Тёмный
Ikulu Tanzania
Ikulu Tanzania
Ikulu Tanzania
Подписаться
CHANELI RASMI YA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS, IKULU
Songa na Samia Msimu wa Nne
20:24
Месяц назад
Songa na Samia Ep 3
23:19
2 месяца назад
SONGA NA SAMIA - SS, AFYA
1:08
4 месяца назад
SONGA NA SAMIA - SS, ELIMU
1:08
4 месяца назад
SONGA NA SAMIA - SS, VIWANDA NA BIASHARA
1:10
4 месяца назад
SONGA NA SAMIA - SS, UWEKEZAJI
1:07
4 месяца назад
SONGA NA SAMIA - SS, MIFUGO NA UVUVI
1:05
4 месяца назад
SONGA NA SAMIA - SS, UTUMISHI
1:03
4 месяца назад
SONGA NA SAMIA - SS, UTALII
1:01
4 месяца назад
SONGA NA SAMIA - SS, UJENZI
1:03
4 месяца назад
SONGA NA SAMIA - SS, FEDHA
1:03
4 месяца назад
Комментарии
@innocentntabanganyimana2111
@innocentntabanganyimana2111 3 часа назад
Thank you our president
@zunguboy4893
@zunguboy4893 3 часа назад
R.I.P BABA JPM😢😢
@hidayah3405
@hidayah3405 4 часа назад
5yrs bt nikiangalia hutokwa na machozi watoto wadogo wanavyokibeba kitabu cha Allah vifuani mwao 😢😢😢
@kelvinmasungakilunguja7539
@kelvinmasungakilunguja7539 7 часов назад
Kaz iendelee Mama anafanya Kaz sana Sana ongera Mh Rais wanao tunakupenda❤
@FrankRicharch
@FrankRicharch 7 часов назад
Hongera sana Mh Rais wetu, kazi nzuri sana Mh Rais wanamoro tunakupenda watanzania tunajivunia wewe Rais na Mungu akujalie Afya njema uendelee kuwatumikia watanzania
@bharyasarbjit1187
@bharyasarbjit1187 8 часов назад
Hongera sana sana Mhe Rais. Only with Blessings of Almighty God you can do All this Hard work. I pray for your Good Health so you can do more Good for our Beautiful Nation Tanzania. Keep it up world now start knowing Who is Mama Samia Suluhu.
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 10 часов назад
Kazi iendelee, let's work continue 🇹🇿🇹🇿✅⚒️
@Hasey.7
@Hasey.7 11 часов назад
2025 Samia Suluhu hoyee ❤❤
@masagapaul5039
@masagapaul5039 13 часов назад
Tanzania ya Mama Tupo salama na kazi inaendelea congratulations madam, President
@chomaroyalchiefdom1907
@chomaroyalchiefdom1907 15 часов назад
KARIBU MOROGORO MAMA
@muddyso1953
@muddyso1953 15 часов назад
Ila tunajisahau saanaDunia haiko salama na hatusemi chochote tunaficha ukweli tambua wakati ni sasa atae kumbuka shuka asubui ni juu yake Allah atuokoe na kutunusuru kwa mapenzi yake na uweza wake
@FortiMtolela-xl2nb
@FortiMtolela-xl2nb День назад
😢❤
@HabilyTech
@HabilyTech День назад
Hotuba ya Asenga, aibu naona mimi.
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 День назад
Magufuli wetu bado tunakukumbuka😢nchi haina raisi tena zaidi ya majizi yanauza nchi tunaishi kama tuko kwa jirani 😢
@JohnMrema-dq8iz
@JohnMrema-dq8iz День назад
Tutakukumbuka sana anko magu mungu ailaze roho yako mahala pazuri
@IzackMwakalobo
@IzackMwakalobo День назад
Daa Magufuri tutakukumbuka sana
@innocentntabanganyimana2111
@innocentntabanganyimana2111 2 дня назад
Tanzania oyeeeee
@MagomaPato
@MagomaPato 2 дня назад
Ni Aibu Tanzania kuona Rais Samia akisapoti Mzee Popo Harmonize kuharibu kazi za Diamond na Wasanii wake kwenye youtube na uchawi....Aibu Tz😭❌🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 дня назад
MaSamia na classmates wake 😅 jamani raha sana. asante sana mama samia na wenzio mzumbe
@tanzanite9944
@tanzanite9944 2 дня назад
Taa ziko wapi? Pia gurd rails kwenye njia ya watembea kwa migiuu hazipo. wakamilishe kabla ya kukabidhi.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 дня назад
hivi Rais wetu Mama Samia alisomaga mzumbe eti? nakumbuka alitakaga kutoroka shule ila milima ikawa imezunguka chuo na kakaake akamuambie wee Samia kaa shuleni..jmni Samia wetu😂😂
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p 2 дня назад
Yawezekana Waziri wa Maliasili na Utalii yupo kwenye uwanda tofauti na mawaziri wenzake?
@SimbaM2kufu
@SimbaM2kufu 2 дня назад
Ujunga mtupu.
@karyori69
@karyori69 2 дня назад
daraja liwekwe Taa!
