Тёмный
NHIF ONLINE TV (NHIFTZ)
NHIF ONLINE TV (NHIFTZ)
NHIF ONLINE TV (NHIFTZ)
Подписаться
Dedicated to providing quality health insurance to it's beneficiary.
WIKI YA VIJANA 2024
2:28
18 часов назад
NHIF KATIKA WIKI YA MADINI
2:58
18 часов назад
WIKI YA HUDUMA KWA MTEJA MKOA WA RUKWA
2:49
20 часов назад
KARIBU TUKUHUDUMIE
1:27
2 месяца назад
NHIF NDANI YA NANENANE
2:02
2 месяца назад
KILA MWANANCHI AKATE BIMA YA AFYA
1:02
3 месяца назад
RAIS SAMIA NA BIMA YA AFYA
2:56
3 месяца назад
WADAU WAFURAHIA HUDUMA ZA NHIF
1:03
3 месяца назад
NHIF WAKITOA HUDUMA SABASABA 2024
0:33
3 месяца назад
NHIF INAZIDI KUSOGEZA HUDUMA KWA WANANCHI
3:29
3 месяца назад
FAIDA ZA MAKUBALIANO BAINA YA ZHSF NA NHIF
14:56
3 месяца назад
NHIF IKITOA ELIMU MLIMANI CITY
2:24
3 месяца назад
NHIF YAENDELEA KUWASOGEZEA HUDUMA WANANCHI
7:42
4 месяца назад
NHIF INAVYOSOGEZA HUDUMA KWA WANANCHI
14:00
4 месяца назад
MATUMIZI SAHIHI YA KADI YA NHIF
0:58
6 месяцев назад
HOSP.YA MASANA HUDUMA ZA NHIF ZINAENDELEA
2:27
7 месяцев назад
KITITA CHA NHIF KIMEZINGATIA MAONI YA KAMATI
2:28
7 месяцев назад
HAKUNA GHARAMA ZA ZIADA KWA WANACHAMA WA NHIF
3:27
7 месяцев назад
HAKUNA MALIPO YA ZIADA KWA WANACHAMA WA NHIF
2:23
7 месяцев назад
Комментарии
@AllyMhenga-q5x
@AllyMhenga-q5x 3 дня назад
Nitumieni gharama zakujiunga mtu binafsi na mwenza na mtoto mmoja. Wekeza na Timiza.
@AllyMhenga-q5x
@AllyMhenga-q5x 3 дня назад
Naomba gharama za kujiunga
@RamadhanSadick-y6l
@RamadhanSadick-y6l 13 дней назад
Jmn mtuwekee n namb tujue tunapataj hiz bima
@KandoreHamic-yy6cl
@KandoreHamic-yy6cl 17 дней назад
Nahitaji bima ya afya
@MarthaHaule-eh3vw
@MarthaHaule-eh3vw 22 дня назад
Je muhusika alifariki inakuwaje?
@devothaignatius5256
@devothaignatius5256 26 дней назад
Jmn mbn mnatuchanganya mala laki mbili na 40 mala laki mbili na 90
@StephanoWillimwila
@StephanoWillimwila Месяц назад
Naulizaa,, ni kweli kwa sasa hamtoi KADI za bima badala yake wanachama watumie no zao za NIDA
@MerryMatata
@MerryMatata Месяц назад
Je watoto wa hali ya chinii na wazee wasiyo jiweza jinsi ya kupata elimu ya kupata kadi mmesema tukatie mashuleni makanisani msikitini kenye mashirika mbalimbali lakini ni maneno tu ukienda bima wemeweka miaka 18 - 59
@MerryMatata
@MerryMatata Месяц назад
Jamani mbona ni wanafunzi wa chuo tu kuna watoto wanapoteza maisha kwa sababu tu ni mwanafunzi wa shuleya serikali na mzazi ajui pa kukatia bima mnasema tukatie mshuleni lakini utaratibu haupo ni maneno tu watoto wa hali ya chini amtuagalii tunateseka
@mwakapalamwakapala8317
@mwakapalamwakapala8317 2 месяца назад
Kwanini baadhi ya magonjwa na vipimo havimo bima ya afya?
