikilia yanini
@Sudisudi-uo4lg
@Sudisudi-uo4lg 18 часов назад
Msimlau diamond yeye kasema ndoto yake na ndoto unaweza ikawa kweli au sio Kwa sababu ndoto lazima ulale
@SifaEmma
@SifaEmma 18 часов назад
Mwijaku na Harmonize Mzee Popo wanaeneza chuki na uchawi katika jamii😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@Shannyadam0101
@Shannyadam0101 19 часов назад
zungumzaaaaaa😂😂😂😂😂😂
@SeanWislyn-mt2fo
@SeanWislyn-mt2fo 19 часов назад
Believe in yourself that's the key
@user-xk6nw1mj6d
@user-xk6nw1mj6d 19 часов назад
Kweli huyu diamond ni star
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 20 часов назад
Tunataka afande akamatwe na uyo mume nae hakamatwe kwan ndio chanzo kikubwa,,na uyo mdda asikae uko porisi hakuna usarama kwake..wanyongwe mbwaa hao ushaid upo wa video vp wasishugurikiwe
@SifaEmma
@SifaEmma 20 часов назад
Harmonize na Mwijaku wanataka watu wasiendelee kimaisha kama Anjella.... Diamond ni Baraka 🙏 🦁👑🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@user-nv8rr7jq9j
@user-nv8rr7jq9j 20 часов назад
Diamond platunbamz haowote atawapita
@SifaEmma
@SifaEmma 21 час назад
Mzee Popo Harmonize ataroga hadi atachoka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Meshack-z7d
@Meshack-z7d 21 час назад
Apeleke mavi choooni
@ClassicUsed-jg6ri
@ClassicUsed-jg6ri 21 час назад
Ommy dimpoz anatafuta kiki
@JninjaH2R
@JninjaH2R 21 час назад
Anunue yanga 😂😂😂😂😂
@thronesbillycompany8491
@thronesbillycompany8491 22 часа назад
Fungua Maisha Yako Bila Mipaka - Jifunze Bure na Alison! Wengi wetu tunaota kusoma elimu ya juu lakini tunakutana na changamoto za kifedha. Kama umewahi kuhisi kuwa huwezi kwenda chuo kikuu kwa sababu ya gharama, nataka ujue kuwa kuna njia nyingine ya kujenga ujuzi wako, maarifa, na maisha yako ya baadaye! Elimu haijazuiliwa kwenye darasa au chuo kikuu pekee - na kupitia majukwaa kama Alison, unaweza kupata kozi za bure na zenye ubora wa hali ya juu katika nyanja mbalimbali. Iwe unapenda biashara, teknolojia, afya, au hata ukuzaji binafsi, Alison inakupa fursa ya kujifunza kwa kasi yako mwenyewe, ukiwa mahali popote. Hapa kuna sababu za kwa nini unapaswa kujisajili leo: Bure kabisa: Huna haja ya kuwa na wasiwasi juu ya ada au gharama zilizofichwa. Alison ni bure 100%, kutoka mwanzo hadi mwisho. Aina mbalimbali za kozi: Haijalishi shauku yako ni ipi, kuna kozi kwako - kuanzia viwango vya wanaoanza hadi vya juu. Pata vyeti: Baada ya kumaliza kozi zako na kufaulu, utapata cheti cha kuonyesha ujuzi wako na kuongeza nafasi zako za ajira. Urahisi: Jifunze wakati wowote na mahali popote - wewe ndiye unayedhibiti kasi. Usiruhusu changamoto za kifedha zikuzuie kufikia ndoto zako. Anza leo na chukua hatua ya kwanza kuelekea maisha unayostahili! Inahitaji kubofya mara moja tu ili kuanza safari yako: alison.com/affiliate-dashboard? Elimu yako ni mlango wa fursa - usingoje, anza sasa na jenge maisha ambayo umekuwa ukiota!
@aginesnsangizo-i9k
@aginesnsangizo-i9k 22 часа назад
REST IN PEACE
@luckyluchano1
@luckyluchano1 22 часа назад
Mwijaku alimjibu kwa dharau🙄
@MaulidKadelege
@MaulidKadelege 23 часа назад
Cheo chake amekitumia vibaya sana Tena kafanya ukatili mkubwa sana na kwa umri alionao hakupaswa kufanya vile kwa bint mdogo kama yule cjajua kama kabarikiwa kupata mtoto na kama anamtoto wakike avute pcha kama angekua ndo mwanae uleunyama angevulia
@user-nv8rr7jq9j
@user-nv8rr7jq9j 23 часа назад
Eeeeesimba atawaua fore boy king diamond platunamz❤
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im День назад
Kukomesha rushwa, Peter Madeleka angewashitaki watu waliotaka kumpa rushwa. Kutowa rushwa na kupokea rushwa ni makosa ya jinai. Tanzania haiko serious kupigana na rushwa sabatu kubwa insyowanyima watanzania masikini haki.
@jumajay8496
@jumajay8496 День назад
Tajiri haitaji mashindano,tajiri hajitangazi,tajiri hajigambi,tajiri haelezei watu kua yeye ni tajiri au anataka mashindano na watu ndio maana hakuna mashindano ya kumtambua nani tajiri kushinda mwingine, Huu ni utoto,ufala.
@khabibally3528
@khabibally3528 День назад
Hii ime,enda
@MaulidNdunda-cl3gz
@MaulidNdunda-cl3gz День назад
Nyimbo hiyo mond ukimshirikisha ommy dimpoz Iko vzur
@DIEUDONNEMWAKAINNOCK
@DIEUDONNEMWAKAINNOCK День назад
WCB 4life ❤❤❤
@robertsimfukwe1097
@robertsimfukwe1097 День назад
Mwijaku hajawahi kuwa na ajili na na Muomba Mungu amsaidie masudi kipanya amnyooshe huyu jamaa iliajifunze na awe na nidhamu
@AbuuMkabugo
@AbuuMkabugo День назад
Mpeleke bosi wako mwinjaku jinga wwe
@GodvoiceTarimo-g9w
@GodvoiceTarimo-g9w День назад
Mungu azidi kuwapigania
@GodvoiceTarimo-g9w
@GodvoiceTarimo-g9w День назад
Mungu azidi kuwasaidia hongeren sana