Тёмный
Lukman Fafa
Lukman Fafa
Lukman Fafa
Подписаться
LUKMAN FAFA ni msani wa maigizo kutoka zanzibar napia ni voice over ambae kazi zote hizo anazifanya akiwa mwenyewe, tuma maoni yako kwaku comment video hizi.

Namba hizo ni kwa wanaohitaji kufanya kazi na Lukman fafa tu kazi za matangazo, film n.k
+255 777 444 733.

Follow me on Instagram
@lukman_fafa

Follow me Tiktok
@Lukmanfafa
RUBY | SIMULIZI YA MAPENZI | Final
42:16
Месяц назад
RUBY | SIMULIZI YA MAPENZI | Epsode 05
1:06:17
2 месяца назад
GUNDU LA MAPENZI 💔
5:43
3 месяца назад
HIZI NDIO DALILI ZA MTU ASIEKUPENDA TENA
2:29
4 месяца назад
KOSA LANGU |Swahili future film| FULL MOVIE
1:08:05
5 месяцев назад
FUMANIZI LA VOICE NOTE ZA MCHEPUKO
3:13
6 месяцев назад
NISAMEHE RAMADHANI |Swahili future film| FULL MOVIE
1:11:29
7 месяцев назад
MIZANI YA IMANI |Swahili future film| FULL MOVIE
1:35:13
7 месяцев назад
MIZANI YA IMANI Ep |04 Final|
22:38
7 месяцев назад
MIZANI YA IMANI Ep | 03 |
20:15
7 месяцев назад
MIZANI YA IMANI Ep | 02 |
17:51
7 месяцев назад
MIZANI YA IMANI Ep | 01 |
34:59
7 месяцев назад
MIZANI YA IMANI |Official trailer| 2024
2:31
7 месяцев назад
MANENO YA MWISHO YA HAYYAT ALI HASSAN MWINYI
1:27
7 месяцев назад
KIZA || SWAHILI SHORT FILM || 2024
11:07
8 месяцев назад
RUBY | SIMULIZI YA MAPENZI | Epsode 04
1:00:24
8 месяцев назад
ZAWADI YA SIKU YA WAPENDANAO 🎁 💝
4:21
8 месяцев назад
KOSA LANGU |Official trailer|2024
2:10
8 месяцев назад
Комментарии
@Anzelim_254
@Anzelim_254 2 дня назад
Filamu zako nazipenda sana lukman 💪👏
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 2 дня назад
Shukran san
@MikeMakame
@MikeMakame 6 дней назад
Upo vzl
@magrethgerald8954
@magrethgerald8954 8 дней назад
Kila kazi unayofanya ni kamma unanifanyia mimi😢😢 sina raha na mapenzi sijui nmeyakosea nn😭😭
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 8 дней назад
Pole sana
@AbdillahRamadhan-z2c
@AbdillahRamadhan-z2c 23 дня назад
❤..Mpipo ndugu mumetisha kazinzur sana mung awape nguvu yakuanda kaz kalizaid yahapo
@rahmafarouk7995
@rahmafarouk7995 25 дней назад
Kaz nzur fafa❤
@nasheblack6725
@nasheblack6725 27 дней назад
Nice
@alkindymahmoud1580
@alkindymahmoud1580 28 дней назад
Mganga😂😂
@MbongoBoy-yg9tq
@MbongoBoy-yg9tq 28 дней назад
Kz nzr nimeifhm mana ya dagoo
@RukaiyyaRukaiyya9
@RukaiyyaRukaiyya9 28 дней назад
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@BakariBamvua
@BakariBamvua 29 дней назад
Hongera sna bro,kwakazi nzuri.mm nafatilia movie zako nako sna hii movie umefikiria sna bro Kenya 🇰🇪.
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 28 дней назад
Shukran san kk
@Director_feddy
@Director_feddy 29 дней назад
Ni mfuatiliaji mkubwa sana wa kazi zako kaka, ni kipawa Kikubwa ulichojaliwa 🙌🏽 But kaka Natamani sana niwe Familia, Kwamana kwenye uwezekano nkuchangie CONTENT. Tafadhali sana nifikirie• Kwamana kutokana na ukarimu wako naweza kupata nafasi ya kuwa Familia😢🙏🏻.
