Тёмный
King Po Tv
King Po Tv
King Po Tv
Подписаться
Karibu King Po Tv Kwa Habari Na Matukio Yanayojiri Kila Siku Bonyeza SUBSCRIBE Kisha Alama Ya Kengere Ili kuwa Wa Kwanza Kuburudika Na Kupata Habari Zetu Kwa Haraka Zaidi.
instagram @kingpo__TV
Contact us:+255 753 820 814


KAMA UNAOTA NDOTO ZA AINA HII USIPUUZIE
35:22
14 дней назад
Комментарии
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 8 минут назад
MDOGO WANGU UNAO MCHANGO MKUBWA SANA KWA DADA YANGU ALIOSINGIZIWA MAMBO MENGI YA USWAILI MUNGU ATAMBALIKI HUYO MAMA ALIMA DADA YANGU ANDELEA NA KUMUOMBA MUNGU WAKO NA ANDELEA NA MAOMBI MUNGU YUPO PAMOJA NA WEWE NA FAMILY YAKO AMEEN 😮😮😢😢😢
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 19 минут назад
MBONA UNAMTETEA KUUSU GAZA AU MCHAWI MWENZAKO 😂😂😂
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 20 минут назад
KATIKA CHANNEL ZOTE BONGO NAZITIZAMA RAKINI WEWE KING POO UPO KATIKA UBOLA WAKO NAKUFAWATILIZIA SANA CHANNEL YAKO KAMA UNANITAMBUA MDOGO WANGU UBALIKIWE KWA KAZI YAKO MZURI ❤❤❤KING POO
@OtiLusia
@OtiLusia Час назад
Duuuu hindoshida yakuto kumwamin mungu hujiaman kamanipepo ashindwe apoutaita mchawi aliko kumbe mchawi mwenywe mludie mungu waganga wa nini mweeeeeee😂😂😂😂😂😂😂
@mcjob2268
@mcjob2268 3 часа назад
Unayoyaongea katika utanguliz hayana maana yyte maelezo meng hayana maana na hueleweki go to the poit
@ALEXONYANGO-k7q
@ALEXONYANGO-k7q 3 часа назад
Masebu arex
@ElizaMasaka
@ElizaMasaka 5 часов назад
Duu mh
@jamesnjuguna2906
@jamesnjuguna2906 7 часов назад
Ndawa iko sawa io
@PaulinaPaulina-r4c
@PaulinaPaulina-r4c 9 часов назад
Pole sana ndug yang fanya uondok apo😊
@user-fy7dr5cr9m
@user-fy7dr5cr9m 9 часов назад
Chimba unye
@PaulinaPaulina-r4c
@PaulinaPaulina-r4c 9 часов назад
Pole.kaka.acheni.umalaya jamani aamliziki na wake zenu eeeee aya sasa ùmekuta bikla 😂😂😂😂😂😂😂😂
@AnnoyedCrosswordPuzzle-wh1oz
@AnnoyedCrosswordPuzzle-wh1oz 11 часов назад
Kwan hawa wanawake wa TZ wako vipi jamani???
@EnacutteJuma
@EnacutteJuma 11 часов назад
oyaaa demuuu achaaaa ujingaaa pambnaa naww ustfutee kiki
@TwitikeMwakyonde
@TwitikeMwakyonde 11 часов назад
Tamaa,iyo
@JOHNNYAMHANGAMACHUGU
@JOHNNYAMHANGAMACHUGU 12 часов назад
Ila kwakwel🤫🤫🤫
@pascalmsechu6874
@pascalmsechu6874 14 часов назад
Mawanawake ya uswahilini Dar..ya hovyo kwel.. kaz hayatak kutwa kuangaika kwa Waganga ili yawe machawi..
