Тёмный
ELCT - Keko Lutheran Youth Choir-KvK Official
ELCT - Keko Lutheran Youth Choir-KvK Official
ELCT - Keko Lutheran Youth Choir-KvK Official
Подписаться
Karibu katika channel yetu ya Kwaya ya Vijana Keko KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Jimbo la Kusini Dar es Salaam.

Lengo ni kuendelea kueneza injilli kwa njia ya nyimbo kupitia channel hii. hivyo tunatoa wito kwako kuwaalika marafiki wengi zaidi kutembelea hapa na kubarikiwa na nyimbo. Mungu akubariki sana unapochukua hatua ya kuwaalika wengine maana ndivyo unavyoungana nasi katika kutangaza habari njema ya wokovu na injili ya marejeo.

unaweza kuwasiliana nasi kwa namba zifuatazo: +255 718 974 973/ +255 712 572 949
Комментарии
@GesongoBoaz
@GesongoBoaz 22 часа назад
Wimbo ni mzuri ila hapo hakuna uimbaji wa kisabato maana Ngoma zinazokataliwa na roho ya unabii zimepigwa pia matching hizi haziruhusiwi mbadilike hapo mtakuwa vizuri.
@olipamkuyu5149
@olipamkuyu5149 4 дня назад
Hata mimi sijui haya alionitendea I'm kuwajengea ninungana nanyi mbarikiwe, nimeupenda ❤❤❤ sana wimbo
@StellaMwambalaswa
@StellaMwambalaswa 5 дней назад
Tuko,vzri wana kkkt
@rolyneajwangi8152
@rolyneajwangi8152 11 дней назад
Wimbo mzuri sana
@NaftaliAgola
@NaftaliAgola 13 дней назад
Mpo vizuri Sana mungu awalinde Sana
@rosemarykiwelu7034
@rosemarykiwelu7034 14 дней назад
It's October 2024 and am still listening to this master piece ❤
@bethsebaayo3970
@bethsebaayo3970 16 дней назад
Mnaimba vizuri mbarikiwe sana
@tjosh4324
@tjosh4324 20 дней назад
who can make translation in English?
@brycesonkilama
@brycesonkilama 24 дня назад
Mbarikiwe jamman
@JamesPeter-e9q
@JamesPeter-e9q 24 дня назад
Mara ya kwanza naona kazi zenu nilitokea kupenda coz mziki umetulia hongereni.
@JoshuaHilgath
@JoshuaHilgath 26 дней назад
MAISHA MAGUMU 😢😢😢 IBADA NA MAOMBI KWELI VIMEKUWA MZIGO ROHO WA MUNGU TUSAIDIE.🤲🤲🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️
@yusuphmalonja
@yusuphmalonja 27 дней назад
Smart
@JoshuaHilgath
@JoshuaHilgath 29 дней назад
Kimbilia kwa Yesu mwenye huruma yeye ni mwenye kuokoa Tumaini linalejeshwa😢 2024🙏🙏
@andrewkyabashasa8993
@andrewkyabashasa8993 Месяц назад
Sijui ni kwanini KKKT kama kanisa kongwe halina melody ya kutambulisha nyimbo zake kama ilivyo kwa Wakatholiki na Wasabato. Hata hivyo wimbo huu ni mzuri na una ujumbe murua. Hongera kwaya Vijana wa KKKT. Kazi nzuri sana, mbarikiwe
@chazzyfisimachazzymtemmy
@chazzyfisimachazzymtemmy Месяц назад
ukwel mmeimb vzur mbarikiw ila mjitahid mtunge wn
@godfreyhiza1075
@godfreyhiza1075 Месяц назад
Sasa ninaona!!!! Napokea nguvu za YESU kwa viwango vya juu sasaa ninaposikia.....ROHO MTAKATIFU ananigusaa,!!!!!
@RahelRahel-t4o
@RahelRahel-t4o Месяц назад
Hongeren nimewapenda mmeimba vizuri sana
@franciskiio9980
@franciskiio9980 Месяц назад
Hiyo miguu
@DenisKasongo-v6z
@DenisKasongo-v6z Месяц назад
Napenda hii wimbo mbarikiwe sana.