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 29 дней назад
Shukran san
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 29 дней назад
Nitafute WhatsApp 0777444733
@AbdallahMohd-zy9ny
@AbdallahMohd-zy9ny 29 дней назад
Kas nzur bast
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 29 дней назад
P1
@AbdallahMohd-zy9ny
@AbdallahMohd-zy9ny 29 дней назад
Kaz nzur
@DicksonEliakimu
@DicksonEliakimu 29 дней назад
Saf sana kaka sanaa Yako Ina fundishaa❤❤
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 28 дней назад
Shukran
@MohamedHaji-l2d
@MohamedHaji-l2d 29 дней назад
sana mwaisa
@aloycemasoko1333
@aloycemasoko1333 29 дней назад
Nakubal sana kazi zako lukman
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 29 дней назад
Shukran san
@MRBRAVO-zf7zg
@MRBRAVO-zf7zg 29 дней назад
Vip fafa Mbn sound mwanzo hatuzielewu apo nn shida
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 29 дней назад
Sound ilikua ina haki miliki
@MRBRAVO-zf7zg
@MRBRAVO-zf7zg 29 дней назад
@@lukmanfafa1997 kwaiyo wamepiga copy sio basi sawa ila umaskini unahitajika sana kaka kwenye haya mambo
@masoudmakaran9156
@masoudmakaran9156 Месяц назад
Abdul basti faki , you are the key trend to advertise our generation. May Allah bless you broo ❤👋
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
Thanks bro 📌
@masoudmakaran9156
@masoudmakaran9156 Месяц назад
@@lukmanfafa1997 my classmate ...
@JumaThabit-c2y
@JumaThabit-c2y Месяц назад
Nimejaribu kuifatilia hongereni
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
MashaAllah
@suleimanlila9902
@suleimanlila9902 Месяц назад
Hii ni bwejuu kabisa kitaani kwangu😂
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
Yes bwejuu
@bridalhunter5279
@bridalhunter5279 Месяц назад
Nesso boy🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
🔥
@MulhatAbdallahOmar
@MulhatAbdallahOmar Месяц назад
Nice
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
📌
@AbdulShaweji-nr3wf
@AbdulShaweji-nr3wf Месяц назад
Kwa uelewa wangu DAGO ni kitendo cha kuweka kambi mahali fulani kwa lengo la kufanya jambo...kwenye filam yako kwa haraka haraka DAGO imekuwa na maana kwamba mke wa makame amekaa kambi kwa mtaalam (mganga) kwa lengo la kupata matibabu ya tatzo la kutokuzaa... kwenye DAGO wateja wengi hasa wanawake ni kweli wanakumbana na matatizo ya kudaiwa kufanya ngono na waganga au wasaidizi wa waganga....ndugu muaandish hukuitendea haki jina la hiyo filam tuligetemea kuona vituko vingi vya mganga baada ya mke kuachwa Dago scene za mganga ndizo zlizokuwa zkibeba story yote ...👏👏🤝 Bro #lukmanfafa napenda kazi zako na juhudi zako pia 🫡 next time jaribu kuielezea vizur story nikiwa na maana visa,matukio na chanzo chake pia kipi mwisho wake ni iwe solution au majuto kwa muhusika mkuu ambapo yote kwa yote jamii ipate funzo 👏👏👏 keep it bro🫡
@AbdulShaweji-nr3wf
@AbdulShaweji-nr3wf Месяц назад
Skutegemea kuona scene za mganga ziwe kwenye flash back hasa zile zinazoonesha uzito wa story nzima
@Okanatz1
@Okanatz1 Месяц назад
This is how we do!
