Ya allah nakuomba kwa dua hii nijalie mkewangu alie nikimbie aludi tuishi kwa amani na unijalie nuru nipendeze kwake niwe namvuto akiniona awe kama kaona zahabu
HSEHE MIMI NAOMBA SANA UNISAIDIE UNIPE TAFSIRI YA NDOTO AMBAO NIMEIYOTA,LEO USIKU MIMI NIMEOTA NIKIWA NA WATU TUNASUBIRI MSIBA YANI MAITI YA MTU AMBAO NINAENJUWA LAKINI CHA AJABU BAADA YA KUFIKA MAITI IKAWA NI YA MTU MWINGINE KABISA SAS NAOMBA TAFSIRI YA II NDOTO MAAANA NAOGOPA SANA
Asante usthadhi nipata hii Dua Leo Kuna jirani yangu fatuma memboze alichukua picha kuniroga mpaka sai mume wangu alipotea hatasijui alipo wakati ya wk ya harusi niombe sana mm zamzam Abdul from kenya