Тёмный
Muhammad Nassor Bachu
Muhammad Nassor Bachu
Muhammad Nassor Bachu
Подписаться
Bonyeza neno SUBSCRIBE kisha bonyeza alama ya kengele ili uwe wakwanza kupata video zetu mpya.
Комментарии
@HiethiAbdallah
@HiethiAbdallah 50 минут назад
youtube.com/@omarionommy?si=RtYGp-XCkBY2Stzl
@aboumuhammad-o9l
@aboumuhammad-o9l 3 часа назад
Nakupenda Kwa ajili ya Allah, endelea Kutoa elimu watu wazinduke
@elbattawy2864
@elbattawy2864 3 часа назад
Bachu kweli ni mdhaifu sana na kila akija public kama hivi tunashuhudia udhaifu wake yeye anakuja kutafsiri na kugona msumari kwa Alsuyuti na tafsiri zake anavyota kwamba yeye kasema ni uongo lakini kumbe huyo Alsuyuti alichukua kutoka kwa Ibn Nuaimu, sasa bado Bachu anatakiwa kueleza Ibnu Nuaimu aliandika uongo? au Ibnu Nuaimu ni mtu muongo? Alsuyuti ni third person kwanini asirudi kwenye second person?
@MkwizuMkufya
@MkwizuMkufya 3 часа назад
Watoe dalili uzipeleke wap
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 4 часа назад
Mashallah Shukran Kwa faida
@answarmohamed4564
@answarmohamed4564 5 часов назад
قال الله تعالى: ولا تنابزوا بالألقاب بئس الاسم الفسوق بعد الإيمان وقال صلى الله عليه وسلم: سباب مسلم فسوق صدق الله ورسوله
@subhanallah868
@subhanallah868 6 часов назад
Mashaaallllaaahh😂🎉❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@alikhamis6067
@alikhamis6067 9 часов назад
Bachu humuwezi Dj said yuleee jamaa anaimba lakini humuwezi kwa elimu.
@HusseynSingano
@HusseynSingano 9 часов назад
Daa bachu mbona unapatatabu unasahau kwamba hiloswali lumekushinda kujibu
@mwalimumsham6746
@mwalimumsham6746 9 часов назад
Sema sijui
@khermisybonaya3741
@khermisybonaya3741 10 часов назад
Waja nalo tena, ushasahau? 😂😂😂
@JumaShundi-tn9pf
@JumaShundi-tn9pf 10 часов назад
Bachu uko nondo
@HamzaMzige
@HamzaMzige 11 часов назад
Bachu unacho kitafuta utakipata wewe Huna aibu we siulikimbia mombasa kwa sheikh saida rudi kweke kama wewe ni kidume usikae chumbani kwako unabwata tu nende kwa said
@HamzaMzige
@HamzaMzige 11 часов назад
Bushu unatafuta Aibu mara ya pili mada hiyo uliitoa ukajadili kule mombasa na sheikh said wewe Bachu ulikimbia sasa umejifungia chumbani ubaropoko toka nje tukuiti kiboko yako sheikh said akufunze tena kama kweli una elimu rudi kwa kiboko yako sheikh said wa mambrui Kenya uliko kimbia Huna lofoten bachu wewe tapeli utawadanganya wajinga tu hakuna cha suyuti wewe muone sheikh said akufunze dini kwani hujui dini wee
@saadasaleh3177
@saadasaleh3177 14 часов назад
Baraka Llahu fiyk 🤗
@Sautighuna-j2k
@Sautighuna-j2k 18 часов назад
Usiwai funga comments sheikh huwa nafurahi Sana nkiona makhurafi wanahangaika na matusi 😂😂 ni dalili kuwa dozi inapenya 😂😂kama hawaumii wasingetukana .. maswala ya kusoma ibara vizuri,mara kasome ni mbinu za kukwepa hoja ya msingi 😂😂 anyway wacha tuskie DJ atatoka na ngoma gani msimu huu😂😂
@RamadhaniKhalifa-g6g
