Тёмный
Mzee wa upako
Mzee wa upako
Mzee wa upako
Подписаться
Upako una gharama
11:06
4 часа назад
Usiwe na mbadala wa mungu
11:12
4 часа назад
Ijue sauti ya roho mtakatifu
7:51
4 часа назад
Usiketi barazani pa wenye mizaha
1:01
4 часа назад
KISIMA CHA MAARIFA
13:42
4 часа назад
Hakuna neema Bila kuwajibika
10:41
16 часов назад
Maombi ni siraha ya ushindi
10:00
16 часов назад
Mungu hakubali kupoteza watu wake kirahisi
6:48
16 часов назад
Mungu awe ni maisha yako 2
5:23
16 часов назад
IBADA YA JUMAPILI TAREHE 28-07-2024
1:07:27
День назад
IBADA YA IJUMAA TAREHE 26-07-2024
1:01:26
День назад
MHESHIMU BABA YAKO
4:37
День назад
SONG: Yesu Na Kwabudu
4:13
День назад
Ujuzi Na Uzoefu Ni Zaidi Ya Unabii
2:33
День назад
SONG: Jina la Yesu
6:07
День назад
SONG: Nilianza na mungu
3:55
День назад
SONG: Amenibariki
4:59
День назад
Mungu Anampango Na Wewe
2:21
День назад
SONG: Yesu Yuko Hapa
2:10
День назад
SONG: Tuimbe tumepona
2:18
День назад
Mheshimu Aliekufundisha Maisha 2
1:06
День назад
Комментарии
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc День назад
Yohana5 14:8Filipo alijibu Nini aliposema tuonyeshe Baba yatosha9,Yohana5:18Kule kusema mwana wa Mungu,Mtu mwenye akili atambua ni Mungu,Atakae wafufu wafu na kuhukumu ulimwengu ni Yesu5:22'
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc День назад
Tusome vizuri Maandiko vizuri,Yesu jina la Yesu maana yake Nini?
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc День назад
Atakae hukumu ulimwengu nani?
@AsiaasiaAsiaasia123
@AsiaasiaAsiaasia123 2 дня назад
Kanyooka Mzee wa upako mkweli hataki unafiki
@user-vr9sm2zq7f
@user-vr9sm2zq7f 2 дня назад
aminaaaa
@richardamswetyjesus8017
@richardamswetyjesus8017 2 дня назад
Hapo umechemsha mzee
@chrishinaphilimon7918
@chrishinaphilimon7918 2 дня назад
Nimebarikiwa Sana Mzee wa upako Uishi sana..Kwann sasa wayahudi walimkataa Yesu? Na kukataa ukristo?
@user-gv4pc9if2u
@user-gv4pc9if2u 3 дня назад
Heriiii, Nimeelewa hoja yako kuwa Hakuna MUNGU WATATU ila unazunguka sana. Emanuel ni MUNGU pamoja nasi. Kamsikilize BABA HALISI KANISA HALISI Utafurahi. Hongera kwa bidii. By HERI
@MamaBambala
@MamaBambala 3 дня назад
Mzee wa upako hebu soma Mhubiri1:9,10,15 kuongeza maneno Lusekelo yanautata kuhusu sana YESU Yaliyopotoka hayawezi kuonyoshwa wala wasiyokuwepo hayahesabiki.waraka wa 1 wa Yohana 5:20Yesu kristo huyu ndiye Mungu wa kweli.na uzima wa milele..Angalia pia Yohana 14:6-10 Yesu ndiye Mungu;mtu wa Mungu.Pole sana yapo mafungu mengi .Usiyaongeze maneno ya Mungu ukaonekana umwongo.Uje usome juu ya Incanation juu ya Yesu ktk kitabu cha Waebrania.Yoooh waumini tunaliwa vibaya kupitia wachungaji wetu ,soma.Wafilipi 1:15-16,17 mnahubiri wengine habari za kristo kwa sbb ya husuda na fitina Unapomshuhudia ya kuwa YESU SI Mungu ni laana .Mnamhubir Yesu si kwa wema wala si kwa moyo mweupe.Ubarikiwe sana.
@saidkhamismasai1204
@saidkhamismasai1204 4 дня назад
UKWELI HUU WAKRISTO HAWAPENDI KUUSIKIA 😮
@keburegesurura1042
@keburegesurura1042 4 дня назад
Umesema lkn bahati mbaya hujatoa rejea za maandiko kudhibitisha msimamo wako. Ukisema bila maandiko inakuwa mtazamo binafsi au mawazo au maoni binafsi.