@PeterFesto-u2h
@PeterFesto-u2h Месяц назад
Mungu awakumbuke katika ufalume wake mnanibariki sana
@irenegodluck1124
@irenegodluck1124 Месяц назад
@pauloissa2652
@pauloissa2652 Месяц назад
Kwa kweli mmejua kukata mauno hee mtadhani sio wimbo wa injili
@jesintahguoro5517
@jesintahguoro5517 Месяц назад
Nashangaa wimbo Iko na miaka 3 na mimi ndio naikuta TikTok 😢❤
@KikotiYedida
@KikotiYedida Месяц назад
Barkiwen sana
@KikotiYedida
@KikotiYedida Месяц назад
Amen
@StevenFumbi
@StevenFumbi Месяц назад
Wimbo mzuri
@shyneafya2468
@shyneafya2468 Месяц назад
Mabarikiwe vijana KKKT mm n msabato ila napenda sana mnavoimba yan dah Mungu azidi kuwainua sana hii ndo kwaya sasa❤❤ who's watching untill now 6/9/2024
@blessedtumaini516
@blessedtumaini516 Месяц назад
Mungu Baba asante Yesu Kristo ametenda amenitendea ninalojua nilikuwa mpangaji sasa nina nyumba Haleluya Amina. ❤❤❤.
@NeemaNey-b1z
@NeemaNey-b1z Месяц назад
Mung habarik
@PraxedesOpungu
@PraxedesOpungu Месяц назад
Kwa kuskiza wimbo huu unakupa matumaini,sauti tamu ,mbarikuwe,
@MtotowaAngusty
@MtotowaAngusty Месяц назад
❤❤sabato raha sana wasabato tukuje kwa uku❤❤😂
@SaimoChalagat
@SaimoChalagat 2 месяца назад
This song is beautiful ❤❤❤❤❤
@user13375
@user13375 2 месяца назад
Ibirisi ako kazini😮😮😮😮 Hata mkinichukia 😮😮😮😢😢😢
@maureenkemei8762
@maureenkemei8762 2 месяца назад
Nyimbo nzuri ya marehemu kibaso Mungu atukuzwe, mbarikiwe pia.
@RwechungulaBegumisa
@RwechungulaBegumisa 2 месяца назад
Huu ndo uimbaji wa kkkt naomba mnaohalibu uimbaji wa kkkt mkajifunze kupitia wimbo huu,hongera Sana Kwa uwinjilishaji mzuri.
@ELIFARIJIGODDFREY
@ELIFARIJIGODDFREY 2 месяца назад
Kwaya
@AntonetaMbigima
@AntonetaMbigima 2 месяца назад
Nawapenda jamani nilikuwepo toka amjawa na kanisa jipya jamani. Now mmehamia kanisa jipya nawajua wote nawapenda wote
@mariamluther9219
@mariamluther9219 2 месяца назад
Nimepata wimbo wa kutembea nao kwa wiki nzima... nabarikiwa nanyi katika jina la Yesu...
@mariamluther9219
@mariamluther9219 2 месяца назад
Vijana wa Keko utukufu kwa Mungu Juu mbinguni. 🎉
@alleyjuniourtz
@alleyjuniourtz 2 месяца назад
I am here kuangalia wakijibinua vitako nihakikishe 😂😂😂
@jacquem7422
@jacquem7422 2 месяца назад
It always keeps me strong my brothers and sisters the voices ooh my God he created you for a purpose keep on praising him be blessed brethrens
@VaiSolomon
@VaiSolomon 3 месяца назад
❤❤
@VaiSolomon
@VaiSolomon 3 месяца назад
❤❤ 3:03
@VaiSolomon
@VaiSolomon 3 месяца назад
❤❤
@VaiSolomon
@VaiSolomon 3 месяца назад
❤❤
@VaiSolomon
@VaiSolomon 3 месяца назад
❤❤
@VaiSolomon
@VaiSolomon 3 месяца назад
❤❤
@VaiSolomon
@VaiSolomon 3 месяца назад
❤❤
@VaiSolomon
@VaiSolomon 3 месяца назад
❤❤
@SaraMsemwa-h6n
@SaraMsemwa-h6n 3 месяца назад
Safii keko