*WITO (Isaya 49:1-26.) (A-Kurudisha Sauti Ya Mungu tuliyoipoteza (B-Kutufanya Silaha (C-Jina la Yesu Kutukuka kupitia Sisi (D-Kuwarudisha Waliopotea Kwa Mungu (E-Wafalme, Watawala Na Wakuu Kusujudu kwa Mungu (F-Kufanya Agano Na Mungu (G-Kanisa kutembea ktk nguvu za Mungu (H-Ardhi Kupatanishwa Na Mungu (I- Ulimwengu kuinuliwa Upya (J-Kurithishwa Urithi tuliokuwa tumeibiwa (K-Uhuru Kwa Wana wa Mungu (L-Giza kuwa Nuru (M-Walio Na Njaa Kushibishwa (N-Kutokusahaulika Na Mungu (O-Ongezeko La Haraka (P-Kutoonewa Na Shetani