@Misheckkazilist-cv2hb
@Misheckkazilist-cv2hb 2 дня назад
Akuna chochote ujinga na uchawa uliyo kidhili wajinga ninyi mnasapotana vipofu watupu kwanza makonda huko wapi atutakinujinga kama amekufaa aishivyo Mungu ccm itekete kabisa ikawe history kua iliwai kutawala
@modsdickson1671
@modsdickson1671 2 дня назад
Hapana hapa ametengeneza
@NehemiaZakeo
@NehemiaZakeo 2 дня назад
Safi
@BarakaLuhwago
@BarakaLuhwago 2 дня назад
Tunakupenda Rais wetu karibu nyumbani a Mbingu Tunashida ya Barabara na tuliahidiwa muda mrefu ndangu enzi za Rais wetu Jakaya Kikwete Maombi yetu kwako Mama Ujenzi wa Barabara tunakupenda
@bharyasarbjit1187
@bharyasarbjit1187 2 дня назад
Hongera sana sana Mhe Rais wewe una taka wanzawa wafanye KAZI ujue kutoka Wizarani mpaka Tanroads hawataki Hiyo. Mimi nime Teswa kutosha wana tu ita Babaishazi.
@amohammed3390
@amohammed3390 2 дня назад
Wafanyakazi wa serikali wakiwemo Mawaziri waige ufanisi. Hamna ruswa hapo.
@MasumbukoLenatus
@MasumbukoLenatus 2 дня назад
Yanga dei yaleo
@rehemasmbena8392
@rehemasmbena8392 2 дня назад
Asante mama umeona kweli tuko vizuri mama asante kuliona hilo tuko pamoja mama tutakuchagua
@user-ym6hd7xh3g
@user-ym6hd7xh3g 2 дня назад
Ardhi ni kubwa magorofa umeme wa kupandisha lift upo?ghorofa zinajengwa mahali ambapo kuna ufinyu wa ardhi.
@bharyasarbjit1187
@bharyasarbjit1187 2 дня назад
Hongera sana sana sana Mama Samia what a hard work for Your people. Where will we Get iron lady like you. Your efforts are too impressive. Mhe Well done job.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 дня назад
Ruto Rais wa Kenya, hongera mzee...wewe ni jembe la Kenya
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 дня назад
Rais John Magufuli na VP Samia Suluhu Hassan
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 дня назад
hizi Mic jamni mbona zinashida nyingi hvi? kuna matatizo gani na hii mitambo lakini? kila pahali ni kugoma..hivi Ikulu kwann watu tukisema mnaziba masikio? mbona matatizo ya mic yanaendelea kuongezeka kila kukicha?
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 дня назад
na hizi mbegu, eeh Mungu wangu tusadie,,isije zikawa zaenda kutuharibia origine ya mbegu tuzizokuwa nazo tangu asili jmni..Mama hebu chunguza
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 дня назад
SAMIA, w/nchi wako wanalia kila pahali...HUSIKIII??? Mbona kelele nyingi kila pahali na huskii mbona? wamasai ngorongoro wananyimwa haki kupia kura na hawapewi maitaji stahiki, watu arusha wamenyanganywa ardhi, watu Mpiji wanalia maana mashamba yao yamechukuliwa na wote hwa wanapigwa danadana na mama upo tuu..
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 дня назад
SAMIA, w/nchi wako wanalia kila pahali...HUSIKIII??? Mbona kelele nyingi kila pahali na huskii mbona? wamasai ngorongoro wananyimwa haki kupia kura na hawapewi maitaji stahiki, watu arusha wamenyanganywa ardhi, watu Mpiji wanalia maana mashamba yao yamechukuliwa na wote hwa wanapigwa danadana na mama upo tuu..
@nassiramour2666
@nassiramour2666 2 дня назад
Sasa c ndo maana kuna viongozi wa chini alio wateua? Km raisi hatoweza kujua kila kitu kinacho endelea kjn
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 дня назад
SAMIA, w/nchi wako wanalia kila pahali...HUSIKIII??? Mbona kelele nyingi kila pahali na huskii mbona? wamasai ngorongoro wananyimwa haki kupia kura na hawapewi maitaji stahiki, watu arusha wamenyanganywa ardhi, watu Mpiji wanalia maana mashamba yao yamechukuliwa na wote hwa wanapigwa danadana na mama upo tuu..
@seifjuma8422
@seifjuma8422 3 дня назад
Big up mh mbunge jonas van zeeland kwa kumkaribisha mh rais katika jimboo letu na kumpa kero zetu mh rais ccm.oyeeeee KARIBU SANA MH RAIS KATIKA WILAYA YETU YA MVOMERO
@kapyagilly
@kapyagilly 3 дня назад
Saudi na maneno yasiyochacha kila kukicha
@lawskuli9876
@lawskuli9876 3 дня назад
Good start
@esthermsimbwa1812
@esthermsimbwa1812 3 дня назад
Hongera sana mama yetu mpenzi kwa kazi nzuri hii,hata baba yetu magufuri huko aliko atajivunia kwa kiasi kikubwa sana kukuachia kijiti. Kikubwa tunaomba sana masigara na mapombe yasiruhusiwe watu wakaanza kutapikiana na treni yetu ikanajisika jamani.
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 дня назад
Mungu ibarik Tanzania, kidogo kidogo lakini naamini tutafika panapo majaaliwa
@Djdiho257
@Djdiho257 3 дня назад
Mitambo DJ tupande sauti
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 3 дня назад
Hizo mbegu zimetoka wapi jamani?
@BrightLewis
@BrightLewis 3 дня назад
Kwa mm navyo jua maana nimesomea hii koz inaitwa range management n (afisa malisho ) zipo SUA,,chuo Cha sokoine huwa zinapatikana sana kwa wingi chuon kwetu na zaina zote
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 3 дня назад
Huyu mwaarabu ni wa Oman 😂?
@nadirabdullahal_hinai2016
@nadirabdullahal_hinai2016 3 дня назад
Mimi ne wa omani
@LifeAdam-m9k
@LifeAdam-m9k 3 дня назад
Tata kuku mbuka sana