@PauloLukmay
@PauloLukmay 17 часов назад
Usifanye ujinga wako afu unaweka mtego mwisho unakunasa mwenyewe
@YusterMhozya
@YusterMhozya 20 часов назад
Shika ulichonacho, tamaa mbaya sana !! Wanawake tujiheshimu na kina baba pia mujiheshimu..!!aibu mpaka kwenye uzao wenu,poleni sana...😮
@YusterMhozya
@YusterMhozya 20 часов назад
Wanaume kaeni makini mtaisha...!!sio kila mwanamke ni wakuoa.😅
@HusseinSuleiman-g3b
@HusseinSuleiman-g3b День назад
Njoo uishi kwangu
@muksiniMudrikat-v3z
@muksiniMudrikat-v3z День назад
Pambana kaka nakukubali
@KevinKapinga-c2r
@KevinKapinga-c2r День назад
Hao viumbe hawafai atokee mbali uko
@Stephanisimwinga
@Stephanisimwinga День назад
Ila wanaume wengine huwa tuna kuwa vineg'ang'anizi pasipo kujua huyu mtu anamtu ko nikitu Cha kujifunza kwa wale ambao Bado tupo single
@ANNERMussa
@ANNERMussa День назад
Jamanipole sana dada ilatujifunze
@agnettakamugisha4984
@agnettakamugisha4984 День назад
Very well said Dudu Baya Kongole. Awesome interview👏🏾👏🏾👏🏾💪🏾❤️❤️🇹🇿💙
@user-pw2sw1sk1b
@user-pw2sw1sk1b День назад
Amefanana nae.had.mdomo😅 mungu.awahifadh marehem wote😢amiin
@user-st3hv8pi9i
@user-st3hv8pi9i День назад
Sema jasili haachi asili ukishajuwa kilochokuyumbisha basi ni kuanza upya vibaya ni kufirisika ukiwa ushazeeka
@MankaMasawe-k9e
@MankaMasawe-k9e День назад
mama unatisha
@user-fq3ww5yv3i
@user-fq3ww5yv3i День назад
Gai nikwel hio mbn 😢😢😢😢😢
@AbudoSumali
@AbudoSumali 2 дня назад
😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@MasokaNihatu
@MasokaNihatu 2 дня назад
Kweli uyu dada tuna sema nimalaya Juwa maicha nihatari
@MasokaNihatu
@MasokaNihatu 2 дня назад
Kilichosababicha uyo mudada kufanyahivo nimaichatu
@MasokaNihatu
@MasokaNihatu 2 дня назад
Maicha nihatari
@MasokaNihatu
@MasokaNihatu 2 дня назад
Namimi namtaka uyodada awemke wangu
@MasokaNihatu
@MasokaNihatu 2 дня назад
Hasala
@MasokaNihatu
@MasokaNihatu 2 дня назад
Mimi nataka namba zamuganga kunawengi
@MasokaNihatu
@MasokaNihatu 2 дня назад
Mwandichi wahabari unamaswali mengi kwanini
@MasokaNihatu
@MasokaNihatu 2 дня назад
Pôle dada uruma sana
@MasokaNihatu
@MasokaNihatu 2 дня назад
Umalaya hatari
@MasokaNihatu
@MasokaNihatu 2 дня назад
Hahhhhhh chida
@MasokaNihatu
@MasokaNihatu 2 дня назад
Kime umana
@MercySanga-sd1ne
@MercySanga-sd1ne 2 дня назад
good job mama ❤❤❤
@user-nh9fl5tv9u
@user-nh9fl5tv9u 2 дня назад
Sikilakitu uweke wazi utakufa masikini mbona huna alili wewr
@FaidaHamidu
@FaidaHamidu 2 дня назад
Musimlaumu inawezekana mume wake apeleku moto vizuri ndomana anachepuka
@IssaSabuni-b2q
@IssaSabuni-b2q 2 дня назад
Pole blaza hiyo mwanmke ni daladala anapanwa na Kila mtu aludi morogoro aka lime mpunga
@YustoInosend
@YustoInosend 2 дня назад
Angekuwa ni mke wangu ningesema wamalizane na mgnga atajua mwenyewe na to ba juu. Asamehewe na mungu
@JombaTollu
@JombaTollu 2 дня назад
Polen sana😢😢😢😢
@BesterSigalla
@BesterSigalla 2 дня назад
Aaaa😂mganga umetisha sana.😂😂😂😂
@MamuBashiru
@MamuBashiru 2 дня назад
Usishike simu ya mwanaume jamani utakufa mapema ww kama umeamua kuwa na mume vumilia
@MamuBashiru
@MamuBashiru 2 дня назад
Dada kama unapata Kila kitu unataka nn jamani ungecjoma na maji acha aende atarud akiona umetulia jamani umemtesa mwenzio