Mama muuza wali pia kuna mahali anacheka wakati amepoteza hela, please hapo Matukio yaendane na Aina ya uwekaji sura. Huzuni iwe huzuni , hasira hasira na kucheki kiwe kicheko. Boresheni next episode Kazi Iko vizuri story nzuri , ww Wekeni SAWA hivyo vidogo. Hongereni sana wakuu. Naitwa Mr. Sindano na Maua Kimara DSM.
Maboresho, huyo dogo anayeosha vyomba hayuko siriasi anatabasamu huku ana njaa na shida. Pia pia kwa hali ya kawaida mtu mwenye shida anasaidiwa kwanza shida yake ndipo malipo yanafuata, mfano Hapo dogo angekula kwanza apewe Kazi ya vyombo.