Mwl.asantw kwa somo zuri..Niko nje ya SoMo..ila natamani kujua namna ya kutambua root note..kwenye music sheet..yaan pale Niko na treble clef and Base clef... Then kwenye mashairi. Ile nota inayokua pale mara nyingi sio mara zote huwa Ina andikaa nota Moja tu..Ile nini..ndio root note??
Umejitahidi lakini Bwana Yesu akiwa Duniani alizungumzia hari za takiri na Lazaro Mahalia pa kuzim ni motoni na abulaham hakuwa pamoja na tajili na ikumbukwe Yesu hakuwa anatoa mfano alisema palikuwa ...
Yeyote atakaye kupinga chochote cha wema huwa na ubishi mwingi... Je nikiuliza ni wapi kwa bibilia waliomdhulumu yesu kristu walipata kulipia maovu yao, hautapata chochote...! Lakini tunajua yoote yaliyowatokea baadaye kuanzia pilato,kasisi mkuu na pia wayaudi waliosema damu ya kristu iwe juu yao na wanao...! Yeyeto atajatibu kukejeli kile mungu ametakasa ajitilia makaa bure na kujinyima baraka kwa hekima duni..! Hata akielezewa vipi huyo atajieka kiburi ukaidi lakini hataepuka hukumu ambayo alijitakia mwenyewe kwa kiburi chake mwenyewe...!