@RamadhaniKhalifa-g6g 19 часов назад
Acha kutafuta umaalifu wa kijinga ww
@abalhassan681
@abalhassan681 19 часов назад
Msimpe usheikh huyu dogo,hana chochote kibri tu kimemjaa
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 20 часов назад
MAASHAA ALLAH SHEIKH ALLAH AKUZIDISHIA
@AlhajiMswaki-de3kb
@AlhajiMswaki-de3kb 21 час назад
Nyie mawahabi akil hamna wapuuz nyie
@salmaanfaqiih
@salmaanfaqiih 21 час назад
Inaonekana Muhamedi kwande hujui hata maana ya neno دابة ambalo limetajwa katika Mawlid Barzanji, hebhu fungua Google ambayo unakawaida ya kufungua ili kujifunza elimu zako kisha tafuta maana ya neno دابة , naona hili umetuekea mpaka Picha ya Mwewe hapo, naona kwenye hili hujataka kumfuata hata Sheikh Google
@saadasaleh3177
@saadasaleh3177 21 час назад
Allah auzidishe faswaha ulimi wako tuzidi kuelimika. Baraka Llahu fiyk
@othmansaid1567
@othmansaid1567 22 часа назад
Siyo wewe ulokimbia mjadala
@fatumamboweto
@fatumamboweto 22 часа назад
Kukusolewa ndio kujirekebisha
@salmaswaleh
@salmaswaleh 23 часа назад
acha mbwembwe zako bachu ......sisi tutasoma maulid mpaka kundoka duniyani.....wewe kama kweli hunge ondoka kwa kiti ulipokuwa mombasa .....kujadiliyana na ustadh said omar.....hacha mbwe mbwe .....wewe wajifanya usoma wapi kitabu isema utykuna mawali zukaa
@DalaAbdallah
@DalaAbdallah 23 часа назад
Tunakupenda shekh wetu kwa ajili ya Alla mashawwa
@nassoraliy3871
@nassoraliy3871 23 часа назад
Usufi ni uvundo
@OmaryZuberySheha-rc5qc
@OmaryZuberySheha-rc5qc 23 часа назад
Assalamu alaykum vipi hali sheikh Mohammed nilikuwa naomba utuendelezee darsa ya tafsiri ya Quran ulipoishia katika suratul mutwaffifiina (tafsiri ya imamu saad)
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr 23 часа назад
Nyinyi watu wa mabidaa masikio yenu mmetiwa risasi bachoo anataka dalili wapi wanyama walisema , au watu wote walikuwa viziwi hawajawadikia mmewasikie nyie tu uchizi mtupu
@chamamahassan8669
@chamamahassan8669 День назад
Jamaaani wenzetu wapaletine kwa niini hatuwazungumziii kama tunavyozungumza mambo haaya Waisilamu tuko waaapiiii Hivi hatuna uchungu wenzeetu wanakuufa tuuu Sie tupo katika kugawana makuundi tuuu Hivi haitokei siku moja tukaaacha tofauti zetu tukawafikiria ndugu zeetu wapalestine na walebanooon Wallah yauma khasaaa
@swadaamiri8109
@swadaamiri8109 День назад
Mungu akujaze kheli shekhe❤❤
@ramadhanikuhanga3324
@ramadhanikuhanga3324 День назад
Sawa Sheikh hutaki ushahidi alioongea mtu lakn hapo HADITHI zote ulizotoa kama ushahidi wako NI MENENO YA MLINDA MAKTABA ambayo niwatu wamesema na wewe unataka watu wakupe DALILI na wao watakupa MANENO YA WANAWAZUONI ambazo wewe huyapendi ila ungetoa HADITHI ya MTUME MUHAMMAD (SAW) anakataa jambo la MAULIDI bac hoja ingekua haipo kwao Sheikh mbn unajitekenya half wacheka mwenywe attiii???
@jumaamohamed4203
@jumaamohamed4203 День назад
Acha ufala wewe sasa Mende ni mnnyama?