@annasimba5480
@annasimba5480 4 дня назад
Amen Baba
@silaandrew
@silaandrew 4 дня назад
rafiki nimekusapoti point 2 lakin point 1 tusome vizri kwani yeye MUNGU mmoja alijidhihirisha kwetu kama mwana naye yupo nasi kama roho mtakatifu kwetu naye ni umoja na MUNGU baba tuwe makini damu za watu zisje zikadaiwa mikononi mwetu kwa kutokunena iyanenayo BIBLIA MUNGU akutie nguvu ya kweli
@prosistermsomaMsoma
@prosistermsomaMsoma 5 дней назад
Baba ubarikiwe
@vladiminlenin8883
@vladiminlenin8883 5 дней назад
Baada ya kula sadaka za masikini sana umeanza kuwa jeur
@user-hq8wn9tz2l
@user-hq8wn9tz2l 5 дней назад
Jiziiiiiiiiiiiii likubwa ww mutahukumiwa na mungu
@bernardlali1930
@bernardlali1930 6 дней назад
Amina from kenya
@BertaantonioAntoniomaneno
@BertaantonioAntoniomaneno 7 дней назад
😢
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 7 дней назад
Mzee wa upako ninakupenda ila naomba uachane na Dunia hivi kweli wewe wa kwenda Kwa kiboko ya wachawi na kuwaambia wakristo weenda huko pole sana angalia mwisho wako ni mbaya sana.
@KulwaLudovick
@KulwaLudovick 8 дней назад
Acha ujinga
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 8 дней назад
Wewe mzee wa upako ulicho nacho Ni kujitapatapa tu hujui Biblia na huna elimu ya Biblia na theolojia katika elimu ya Ukristo diploma ndio elimu gani?Hivi unadhani diploma ndio upeo wa elimu ya Biblia?ujue katika elimu ya Biblia Kuna shahada (degree) Kuna elimu hadi profesa hata chuo ulichosoma morogoro siyo miongoni mwa vyuo maarufu vya Biblia ndio maana hujui kingereza maana yake upeo wa elimu uliyo nayo inakoma kwa kukosa elimu ya lugha ya kigeni ili uweze kuzikabili makitaba kubwa zenye mabuku makubwa yenye ufafanuzi wa elimu ya Biblia na theoloji tunakuheshimu Sana lakini punguza majisifu eti Kati ya wahubiri kumi duniani wewe umo wewe hujaijua Dunia ya Ukristo
@godymaimu3770
@godymaimu3770 9 дней назад
Hii kichwa ni hatariiiiiiii, Hii ndio maana halisi ya CHIEF 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@elikindomondo3569
@elikindomondo3569 9 дней назад
kumbe na ww mchungaji jina yesu ni mungu mwenyew jina yesu ni jina la kazi na mungu ndio jina lake rohoo mtakatifu nalo ni jinala kazi ila jina mungu ndio maana mtu ana itwa professor lipu wazili lipumba ila jina lake kamili ni lipumba kwaiyo hivi vitu vina tak utulivu wa akili
@user-fc2nw3ho7r
@user-fc2nw3ho7r 9 дней назад
Huu ni ukweli mkubwa sana,Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@meckraudndelwa-jv8co
@meckraudndelwa-jv8co 11 дней назад
@tenzichagaga
@tenzichagaga 12 дней назад
Nakuelewa sana bishop wewe ni kiongoz wangu
@NuruMintanga
@NuruMintanga 12 дней назад
Amina sana ahsante BABA 👏👏👏
@MTEULETVONLINE
@MTEULETVONLINE 13 дней назад
Ulifikiria nini ukawa unaimba pekee yako tu???
@mosesmwatika5281a
@mosesmwatika5281a 13 дней назад
Wewe Mzee wa upako vaa kanzu na kofia jeupe alafu ungana na wapinga Kristo wenzako waislamu 😢😢😢 nakusikitikia maana unapotea tu ukiona mzee Lusakelo
@mosesmwatika5281a
@mosesmwatika5281a 13 дней назад
Mzee wa upako wewe ndo haujui kabisa BIBILIA 😢, tubu na uwache chuki ya kuwachukia wazungu
@mosesmwatika5281a
@mosesmwatika5281a 13 дней назад
WEWE TAYARI UNAMKATAA MUNGU 😢 JE UTAENDA WAPI SIKU YAKO IKIJA FIKA MWISHOO😢
@fordmasnyenga_kiuyangulyri7409
@fordmasnyenga_kiuyangulyri7409 14 дней назад
Ni kweli mzee wa upako Yesu ni kristo
@ClemenceMushi-d8x
@ClemenceMushi-d8x 14 дней назад
Kama wayaudi walikwenda misri,huko misri siwalijaamiana na wenyeji kwa hiyo huko misri kuna wayaudi nikiwa na maana kwamba walichanganya damu siyo? Huko nyumba ulisema kwamba wayaudi Wana elimu kubwa na ujuzi pia,kwahiyo wamisri wamekuwa na ujuzi na maendeleo kwa sababu ya wayaudi?