@elimuvisioncenter
@elimuvisioncenter 2 месяца назад
HAMNA KITU NYINYI NHIF ... HAO MAMENEJA WENU WA MIKOANI HASA MENEJA WA MKOA WA MWANZA HAFAI ... MIMI BIMA AMBAYO NI HAKI YANGU MPAKA LEO MWAKA WA PILI SIJAPATA NA HATA UTARATIBU WA MALALAMIKO HAUELEWEKI ... NIMEUMIA SANA NA NIMEKATA TAMAA NA NYINYI.,
@MerryMatata
@MerryMatata 2 месяца назад
Je watoto azia miaka 0 . Hadi 17 nisaidie
@BonepherceMichael
@BonepherceMichael 2 месяца назад
Naomba kujiunga na mpango wa huduma ya Bima ya afya ya kifamilia
@NgiliniMohamedi
@NgiliniMohamedi 2 месяца назад
Bima ya mtoto inapatikanaje na bei gani
@djmsafii9424
@djmsafii9424 2 месяца назад
Mna patikana wap naitaji bima
@jonasmsigwa17
@jonasmsigwa17 3 месяца назад
🤔 tunaotaji bei na aina za vifurushi
@christiannyamamba9089
@christiannyamamba9089 4 месяца назад
Je ninaweza kusajili mtoto wangu Mama yangu na mtumishi wangu wa ndani kwa pamoja wakapata bima ya afya?
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 5 месяцев назад
Katika mashirika ya Serikali lenye uhuduma mbovu ni hili shirika, sijui ofisi yao gani ambayo watumishi wake wako active ila Makao makuu ya hili shirika kwa dar es salaam hadi MA file wanapoteza , bora utunze tu control number mana wateja Mara kadhaa hufanya application upya na picha huleta upya , nadhani Masjala yao haina watu wazoefu kabisaaa ni aibu kwa Taifa , Ushauri: Wake wa Viongozi waume zao wawatafutie Biashara za Kufanya na sio kukaa maofisini huaribu saaana kazi na wananchi wanalalamika huduma mbovu saaana, kesi za MA faili kupotea ni aibu
@NamatovuLumama
@NamatovuLumama 5 месяцев назад
Samahani kifurushi cha timiz afya.beigani
@johnneema4476
@johnneema4476 5 месяцев назад
Wapedwa naomba kujuwa kifurushi cha mama na mtoto Kwa mwaka kinagarimu kiasi gani please
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 6 месяцев назад
Kamati ambayo hawachangiii.
@MaengelaDomician
@MaengelaDomician 6 месяцев назад
Unapokuwa na bima ya afya ukaugua na kulanzwa nakuongezewa damu inabindi uchangie tena damu
@SalumuBakari-w8r
@SalumuBakari-w8r 6 месяцев назад
Hamna kitu mzee,bima labda ya mfanyakazi,ila vifurushi😢😢😢 hamna Kwa magonjwa yasioambukiza
@ashamfinanga727
@ashamfinanga727 7 месяцев назад
Kwa nini mmeondoa bima ya watoto wachanga miaka 0-5?
@enockabel
@enockabel 7 месяцев назад
Well spoken
@beatricekihehe3733
@beatricekihehe3733 7 месяцев назад
Hongereni Massana hospital mko vizuri kwa huduma ya NHIF
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 7 месяцев назад
Kwa kweli Mama watendaji wake wanamvurugia sanaaaa hakuna kitu kikubwa kama hospital matibabu ya watanzania hqsa wamama watoto na wazee ni wa kujali sanaaaa
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 7 месяцев назад
Usipoteze muda yako kwenye vipeperushi
@ernestrodgersmalimbwi7328
@ernestrodgersmalimbwi7328 7 месяцев назад
Iko very shallow, mambo mengi hamjaeleza.hizo gharama za vifurushi za 250000 ni kwa mtu mmoja au kwa alio ambatana nao (najali) .gharama ya hivyo vingine hamjaeleza ,mko kama mna tuzugazuga tu, jipangeni mtuelimishe vizuri...
