Тёмный
mtanange tv
mtanange tv
mtanange tv
Подписаться
MTANANGE TV


Let us talk about sports, entertainment and enjoy it together⚾🥎⚽🎤(REHOBOTHI)
.
.
.
.
.
.
mtanangetv@gmail.com
Комментарии
@mgawesaid5137
@mgawesaid5137 7 минут назад
Rand 5000 x148=740000Tsh
@mzansi27
@mzansi27 11 минут назад
Huyo kiazi anayesema milioni 13, wakati ni Rand siyo Dollars. Kwa Rand hiyo ni Laki 7
@geraldmakoba2618
@geraldmakoba2618 14 минут назад
Ni Rand sio USD hiyo ni laki kama saba na change kidogo
@eliasmsira2025asdfghjkl
@eliasmsira2025asdfghjkl 17 минут назад
Yanga Tam 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@KhamisMouktar-kk2yq
@KhamisMouktar-kk2yq 20 минут назад
Ni Rand siyo Dollar hiyo zawadi ni sawa na 3,575,000/=
@AmeirAlly-tn8hw
@AmeirAlly-tn8hw 23 минуты назад
Kiukweli mkiendelea hivi hivi kuchambua kiukweli mtavutia watu wengi sana ktk LIGI ya NBC,
@georgepewa9624
@georgepewa9624 23 минуты назад
Yanga wanajezi bora sana
@GosbertByabato
@GosbertByabato 27 минут назад
Yanaga nimoto moto ,wacha wakaisome namba Hongela ufunguo Samani kwa zawadi nono,
@davidsuleman233
@davidsuleman233 27 минут назад
Yanga ni product ya mabadiliko kuazia uongozi mpk mfumo wa uendeshaji wa timu Nabi kaondoka mpk leo anamuda gani acheninuchambuzi wakishamba
@davidsuleman233
@davidsuleman233 29 минут назад
Hiyo kauli ya kwamba yanga ni product ya nabi nakataaa mpk kesho
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p 31 минуту назад
Kumbukeni Azizk alisema nileteni dube
@rachelsimon2876
@rachelsimon2876 36 минут назад
Magoma yu wapi?
@zubeydamahmoud-gq2hq
@zubeydamahmoud-gq2hq 43 минуты назад
Rand 1 = tzs 148.
@jovinelusato4887
@jovinelusato4887 39 минут назад
Wachambuz wa mchongo hesabu Aaaaaah
@user-tj9pm2cd5x
@user-tj9pm2cd5x 20 минут назад
Kapewa 5000 rand
@selemanmussa3459
@selemanmussa3459 14 минут назад
Jamaa anarudia mara hamsini "milioni kumi na tatu" Hawa watu wana shida sana asee...ilitakiwa kila mtu kabla ya kuanza kupanua mdomo awe anaonyesha cheti cha kitu anachoongea...misinforming the public should be treated as a serious crime...
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 43 минуты назад
Habari ya kwamba Gamondi alitembelea upepo wa Nabi, hiyo si sahihi! Ukweli ni kwamba,Gamond alikuta msingi mzuri,akaanza kuweka vitu vyake bila kuathili msingi alioukuta,Hapa ndipo panahitaji ujuzi wa kocha. Kumbukeni kilichotokea Man utd. Furgason aliondoka pale akiacha kikosi bingwa wa EPL, lakini kutoka siku ile mpaka leo ni hadithi tofauti kabisa!!!
@ramamakelo3780
@ramamakelo3780 44 минуты назад
738,676 shilling vilaza nyinyi wachambuzi wa mchongo
@dr.edmundbmgeni486
@dr.edmundbmgeni486 45 минут назад
Nyie wachambuzi hamjielewi. Mpeni credit Gamondi Bwana. Tunakubali Nabi Kwa wakati wake but sasa ni Gamondi. Mpeni maua yake mtaumbuka baadaye
@Johnsonchristopher-uc5er
@Johnsonchristopher-uc5er 52 минуты назад
Wachambuzi WA bongo wanakurupuka mhhhh Yani hata muwambiwe wapi
@albertvalentino130
@albertvalentino130 59 минут назад
Halafu kuna kipindi kimefanyika Jana kwenye television, unaona wazi kabisa ni kama wamezindua kampeni ya kumfanya FEISAL kuwa mchezaji bora wa msimu " mpeni tu huyo Fei,lakini Aziz ataendelea kuwaumbua uwanjani -- aibu kwenu na kampeni zenu "
@deonatusthomas2571
@deonatusthomas2571 Час назад
Rand 5000 ni kama laki 7 na ushee. Nyie punguzeni pombe
@tirelesstravels
@tirelesstravels 16 минут назад
Bro unajua rand moja ni bei gani
@mgishakimuga2443
@mgishakimuga2443 Час назад
738,676.00 Shilingi ya Tanzania sio million hzooo
@Almas120
@Almas120 Час назад