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
📌
@mundhirhamad7341
@mundhirhamad7341 Месяц назад
Congratulations 🎉
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
Shukran sana🎉
@mundhirhamad7341
@mundhirhamad7341 Месяц назад
Good
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
Upendo 📌
@IssaBlackjesus
@IssaBlackjesus Месяц назад
Nisiwe mnafki sijaelewa kamaanisha nini luckman kama haina muendelezo basi hujaeleweka storry inamakusudio gani ebu nieleze na kama huna mpango hapo ndo imeisha basi nieleze ulikusudia nini nikutungie storry uiendeleze usizarau luckman
@Mukrimmzee-h4t
@Mukrimmzee-h4t Месяц назад
Umetisha bro
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
Shukran san
@AminaAli-m2w
@AminaAli-m2w Месяц назад
ipo poa sanaa 🌹🌹🌹🌹❤️❤️❤️❤️❤️❤️🌹🌹🌹🌹🌹
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
📌
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
❤️
@IlhamAbdullah-o9t
@IlhamAbdullah-o9t Месяц назад
😂😂ni nzur tam hakun part two jmn
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
😃 Iyo ni 2 in 1
@MamaArfan-yi2gh
@MamaArfan-yi2gh Месяц назад
❤❤ ipo poa sana mashaa Allah endelea kupambana mdg wang utafika mbal sana 🙏
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
Thanks sis ❤🎉
@maigu
@maigu Месяц назад
💪💪💪
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
Shukran kk
@IlhamAbdullah-o9t
@IlhamAbdullah-o9t Месяц назад
Iko sw ❤❤❤
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
Thanks
@SofyYussufali
@SofyYussufali Месяц назад
Pambe yn napendaga km ivi
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
MashaAllah
@clementinamwendo
@clementinamwendo Месяц назад
mm nkushauri tu kaka watu wengi huwa hawajui maana za maneno hasa kichwa cha movie ukiifumbafumba mtu akisoma akashndwa kuelewa title ya movie szan kama atapata nguvu ya kuitazama movie ko nakushauri tumia maneno ya kawaida hasa kuliko mafumbo kwenye title za movie zako,,kwa mfano mm hata sielew dago inamaana gan,,,kwahyo ili uwafanikiwe tazama waigizaji wenzio wanaweka maneno yapi kwenye title ili upate kujifunza naamini utafanikiwa sanaaa,,na inshort asilimia kubwa ya wanadamu tunapenda movie za mapenzi i mean love story,,,,mtazame kelvin,,,rk pamoja na clam utajifunza vitu
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
Shukran san kwa maoni yako
@Dr_Cayden_Official
@Dr_Cayden_Official Месяц назад
Kali sana mwalimu ❤
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
Shukran san
@Dr_Cayden_Official
@Dr_Cayden_Official Месяц назад
​@@lukmanfafa1997 nawee piya mwalimu wngu ❤
@EmmyLove-q2e
@EmmyLove-q2e Месяц назад
Iko poa sana❤
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
@wahangaproduction3861
@wahangaproduction3861 Месяц назад
Unyam mwingi sanaa❤❤
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
🔥
@fabiosoudtz
@fabiosoudtz Месяц назад
🎉
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
🎉
@TuyizereSafuruPapaYusra
@TuyizereSafuruPapaYusra Месяц назад
Sajamaliza yote lakini naona itakuwa nzuri kbs naomba musichoke
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
📌
@TuyizereSafuruPapaYusra
@TuyizereSafuruPapaYusra Месяц назад
Ndugu zangu hapa Mimi ni Munya Rwanda lakini namu like naku Sabuscribe naku coment naomba nanyi mufanye kwa wingi samahanini ❤
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
Vizur san 🎉
@IsmailJuma-n4c
@IsmailJuma-n4c Месяц назад
𝐀𝐭𝐚 𝐮𝐬𝐰𝐚𝐳 𝐧𝐝𝐮𝐠
@FatnaRamadhani
@FatnaRamadhani Месяц назад
❤❤
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
@millancomedy4614
@millancomedy4614 Месяц назад
Somo umeisha Abdul bast hapa fuoni melitano sheli
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 Месяц назад
Ohhhh nambie tajir🎉
@Megatv275
@Megatv275 Месяц назад
Fire tunaisubiri
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 27 дней назад
Ipo tayar
@EddyegideBakunda
@EddyegideBakunda Месяц назад
Ongezen dakka jmn
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 27 дней назад
InshaAllah
@ThomyJohn-i6d
@ThomyJohn-i6d Месяц назад
Kaka unaweza kueli, ❤❤❤ Toa muvis basi kaka
@lukmanfafa1997
@lukmanfafa1997 27 дней назад
Zipo tayar