@jumaamohamed4203
@jumaamohamed4203 День назад
Acha uongo muogope mungu KENGE wewe
@CishahayoCishahayo
@CishahayoCishahayo День назад
Asalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh, Sheikh wetu, Muhammad Bachu, Allah akuhifadhi na akuridhiye, Aamiin! Na akulipe siku ya qiamah: Jannah firdaus a' laa, Aamiin!
@HajiJuma-rb4or
@HajiJuma-rb4or 4 часа назад
Ameen
@AbuuAnuwar-ip7dr
@AbuuAnuwar-ip7dr День назад
Naona anataka mjadala tena kuhusu munkari na urongo wakwenye barazanji 😂😂😂
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze День назад
Piga 🔨 hiyo chupa ya mafuta taa, akadanganye wasiokuwa na elimu
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze День назад
Majadida kazi yao kusaka pesa za kusafirisha kila hujaji $300!, c mchezo!!!majadida wanauza akhera kwa dunia! Hawana jipya.
@hassanmohamedabdalla4108
@hassanmohamedabdalla4108 День назад
huu mqubuuri hawezi kutowa jawabu sahihi kwani waliotangulia ma qunuuri kama yeye wameshindwa basi yrye hutumia ujanja ujanjatu , ziko kwenye hadithi sahihi muujiza yamtumwetu SAW kabla kuzaluwa na baada kuzaliwa mpaka kifo chake , kwenye kitabu cha barzanji hakuna ndani haithi na Qurani
@alinassirmasoud3601
@alinassirmasoud3601 День назад
Mashallah shekhe wangu Allah akupe umri wenyekher n ww
@nassirzamzam9312
@nassirzamzam9312 День назад
Sense ni hisia in swahili language.
@nassirzamzam9312
@nassirzamzam9312 День назад
Na hao wanao kukashifu waombe mwenyezimgu kwa sababu akili wanazo lakini senses zao zimekufa mwenyezimgu azihuyishe senses zao Amin, wajue uislamu wao.
@iddimutua420
@iddimutua420 День назад
Maulid malipo Yake Ni WALI au mpunga ukishusha na maji ya tamu baasi hakuna zaidi hasara kubwa kwa yule atakae kosa wali kwisha huyo mana hakuna kingine zaidi si hapa sio akhera.
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 20 часов назад
Ushasema hahahaaaahahaaa
@nassirzamzam9312
@nassirzamzam9312 День назад
Sheikh mohd bachu usichoke kuwaongoza umma wa kiislamu mpaka pumzi ya mwisho ndugu yangu, kama babako alivyomaliza daawa mpaka pumzi ya mwisho jaza yako ni kwa mwenyezimgu .
@MachanoAme-it6cs
@MachanoAme-it6cs День назад
Nyie masufi mistake dalili ya kukataza maulid tafuta kwanza Aya ilo yakubali maulidi halaf jiulizen mtume yy hakuweka maulidi Wala maswahaba zake. Nynyi mmeatolea wapi Karne
@sadrupandu5948
@sadrupandu5948 День назад
Yaani bora kukaa kimya kuliko kuupotosha umma
@ibraa1157
@ibraa1157 День назад
We wacha kutafuta kiki na views Saa kumweka picha ya kiboko yako hapo ndio nini na ulimkimbia Kiarabu chenyewe kutafsiri n shida Ustadhi Izudhin bado yuakusubiria mombasa ukamjibu...😂
@hajikhamisi4087
@hajikhamisi4087 День назад
Hizi ibara unazikosea sio tafsiri zake .tumekatazwa kutafsiri kwa fikra zetu ..hii ni lugha ya mashairi inahitaji umakini wa hali ya juu ili kuelewa kilicho kusudiwa
@OmaryMikui-v6p
@OmaryMikui-v6p День назад
Kweli mxhasau mnawaita wenzen washirikina leo mmeitwa wakatilik mnalalamik
@ibraa1157
@ibraa1157 День назад
Naona ushapiga kizbao kisafi sana karibu kwenye vugu vugu la kumswifu na na kumswalia Mtume(s.w.a)