KANUNI NA MUONGOZO GA Power Tv (Official Acount) ni chombo cha habari kinachozingatia weledi na maadili yanayoongoza tasnia ya habari. Tumejikita katika kuripoti matukio ya burudani vanavowahusu Wasani , mashuhuri katika muziki, filamu, michezo nk, mitindo ya maisha na masuala ya kijami. Tunazingatia misingi ya uhariri katika habari kwa kufuata yafuatayo: 1. Kuripoti habari za ukweli 2. Kusaidia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa ili kuwapa ukweli wafuatiliaii wetu 3. Kufuata misingi ya habari kwa kuripoti habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote 4. Kujiepusha na udini, ukabila au mambo yoyote yanayoweza kusababisha uchochezi Muongozo kwa wafuatiliaji (subscribers) wetu 1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake 2.GA Power Tv |Uhuru wa kufuta maoni vasivo na maadili au yenye matusi makali 3. GAPower | ina uhuru wa kupitia maoni kabla hayajaonekana na watu wote 4. GA Power | ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka Maoni