Тёмный
Global TV  Online
Global TV  Online
Global TV Online
Подписаться
NUMBER ONE Media House Channel for Breaking News, Entertainment News. Get to know what is happening in Tanzania through GLOBAL TV ONLINE.
Комментарии
@GerivasiSanga
@GerivasiSanga 3 часа назад
hogera sana mungu akuongoze kwenye safari zako zote pia muweke mungu mbele
@azizamvungi1871
@azizamvungi1871 3 часа назад
Watoto wangu pambaneni mtafutie pesa zenu.
@GerivasiSanga
@GerivasiSanga 3 часа назад
hogera sana baby
@AllyNassor-de6ck
@AllyNassor-de6ck 3 часа назад
Kwisha habari yenu
@abdulnassor6132
@abdulnassor6132 3 часа назад
Mnachmbua Nini na mpira NDIO unaanza?
@rodgersshitobelo7607
@rodgersshitobelo7607 3 часа назад
Hizi double standards mnazozifanya walahi zitawarudia na sumu kali kuzichoma nafsi zenu, ni aibu sana kupuuzia maumivu ya mwenzako. Inanishangaza kuutibu moyo wakati ubongo umekufa tayari. Endeleeni kuongea porojo za kuwabakisha kwenye nafasi mlizopo Mnajichochea kuni za moto wenyewe 😢
@HappyChuwa-gs8bw
@HappyChuwa-gs8bw 3 часа назад
Comedy
@Electronicmediatz
@Electronicmediatz 3 часа назад
Hiiiiii imenda
@JumaMkiji
@JumaMkiji 3 часа назад
Wakisema polisi niwauaji wanatetewa nangazi zajuu sasa apo mnasemaje atupo salama kabisa
@mussaelias3535
@mussaelias3535 3 часа назад
Muongo. Vipi amemdanganya nani acheni atoe taarifa serikali isipotoa taarifa shida viongoxi wakitoa taarifa shida
@peterjosephat6685
@peterjosephat6685 3 часа назад
Mmeanza kudanganya watu kama vile watoto
@beinafuu6219
@beinafuu6219 3 часа назад
Wauwaji mbona hamtak waguswe kila ck chadema hamnaqengine wakuwajadiiriwa mnawapandisha bule
@OlgaAmboulou
@OlgaAmboulou 3 часа назад
Zuchuuuuu Forever Queen ❤️❤️❤️❤️💯👍👍
@GRas-d7p
@GRas-d7p 3 часа назад
Wabongo kiboko yenu ni Johnson and Johnson Oil mumepakwa Na P Diddy😂😂😂😂hata huyu ameliwa
@renatusjeremiah
@renatusjeremiah 3 часа назад
Kufikia hatua ya kununua bando unafikiri bado tuko watoto huo niuongo
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 3 часа назад
Sili anayo mungu tu ndio kila kitu
@donaldbenedict5761
@donaldbenedict5761 3 часа назад
Giza lililo gubika Tanzania liligubikwa na nani yeye alikuwa makamu wa rais muulizen rais nani algubika Tanzania msiwe mnapiga vigelegele mnashindwa kuhoji CCM ndio wamefanya nchi hii iwe hivyo nasasa tunaenda kwenye mipasho
@francepaul7711
@francepaul7711 3 часа назад
😅😅
@Misheckkazilist-cv2hb
@Misheckkazilist-cv2hb 3 часа назад
Huyu police anapaswa kupimwa hakili namashaka na afya yake ya hakili lijingaa lijangaa tu
@francepaul7711
@francepaul7711 3 часа назад
😂😂😂
@TrustElbashil
@TrustElbashil 3 часа назад
Acha uongo wewe mlikuwa wapi na huo ni mchezo wa ccm hao mnaosema ni mbinu za ccm Sasa hao mlio wakanatanwantonge unamdanganya nani chalamila wewe
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 3 часа назад
Muongo
@OlgaAmboulou
@OlgaAmboulou 3 часа назад
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
@OlgaAmboulou
@OlgaAmboulou 3 часа назад
Zuchuuuuu Forever Queen, c'est bien que tu es un peu grossit, ça te va bien et tu très attirante et belle ❤❤❤❤🎉🇨🇬
@EricUbalijoro-x1l
@EricUbalijoro-x1l 3 часа назад
Kusifia ujinga mwambieni kama watu wanatekwa kila kona na kuuliwa ovyo hakuna Amani
@ProsperKipala
@ProsperKipala 3 часа назад
Shauri yako weongea wezio wanakusikia
@barnaba3037
@barnaba3037 3 часа назад
Chalamila bana mda mwingine haeleweki anachoongea
@Mkombozisarumu
@Mkombozisarumu 3 часа назад
Kaka usiogope kufa ogopa zambi tu
@JumaMkiji
@JumaMkiji 4 часа назад
Nyinyi ndio mazuzu uyo lipumba chawa wenu nyinyi niwauaji sasa kwanini alikamatwa katika ndege
@Hapygideon
@Hapygideon 4 часа назад
Mnatudanganya hivohivo na watu tunamacho hotelini hapo bwana,,sema tuu mnataka like tunawapa ila sio kutudanganya
@DianaLyimo-be7yp
@DianaLyimo-be7yp 4 часа назад
Kumbe waliouliwa walikuwa sio watu ni giza😢😢😢😢
@bongo39
@bongo39 4 часа назад
Mama myngu atakulindana wanafiki wachawi wanga majambazi wabaguzi mashoga walevi fitina watumwa na hna chama cha kukishinda ccm mpaka nwisho wa dunua waacheni wapige kelele waende kwa mabwana zao waombe msada hawana watakalo pata
@TheresiafaustineMeela
@TheresiafaustineMeela 4 часа назад
Mpo vzr na penz lenu Huba, ila nenga usivae heren Japo hayanihusu
@NasibuAlban
@NasibuAlban 4 часа назад
Mpira uliopigwa na kibu ungeenda kwa ngoma ingekua offside ila moira uliopigwa na ngoma ulitokea kwa kipa
@dianaleo6067
@dianaleo6067 4 часа назад
Hamna hata haya msamaha hamtapewa msubiri sana. Waonevu wakubwa! Haya mtuambie ni nani anaetuma watekaji? Watanzania sio wajinga tena kenge nyie! Mafisadi wakubwa!
@mlewamlewa976
@mlewamlewa976 4 часа назад
Wamenyakanyaga tigo😢
@FrankJeremia-i8c
@FrankJeremia-i8c 4 часа назад
Hogera kak
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 4 часа назад
MANYUMBU WANASHANGILIA
@pastorgodwinchengula7848
@pastorgodwinchengula7848 4 часа назад
Chama gani kilisababisha Hilo giza lililokuwa limegubika Tanzania jamani na ni kipindi gani hicho kilikuwa?
@masagaruoti8244
@masagaruoti8244 4 часа назад
Nikajua ni Burna boy tu kumbe wapo weng
@AgnesNjau-iq3gf
@AgnesNjau-iq3gf 4 часа назад
Sasa kama hakuwafanya chochote na mliitwa muangalie move why unataka afungwe, hahahaaa... Lazima kunakitu moyon kinamaumivu
@maryfranknamkumba9182
@maryfranknamkumba9182 4 часа назад
Kiburi si MAUNGWANA