@ClemenceMushi-d8x
@ClemenceMushi-d8x 14 дней назад
Kwanini misri ilitumika kama sehemu ya kutesa,kuelimisha viongozi na kama sehemu ambayoviongozi wengi walipatiwa uwezo huko?
@ClemenceMushi-d8x
@ClemenceMushi-d8x 14 дней назад
Kwanini misri ilitumika kama sehemu ya kutesa,kuelimisha viongozi na kama sehemu ambayoviongozi wengi walipatiwa uwezo huko?
@ClemenceMushi-d8x
@ClemenceMushi-d8x 14 дней назад
Mimi nauliza kwanini Israeli inatumika sana kuelimisha dunia? Sasa kiulemeshaji Israeli ndo 'kinanani Sasa?
@TarqAzizi
@TarqAzizi 15 дней назад
Una erim kumzid yey
@NassorKhamis-l6r
@NassorKhamis-l6r 15 дней назад
Mimi muislam mafundisho ya mzee wa upako na askofu Hananja nawapenda sana na mafundisho Yao Hawa watu wanajua Bibilia vizur sana pia Wana hekma mkubwa.
@PaulNgalomba
@PaulNgalomba 16 дней назад
AMEEEN BABA
@ErnestLule-z7t
@ErnestLule-z7t 16 дней назад
2 Wakorintho 6:14-18 14 Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza? 15 Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini? 16 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu. 17 Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha. 18 Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike,
@ErnestLule-z7t
@ErnestLule-z7t 16 дней назад
Yohana 17:3-12 3 Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma. 4 Mimi nimekutukuza duniani, hali nimeimaliza kazi ile uliyonipa niifanye. 5 Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako. 6 Jina lako nimewadhihirishia watu wale ulionipa katika ulimwengu; walikuwa wako, ukanipa mimi, na neno lako wamelishika. 7 Sasa wamejua ya kuwa yote uliyonipa yatoka kwako. 8 Kwa kuwa maneno uliyonipa nimewapa wao; nao wakayapokea, wakajua hakika ya kuwa nalitoka kwako, wakasadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma. 9 Mimi nawaombea hao; siuombei ulimwengu; bali hao ulionipa, kwa kuwa hao ni wako; 10 na wote walio wangu ni wako, na walio wako ni wangu; nami nimetukuzwa ndani yao. 11 Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo. 12 Nilipokuwapo pamoja nao, mimi naliwalinda kwa jina lako ulilonipa, nikawatunza; wala hapana mmojawapo wao aliyepotea, ila yule mwana wa upotevu, ili andiko litimie.
@MassaweHamisi
@MassaweHamisi 16 дней назад
MUNGU ni WA watu wote Hana ubaguzi na ameweka tofauti kati ya tajiri na maskini Ili upendo udhihirishwe kati ya wanadamu Tudumu imara katika IMANI.
@ErnestLule-z7t
@ErnestLule-z7t 16 дней назад
Yesu ndiye njia kweli na uzima, mtu haendi kwa Mungu bila kupitia kwa Yesu, so Imani ya wakristo imejengwa kwenye msingi mwamba Yesu, mtu asipojenga juu ya mwamba uchukuliwa na kila aina ya elimu
@ErnestLule-z7t
@ErnestLule-z7t 16 дней назад
Wagalatia 5:19-21 19 Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, 20 ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, 21 husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.
@ErnestLule-z7t
@ErnestLule-z7t 16 дней назад
1 Timotheo 3:16 Na bila shaka siri ya utauwa ni kuu. Mungu alidhihirishwa katika mwili, Akajulika kuwa na haki katika roho, Akaonekana na malaika, Akahubiriwa katika mataifa, Akaaminiwa katika ulimwengu, Akachukuliwa juu katika utukufu.
@WestonMbuba-ff4jk
@WestonMbuba-ff4jk 17 дней назад
Anapingana na Mungu
@mbejmukadi3890
@mbejmukadi3890 17 дней назад
To begin the topic is not proper , its like you are saying the mango tree is not a mango while mango has a mango tree seed within it , let us preach what is important
@stevenialbert5033
@stevenialbert5033 17 дней назад
Pepo huyu anatimiza mandko kwel biblia n kitabu cha kwl
@user-gx3jp6uk2f
@user-gx3jp6uk2f 17 дней назад
Wakati wa Yesu hapakuwa na misikiti. Yesu hakuingia msikitini. Uislamu ulikuja miaka 600 baadaye
@EliazariFrank
@EliazariFrank 17 дней назад
Uko vizr na unaijua biblia