@EdwardSamwel-c7l
@EdwardSamwel-c7l 7 месяцев назад
Huyo mama ni muongo anajibu kisiasa, wataingiaje wakati hakuna barua ya mwongozo wowote shule zamisingi huko vijijini. Ukienda shuleni mwl anakwambia hatuna taarifa hizo hii ikoje. Aache siasia
@fredyfile623
@fredyfile623 7 месяцев назад
Ishaurini serikali itenge chanzo cha uhakika cha mapato ili kiweze kusaidia hizo gharama zinazo wazidi kwamfano mapato yoote ya mbuga kama ya serengeti yasingeguswa ili yaingie kwenye huu mfuko ili karibia kila m tz apate huduma nzurii.
@fredyfile623
@fredyfile623 7 месяцев назад
Kiukweli bima naomba mjitafakari upya bado sijapenda utoaji wenu wa huduma bcz kwanza kujisajili tu ni shidaa sana kila mtu anaongea lake pia malipo kwa hosp za prvt nichangamoto kubwa shirikisheni wadau mbali mbali ili muweze kupata mawazo mazurii.
@paschalliving657
@paschalliving657 8 месяцев назад
Rudishen utaratibu wa zaman Wazaz wengine vipato vdg
@RizikiAbedi-u4w
@RizikiAbedi-u4w 9 месяцев назад
Mimi nipo Pemba office yenu Iko wapi?
@NasraMasoud-o2z
@NasraMasoud-o2z 9 месяцев назад
Wengine hawasomi private wanasoma st kayumba inakuwaje jaman mbona mnatuumiza
@PerisChidodo
@PerisChidodo 9 месяцев назад
Namba zenu hazipatikani
@PerisChidodo
@PerisChidodo 9 месяцев назад
Mbona namba zenu hazipatikani
@RichardYomo
@RichardYomo 11 месяцев назад
Kwanini hamuweki namba za kuwasiliana na huduma kwa mteja
@RichardYomo
@RichardYomo 11 месяцев назад
Kwanini hamuweki namba za kuwasiliana na huduma kwa mteja
@RichardYomo
@RichardYomo 11 месяцев назад
Naomba zenu za huduma kwa mteja
@justineaugustino7166
@justineaugustino7166 11 месяцев назад
mimi ni mstafu nataka bima bira ndoa naomba maelekezo
@estherkisamo1351
@estherkisamo1351 11 месяцев назад
Huo uchangiaji ni kila mwezi au kwa mwaka. Na pia mbona hamnaweka sehemu ya mtoto tu!maana kunawatoto wengine hawana wazazi inakuaje
@allmsuya2305
@allmsuya2305 11 месяцев назад
Vip kuhusu bima ya kikund
@sophiakilindo1189
@sophiakilindo1189 11 месяцев назад
Kama uyo mtoto ana mzazi angalieni jamani nyinyi wenzetu mnauwakika wa matibabu amuwezi kujali kabisa afya ya watoto. Akumbukwe baba wa watanzania
@annawasha4446
@annawasha4446 Год назад
Elimu Nzuri sana ,NHIF idumu milele
@annawasha4446
@annawasha4446 Год назад
Kazi Nzuri sana ,namuomba Mungu aitunze NHIF Kwa manufaa ya wengi na uhakika wa matibabu
@mohammedMbwana
@mohammedMbwana Год назад
Great work Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu
@IrinNimrodi
@IrinNimrodi Год назад
Je mtu mwenye bima akishindwa kuilipa iyo gerama inakuaje
@AndrewMwenisongole-c9s
@AndrewMwenisongole-c9s Год назад
Mimi ninawatoto wa 3 ivyo viturushi mlivyoweka vya familia garama ipojuuu Sana 720,000 Kwa mwaka Mimi kipatochangu nidogo akiwezi kumudu kulipa iyoela, maoniyangu mrudishie tuu iyoelfu 50400 kwakila mtoto hapo wengi tutaweza kulipia
@AndrewMwenisongole-c9s
@AndrewMwenisongole-c9s Год назад
Kama mtoto anamzazi halafu shule anayosoma aijajiunga na mfumo wa nhif hapo inakuaje, jamani rudisheni tuuu huoutaratibu wa zamani