Тёмный
Imani Kuu
Imani Kuu
Imani Kuu
Подписаться
Imani Kuu ni chaneli inayokupasha habari njema zinazohusu Kanisa ambazo zinalenga kumjenga mtazamaji kiimani kupitia mahubiri ya Maaskofu, Mapadre, Mashemasi, Mafrateli, Makatekista, Masista na walimu.

Inakuletea simulizi mbalimbali za kukuimarisha kiroho, kiimani na kimaisha kama vile maisha ya watakatifu yanayotusukuma kutenda mema zaidi na kuchukia dhambi. Similizi hizi zinatupa nguvu ya kutokata tamaa, kuongeza bidii katika kumtafuta Mungu na kuwajibika katika kumtumikia Mungu.

Pia inakusogezea matukio mbalimbali kama Misa Takatifu, Ubatizo, Kipaimara, Ndoa, Upadrisho, Uimbaji na matukio mengine yahusuyo viongozi wa Kanisa.

Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share.
NITAWAPENI WACHUNGAJI
3:47
14 дней назад
Комментарии
@PolycarpOmuga-o9v
@PolycarpOmuga-o9v День назад
Amen
@subirachrisant1313
@subirachrisant1313 2 дня назад
Nyimbo nzuri
@HenryKwoba
@HenryKwoba 4 дня назад
Fantastic
@Eva-f4n
@Eva-f4n 4 дня назад
Ogereni sana wimbo huu unatubariki sana jamni
@Eva-f4n
@Eva-f4n 4 дня назад
Amina sana
@Eva-f4n
@Eva-f4n 4 дня назад
Amina sana
@aqwilinalyamuya5712
@aqwilinalyamuya5712 5 дней назад
Wao nzuri sana maua yenu🎉
@juliekabulunze8059
@juliekabulunze8059 5 дней назад
Na zipenda sana hizi nyimbo
@geofreysamson6051
@geofreysamson6051 5 дней назад
Nampenda Askofu huyu, kwa sababu anaongea kiswahili cha kawaida sana cha kueleweka kwa kila muumini
@febroniawilliam8397
@febroniawilliam8397 5 дней назад
Amina
@agnesnjoroge2818
@agnesnjoroge2818 5 дней назад
Amena ,,,emena🎉🎉
@eleutermhumba347
@eleutermhumba347 5 дней назад
Nahisi amani ya moyo wangu
@SergeKambale-n6o
@SergeKambale-n6o 5 дней назад
11:41 11:43 11:45
@antoniagalashi6937
@antoniagalashi6937 5 дней назад
Asante baba mwana na roho mt kwa waimbaji hawa.
@kabelegecletus718
@kabelegecletus718 5 дней назад
Niseme nini e bwana nitamke maneno gani kinywani❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ sina neno Zaid ya kusema nimekombolewa kwa Neema zako
@YvonneJuma-u4b
@YvonneJuma-u4b 7 дней назад
🙏🙏🙏🙏
@YvonneJuma-u4b
@YvonneJuma-u4b 7 дней назад
🙏🙏🙏
@PewaNgendelo
@PewaNgendelo 7 дней назад
Naipenda sana roman katholik na nyimbo zake👏👏❤️
@LemiMnaya-fs8dm
@LemiMnaya-fs8dm 7 дней назад
Imani kuu
@LemiMnaya-fs8dm
@LemiMnaya-fs8dm 7 дней назад
Mitume nani
@LemiMnaya-fs8dm
@LemiMnaya-fs8dm 7 дней назад
Enendeni duniani
@LemiMnaya-fs8dm
@LemiMnaya-fs8dm 7 дней назад
Enendeni duniani
@LemiMnaya-fs8dm
@LemiMnaya-fs8dm 7 дней назад
Mungu atukuzwe daima milele
@LemiMnaya-fs8dm
@LemiMnaya-fs8dm 7 дней назад
Nimependezewa sana
@LemiMnaya-fs8dm
@LemiMnaya-fs8dm 7 дней назад
Nimefanikiwa sana
@LemiMnaya-fs8dm
@LemiMnaya-fs8dm 7 дней назад
Inajivunia kuwa mkatoriki
@LemiMnaya-fs8dm
@LemiMnaya-fs8dm 7 дней назад
Nasikia bwana unaniita
@LemiMnaya-fs8dm
@LemiMnaya-fs8dm 7 дней назад
Mkatoriki daima na daima Amina
@LemiMnaya-fs8dm
@LemiMnaya-fs8dm 7 дней назад
Mkatoriki na mkatoriki Amina
@LemiMnaya-fs8dm
@LemiMnaya-fs8dm 7 дней назад
Enendeni duniani
@user-sx2yq3ot3e
@user-sx2yq3ot3e 8 дней назад
Nyimbo nzuri, hongereni
@user-qt7hz8nv5o
@user-qt7hz8nv5o 8 дней назад
Superb❤
@Aida-w8i
@Aida-w8i 8 дней назад
Tuishimile iyo mana nafurah kusikiliza nyimbo ya kilugha
@Reginakyambi
@Reginakyambi 8 дней назад
Napenda nyimbo nzuri
@TarimoDominick
@TarimoDominick 8 дней назад
Namshukuru nimejaswa roho wako mtakatifu kisema maneno yako mungu
@TarimoDominick
@TarimoDominick 8 дней назад
Amina pia nabarikiwa Sana na nyimbo hizi
@nyucletkikonamaluhe2274
@nyucletkikonamaluhe2274 9 дней назад
Asante sana father kwa mafundisho mazur. Viziwi wafunguke maskio
@GetrudaNestory
@GetrudaNestory 9 дней назад
Nashukuru Kwa nyimbo nzur
@TarimoTarimo-y2q
@TarimoTarimo-y2q 9 дней назад
Amen
@user-kw2dv9md9j
@user-kw2dv9md9j 10 дней назад
Iam Teresa Lee, from Angola , Im watching lovely songs. Mama Maria bless the world
@marymuthoni1689
@marymuthoni1689 10 дней назад
Mungu atukuzwe daima na milele Amina! Very inspirational songs!
@carolsangawe2024
@carolsangawe2024 11 дней назад
Nyimbo hizi zinanikumbusha ujio wa Pope hapa tz 1990 nikiwa mwanakwaya chipukizi enzi hizo 😂
@TinaAzama
@TinaAzama 11 дней назад
Merci maman marie prié pour nous tes enfants ici dans les mondes plein de stress et d armertune et de tristesse intercede après de flis pour nous et pour nos famielle 🙏 🙏 🙏
@scholasticaelias2049
@scholasticaelias2049 11 дней назад
Asante mungu Kwa neema zako na pumzi ya uhai, uhimidiwe mungu wetu milele yote
@JoyceJoyce-q6b
@JoyceJoyce-q6b 12 дней назад
👌👌🙌
@PaulMwanansila
@PaulMwanansila 12 дней назад
Barikiwa sana kwa wimbo huu wenye Kutujaza Roho mtakatifu. Amina
@Mamiseti7
@Mamiseti7 13 дней назад
❤❤
@asha7750
@asha7750 13 дней назад
Best collection of catholic songs. Congrats!
@josephhenerico6124
@josephhenerico6124 14 дней назад
Hakika nabarikiwa Sana na hizi nyimbo🙏
@AntonLespichius
@AntonLespichius 14 дней назад
Najivunia kuwa mkatoliki na nyimbo daima hunipa faraja ❤❤🎉🎉🎉