Wallaah, thamma wallaahi, unatusaidia sana Sh. Msellem. Allah akupe umri mrefu, swihha, na jazaa njema kwa kila jema ulitendalo. Akusamehe Makosa yako, hapa hapa duniani, na akhera akupe rehema. Nasi asituondoshe duniani, ila awe ameturidhia.
Wallahi nliona kama zawad kukuona na Tukasalimiana hapo Zanzibar Nakupenda sana Sheikh Mselem kwaajili ya Allah tu Mola akupe afya njema Na Furaha na Baraka tele 🤲🤝
Sawa je kama IKIWA mtu alichukua ahad njito kwa MKEWE wa NDOA ya kwamba sitakusaliti kwa maana ya kutokuutumia utupu wangu kwa MWANAMKE asiekua wewe na akaahid endapo kama ATAFANYA HIVYO basi Allah ABATILISHE A'amal zake kesha akaliendea Hilo kosa imma kwa kusud au udhaifu na akahtaj kufanya towba. Je? Kufanya hivyo KWAKE ATASAMEHEWA???@@jtvznz4507
Mboe na lissu hujawafaham ukiwafaham utawakubali mussa na wanapambania zanziba ipate mamlaka yake na CCM ya Samia anataka zanziba iwe mkoa wenye wabunge watano pemba wawili unguja watatu
😊wakimaliza kuteka bara wanakuja zanziba huyu Samia adui kuliko waliomtangulia usimtetee Samia huyo ni CCM na wewe aliekutia ndani ni CCM hana wema huyo usimtwtee huyo yote yanayonyika yeye ndie anaagiza wewe Musa si mzanzibar unamteteeeaccm