Kama 730k...haikua usd ilikua rand
@paty11648
@paty11648 Час назад
Rand 5,000 sio Milion 13,000,000/- TZS .Hao vilaza hawajui hesabu
@robertmapunda
@robertmapunda 48 минут назад
Ni laki7 na 38
@jovinelusato4887
@jovinelusato4887 37 минут назад
​@@robertmapunda ✅ 738,700
@nassoroally123
@nassoroally123 Час назад
5000 Rands sio Dollars
@nassoroally123
@nassoroally123 Час назад
Sio milioni 13 kwa TZS
@btwelve1698
@btwelve1698 Час назад
Kwa yanga hii magoma atulie tuu😅😅😅😅😅
@veelmng7746
@veelmng7746 2 часа назад
Timu tunayo hakuna siasa
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 6 часов назад
Hana furaha na Simba mwache aende
@lucasmadayu5470
@lucasmadayu5470 6 часов назад
Huyu jamaaa.... kawapiga simba tena pakubwa sanaaaa... Haha55 😅😅😅😅😅😅😅😅😅..... FOLLOW @madayu_sports kwa Habari za michezo na burudani ⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️
@MchichaMchicha
@MchichaMchicha 6 часов назад
Toka apo kwa fei toto uliona yupo sawa
@user-ik7km9rq1v
@user-ik7km9rq1v 9 часов назад
Arudishe gari na hela na ikibidi tuvikamate very simple
@user-ge3yd1tx5e
@user-ge3yd1tx5e 9 часов назад
kauli yetu "NYIE MNATAKAJE
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 9 часов назад
Kazi ipo kwa wachambuzi kila mtu na anachokijua yeye
@yusufmusonamusona6196
@yusufmusonamusona6196 10 часов назад
Yaani vitenge vya batiki viwe identity ya taifa you are mad infact you are useless
@bbanyikwa
@bbanyikwa 10 часов назад
Jezi hizi ni kali sana zina mahadhi ya kiafrika I Love U Yanga
@user-pj4mx2ro4h
@user-pj4mx2ro4h 10 часов назад
Huyo kibu anatakiwa kufungiwa maisha asijihusishe na mpira ili iwe funzo
@chinashao4679
@chinashao4679 10 часов назад
Mkimsifia feitoto mlijua hili litakuja kwenu????pole sana
@derrickmbaku4768
@derrickmbaku4768 11 часов назад
Onana sijui nini kimemkuta
@athumanmsuya2688
@athumanmsuya2688 12 часов назад
Kijana yupo kazi,naona hupeni hamasa anayoifanya we mchawi tu
@geoffreyrusibamayila8366
@geoffreyrusibamayila8366 12 часов назад
Nakumbka enzi hizo tuliambiwa Fedha hizo zitakatwa pole pole kwenye kiingilio Leo nashangaa kusikia Rage anasema manji alilipa zote Mara moja ukweli no upi?
@balozimkali1337
@balozimkali1337 11 часов назад
Kama ni hivyo noma kwhyo walikula😂😂
@geoffreyrusibamayila8366
@geoffreyrusibamayila8366 12 часов назад
Huwezi kusema Hana mahaba hizi Ni issue mbili tofauti wengine mnatumiwa na Yanga enzi zako zimepita
@ntanilanjema04
@ntanilanjema04 14 часов назад
Jezi Kaliiii
@JohnJohn-fs8ex
@JohnJohn-fs8ex 14 часов назад
Uko vizuri kwenye kujibu maswali semaji la kimataifa
@YunussefuNagawa
@YunussefuNagawa 15 часов назад
Kumbe langi nyeupe mnaipenda 😊
@SeuriMollel-im5yw
@SeuriMollel-im5yw 16 часов назад
Kibu inaonekana hajasain simba
@adamuayubumwendolwa7723
@adamuayubumwendolwa7723 19 часов назад
Watangazaji hata hawawajui wachezaji😅😅😅😅😅
@FurahaAngetile-fu4cv
@FurahaAngetile-fu4cv 20 часов назад
Nimekaelewa kweli ka kijani Mali halali kwa wananchi madunduka kaa mbali
@hamadramadhan8422
@hamadramadhan8422 20 часов назад
Ila jezi ya yanga ni kali kinyama
@AbdulkhalimMbarouk
@AbdulkhalimMbarouk 20 часов назад
𝑆𝑖𝑚𝑏𝑎 𝑤𝑎𝑚𝑒𝑗𝑖𝑡𝑎ℎ𝑖𝑑 𝑖𝑙𝑎 𝑦𝑎𝑛𝑔𝑎 𝑛𝑖𝑠ℎ𝑖𝑑𝑎 𝑠𝑛 𝑘𝑖𝑙𝑎 𝑠𝑒ℎ𝑒𝑚𝑢
@mbarakaforogo3719
@mbarakaforogo3719 5 часов назад
Brother unapanick kutokea sehemu gani?
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 21 час назад
Yanga mumekuja kuuwa habari mtaani za jezi za mtani😢😢😢😢
@josephfrank4446
@josephfrank4446 21 час назад
Yanga Gani hii 😂😂😂hii ni GSM fc sio yanga😂😂😂
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 21 час назад
Kule MO ENERGY FC JEZI ZIMEJAA MATANGAZO😂😂😂😂