BIG-BINO.. Kayumba Since His Begining Of His Career has Managed To Release One EP(Extended Playlist) Called ''SWEET PAIN'' in 2022 and One Alburm Known as ''THE FINE TAPE'' In March 2023
For Booking contact : kayumbabooking@gmail.com +255785550812
Nampenda sana mama angu😢mungu niwekee mama yangu milele na milele💕 Baba angu alimfukuza mama angu nikiwa na miezi kadhaa lakini mama angu hakuniacha aliangaika na mimi mpk hapa nilipo!! Nakupenda mama angu💕 mungu nipe pesa nyingi ipo siku nimuimbie mama angu hii nyimbo huku nikimtunza pesa na kumpa dhahabu!! Mungu nilindie mama angu💕
Kayumba nakukubali sana nyimbo zako zote nazijuwa mwanzo mwisho na mtu akitaka nifilahisha anitumie nyimbo za kqyumba mungu akupe nguvu kwenye kazi zako unapendwa na mimi unajuwa kuimba bana